Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,301
12,600
Wamarekani na wazungu wengi huwa hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine, lakini safari hii ni tofauti sana, wameanza kuufahamu upuuzi wanaofanya wanasiasa wao kwa wengine. Na hii ni baada ya maisha Yao kuguswa na kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na uhaba wa ngano, mafuta ya kupikia, gesi ya kupikia, petrol, umeme na wakimbizi wengi ambao ni wazungu wenzao kwenye mitaa Yao. Imewalqzimu kuutafuta ukweli kuhusu wanasiasa wao na sera zao za mambo ya nje.

Wazungu wengi ndio kwanza wanagundua kuwa kumbe nchi zao zinakopa ili kusaidia kutoa misaada kwa nchi nyingine. Wanagundua kuwa kumbe Kodi zao hazitumiki vizuri bali zinatumika kugharamia vita visivyowahusu.

Vita hii inaweza kuusambaratisha umoja wa Ulaya EU kama hawatakuwa makini, vita hii inaweza kumuondoa madarakani Joe Biden, Boris Johnson na wengine kama yule chancellor wa ujerumami na yule wa Italy.

Vikwazo vyote dhidi ya Urusi vinarudi kwenye nchi zao na watu wao, hii haijawahi kutokea kwao huko nyuma wakati wanaziwekea vikwazo nchi nyingine kama Iran, somalia, Ethiopia, north Korea, au Venezuela.

Wazungu lazima watalazimika kuachana na vita hii maana baadhi ya washirika wa NATO wamegundua kuwa vita hii inanufaisha makampuni ya silaha ya kimarekani .
 
Hizo ni ramli tuu mlisema pia raisi wa ufaransa atakosa uraisi akapata kwa kishindo na issue ya Ukraine ndio ilimpa kura nyingi

Wazungu wengi hawaipendi urusi wanaipenda Ukraine hivyo wanaunga mkono juhudi zote za kuisaidia Ukraine..

Hivyo tuu jifanye unaipinga Ukraine alafu kagombee

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Kaka msikilize Macron mara tu baada tu ya kuchaguliwa, acha mahab

Wamarekani na wazungu wengi hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine lakini safari hii ni tofauti sana, wameamza kuufahamu upuuzi wa wanasiasa wao. Na hii ni baada ya maisha Yao kuguswa na kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na uhaba wa ngano, mafuta ya kupikia, gesi ya kupikia, petrol, umeme na wakimbizi wengi ambao ni wazungu wenzao kwenye mitaa Yao.

Wazungu wengi wengi ndio kwanza wanagundua kuwa kumbe nchi zao zinakopa ili kusaidia kutoa misaada kwa nchi nyingine. Wanagundua kuwa kumbe Kodi zao hazitumiki vizuri.

Vita hii inaweza kuusambaratisha umoja wa Ulaya EU kama hawatakiwa makini, vita hii inaweza kumuondoa madarakani Joe Biden, Boris Johnson na wengine kama yule chancellor wa ujerumami.

Vikwazo vyote dhidi ya Urusi vinarudi kwenye nchi zao na watu wao, hii haijawahi kutokea kwao huko nyuma wakati wanaziwekea vikwazo nchi nyingine kama Iran, somalia, Ethiopia, north Korea, au Venezuela.

Wazungu lazima watalazimika kuachana na vita hii maana baadhi ya washirika wa NATO wamegundua kuwa vita hii inanufaisha makampuni ya silaha ya kimarekani .
Bibi mmoja kipofu wa huko Balkans alishatabiri zamani kuwa Putin atakuwa Lord of the World !! ( Baba Vanga ) sasa hivi ulaya hali ni ngumu sana ni kweli wanasema vikwazo vyote vinawaumiza Raia wao wenyewe !!
 
sasa unadhani bibi hakupata kura hata moja? wanaweza wasiipende Russia lakini wazepende pia uhaba wa gesi, ngano na petrol
 
Wamarekani na wazungu wengi hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine lakini safari hii ni tofauti sana, wameamza kuufahamu upuuzi wa wanasiasa wao. Na hii ni baada ya maisha Yao kuguswa na kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na uhaba wa ngano, mafuta ya kupikia, gesi ya kupikia, petrol, umeme na wakimbizi wengi ambao ni wazungu wenzao kwenye mitaa Yao.

Wazungu wengi wengi ndio kwanza wanagundua kuwa kumbe nchi zao zinakopa ili kusaidia kutoa misaada kwa nchi nyingine. Wanagundua kuwa kumbe Kodi zao hazitumiki vizuri.

Vita hii inaweza kuusambaratisha umoja wa Ulaya EU kama hawatakiwa makini, vita hii inaweza kumuondoa madarakani Joe Biden, Boris Johnson na wengine kama yule chancellor wa ujerumami.

Vikwazo vyote dhidi ya Urusi vinarudi kwenye nchi zao na watu wao, hii haijawahi kutokea kwao huko nyuma wakati wanaziwekea vikwazo nchi nyingine kama Iran, somalia, Ethiopia, north Korea, au Venezuela.

Wazungu lazima watalazimika kuachana na vita hii maana baadhi ya washirika wa NATO wamegundua kuwa vita hii inanufaisha makampuni ya silaha ya kimarekani .
Yaan unawaza Russia kuziangusha nchi za ulaya ila huwazi Ukraine kumwangusha Putin upo serious mseeee? Yaan leo hii Ukraine wanashambulia mpaka ndani ya Russia tofauti na mwanzo hulioni hilo?
Huoni kuwa saiz warusi wana hasira na Putin mpaka wanasubiri waingie barabarani wamtoe kwa nguvu sababu maisha yamekuwa magumu na uwezekano wa kushinda haupo?
jana hujaona battalion nzima imepigika na Ukraine na most of them died?

In short acha story za kwenye kahawa tafuta vyanzo mbalimbali vya habari hutaleta tena humu hizi story za vijiweni
 
Kwa hiyo huu upupu uliyoandika ndo habari za uhakika? Halafu unajiona una akili kuliko wengine siyo? Utakuwa na shida mahala siho bure mtoto wa kiume huwezi jishongondoa hivi.
 
Yaan unawaza Russia kuziangusha nchi za ulaya ila huwazi Ukraine kumwangusha Putin upo serious mseeee? Yaan leo hii Ukraine wanashambulia mpaka ndani ya Russia tofauti na mwanzo hulioni hilo?
Huoni kuwa saiz warusi wana hasira na Putin mpaka wanasubiri waingie barabarani wamtoe kwa nguvu sababu maisha yamekuwa magumu na uwezekano wa kushinda haupo?
jana hujaona battalion nzima imepigika na Ukraine na most of them died?

In short acha story za kwenye kahawa tafuta vyanzo mbalimbali vya habari hutaleta tena humu hizi story za vijiweni
Msikie waziri wa ulinzi wa Marekani hataki vita hii kabisa, Rais Biden amekalia kuti kavu, wewe unasema porojo za kwenye supu ya pweza.

Hizo ni ramli tuu mlisema pia raisi wa ufaransa atakosa uraisi akapata kwa kishindo na issue ya Ukraine ndio ilimpa kura nyingi

Wazungu wengi hawaipendi urusi wanaipenda Ukraine hivyo wanaunga mkono juhudi zote za kuisaidia Ukraine..

Hivyo tuu jifanye unaipinga Ukraine alafu kagombee

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
toa ushahidi kuwa wazungu wengi wanaipenda ukraine
 
Back
Top Bottom