serikali

  1. Paul Faraj

    SoC02 Maboresho ya Sera za Bima ili kufikia lengo la serikali la kuwafikia wananchi walio wengi zaidi

    Bima ni nini? Bima ni njia ya ulinzi wa kiuchumi dhidi ya hasara ya kifedha au hata dhidi ya kifo ambayo watu au kampuni wanafuata kwa kulipa kiasi fulani kwa shirika la bima kadiri ya mkataba maalumu, hivi kwamba shida ikitokea shirika litoe fidia. Zipo aina mbalimbali za bima kama vile bima...
  2. A

    SoC02 Je, ni nani anapaswa kusimamia suala hili?

    Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii. Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Unyonyaji wa serikali kwa watumishi wa umma ulianza hapa .

    Habari! Unyonyaji unaanzia kwenye tangazo la kazi Ukisoma tangazo lolote la kazi za serikali hasa ajira za kudumu utaona sehemu moja wameiandika kiwango cha mshahara kimafumbo, wenyewe wanaita kimuundo. Mfano,: TGS D, TGOS A, TPAS D, TANAPA 4, TGTS C n.k, n.k. Kama nia ni kuficha kiwango cha...
  4. Diversity

    SI KWELI Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Baada ya Kushindwana na Mwekezaji

    Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji. Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo ila mazungumzo hayakwenda sawa. Hayo yamesemwa na Waziri Prof. Makame Mbarawa NB. Kwenye suala na...
  5. Adqcos

    SoC02 Mfumo wa ajira katika Taasisi Binafsi za Afya na za Serikali

    Ijapokuwa changamoto za mfumo huu huwa zipo maeneo mbalimbali lakini napenda kujikita zaidi kwa wahitimu wa kada za Afya nchini ambao ni Madaktari, Afisa Tabibu, Wauguzi, wateknolojia Dawa, Wateknolojia Maabara na Afisa Tabibu Meno. Mifumo ya elimu kwa ajili ya kumuandaa mtu wa kusomea taaluma...
  6. Miss Zomboko

    Sudan Kusini yaongeza muda wa Serikali ya mpito kwa miaka 2

    Viongozi wa Sudan Kusini wametangaza hii leo kwamba Serikali ya mpito ya nchi hiyo itasalia madarakani kwa miaka miwili zaidi ya muda uliokubaliwa, katika hatua ambayo washirika wa kigeni wamesema inakosa uhalali. Waziri anayehusika na masuala ya baraza la Mawaziri Martin Elia Lomuoro, amesema...
  7. A

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini… WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
  8. S

    Wazo: Serikali ianzishe kura ya maoni wananchi wafichue Ofisi, Idara, Vitengo na Taasisi za Serikali zilizokithiri kwa urasimu nchini

    Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti. Urasimu huu sio kero tu watanzania, bali hata kwa wageni wakiwemo wawekezaji wanaotafuta vibali au huduma nyingine...
  9. JanguKamaJangu

    Mganga Mkuu wa Serikali: Hakuna mgonjwa wa Homa ya Nyani nchini

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe leo Mkoani Manyara wakati akitoa taarfa kuhusu Ugonjwa wa Homa ya...
  10. Bushmamy

    Kilimanjaro: Zaidi ya Shule kumi za msingi za Serikali wilayani Hai ni chakavu, zinatakiwa kubomolewa na kujengwa upya

    Shule nyingi za msingi za serikali zilizopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro majengo yake ni machakavu na hayafai kwa wanafunzi kusomea. Nyingi za shule hizo ni zile zilizojengwa kipindi cha ukoloni na baada ya uhuru lakini hadi sasa majengo yake yako vile vile ni machakavu na hakuna ukarabati...
  11. B

    Serikali idhibiti mahindi kwenda nje

    Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
  12. JanguKamaJangu

    Serikali kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji

    Serikali imepanga kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji ili kuongeza ubora wa mifugo na tija kwenye uzalishaji pamoja na kupunguza migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameyasema hayo jijini Mbeya alipokuwa anapokea dume...
  13. YEHODAYA

    Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote mlikotokea TAG. Mnaichosha Serikali na migogoro yenu isoyoisha

    Katika kanisa linaloongoza sasa hivi kwa migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ni EAGT. Inaonyesha kabisa hawawezi kujisimamia kutwa kusumbua Serikali na msajili. Hilo kanisa la EAGT walitokea Kanisa la TAG .Kule TAG kuna utulivu mkubwa na hakuna migogoro Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote...
  14. Tanzania wani

    SoC02 Nakushangaa unaiomba Serikali wakati ni kazi yao

    Serikali wajibu wake ni kujenga na kuboresha barabara zote nchini na hili jambo si la siasa ni la kiuwajibikaji!! Eneo hili sijapenda! Awamu ya 5 inaalama 86% awamu zengine 13.2% Serikali wajibu wake ni kuhakikisha maji safi na salama popote nchi penye kijiji mpk jijini pana 99%ya maji safi na...
  15. Rashda Zunde

    Wakati umefika jamii kuunga mkono juhudi za Serikali

    Licha ya kejeli na dhihaka alizofanyiwa Rais Samia Suluhu Hassan, na wapinga maendeleo wa nchini juu ya utekelezaji miradi mbali mbali ikiwemo ya Uviko-19 lakini bado hakurudi nyuma kuleta mabadiliko. Aliweka pamba masikio na kusonga mbele juu ya kusimamia miradi mikubwa ya uwekezaji pamoja na...
  16. JanguKamaJangu

    Kenya: Baada ya bei kushushwa, unga wa Ugali waadimika, Serikali yaonya wauzaji wanaouficha

    Siku 10 tangu Serikali ya Kenya kutangaza kushusha bei ya unga wa mahindi kuwa Ksh. 100 kutoka Ksh. 200 kwa kilogram 2, uhaba wa bidhaa hiyo umekuwa mkubwa katika maduka mengi. Wauzaji wengi hawana unga na wale wachache wenye unga huo ambao zaidi unatumika kupikia Ugali wanauza kwa zaidi ya...
  17. S

    Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge. Wote...
  18. U

    Maisha Magumu sana, Serikali ikataze Michango ya Harusi hasa watumishi, wanandoa wajidhamini

    Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana. Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
  19. Stanboy

    Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

    Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
Back
Top Bottom