Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu.
Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha?
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiona mara watumishi wa serikali wanapewa misamaha ya kdi mbalimbali na hii huwa haieleweki.
Kwanini mwalimu anayefundisha serikalini aruhusiwe kuagiza gari kwa kupewa msamaha wa kodi lakini mwalimu anayefanya kazi ile ile kwenye jamii kupitia mwajiri binafsi ni lazima alipe kodi.
SEKITA BINAFSI TUAMKE TUNAHITAJI UMOJA