serikali

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kuwaita raia waliosaidia uokozi wa ajali ya ndege na kuwashukuru kwa kazi ya kizalendo na kishujaa

    Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Shaka na porojo za maendeleo imara. Serikali haina kikosi wala vifaa vya uokozi katika majanga

    Majuzi hapa tumemsikia katibu wa propaganda wa CCM akijimwambafy kuhusu uimarishwaji wa kila sekta nchini kupitia serikali ya CCM. Ameenda mbali zaidi kutuita sisi wakosoaji kama.maadui wa mama na tunamtakia mabaya hivyo azibe masikio achape kazi aachane na sisi wanafiki. Katika posti zangu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Precision vs Ajali zingine : Serikali ya Tanzania haijawahi kumthamini Maskini

    Wana JF Kwanza nitoe salama zangu za pole kwa wahanga wote wa Ajali ya precisionairtz.com iliyotokea Bukoba. Nimejaribu tu kuwaza kama hii ingekuwa ni ajali ya basi , tungeona haya tuliyoyaona leo . ? Thamani ya maskini wa Tanzania iko wapi.? - Ajali nyingi zinatokea nchini hatujawahi kuona...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bunge laazimia Serikali ianze ujenzi wa Bandari Bagamoyo je haya waliyazingatia wabunge?

    BUNGE limepitisha azimio la kuitaka Serikali iharakishe utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandarii ya Bagamoyo. Azimio la Bunge hili la Bunge kuhusu Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo limeazimia na Bunge lakini mradi haujawahi kuwepo. Azimio la Bunge kuagiza mradi huu utekelezwe haraka...
  5. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Serikali inapuuza Ripoti za CAG au inawalinda wezi?

    Jamani ukifatilia ripoti za CAG pamoja na kuweka wazi wahusika wa upotevu mkubwa wa fedha za Umma lakini Serikali imekuwa haichukui hatua kali dhidi yao na ndio sababu matukio ya upigaji yanajirudia Mara zote CAG na Bunge wamependekeza hatua za kuchukua lakini Serikali haiwawajibishi wanaotajwa...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia waziri wake wa kilimo imesema acha soko liamue ,sawa. lakini isiwe kilimo tu acha soko liamue kwenye huduma zote

    Waziri wa kilimo amesema kuwa acha solo liamue kuhusu Bei ya mazao.Ni sawa kwa maana ya kutaka wakulima wajikwamue.ndiyo maana Leo hii hata vijijini debe moja ya mahindi imefikia 25000 shilling ya kitanzania. Lakini mh waziri unasahau madhara tamko lako.unasahau kuwa Kuna sehemu nyengine...
  7. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani

    Ili kuokoa muda na gharama za kuajiri, tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani. Utaratibu wa kuitumia Sekretarieti ya Ajira kushughulikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania ni kupoteza muda wa kuajiri na kuita watu kwenye usaili. Kuajiri kunachukua muda mrefu sana.
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

    "....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais." Tarimba. NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema hoja 110 za CAG hazina mashiko

    Serikali imesema kati ya taarifa 533 zilizopokelewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) mwaka 2021, taarifa 110 zilifungwa kwa kukosa mashiko. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Eliezer Felishi ameyasema hayo, leo Novemba 5...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge laibana Serikali kuipa KADCO mkataba wa uendeshaji uwanja wa Ndege KIA badala ya TAA

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya haipo. Spika Dkt. Tulia amesema “Wanasema mkataba unamalizika Juni 2023 ni mkataba gani? wakati hiyo...
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kuleta suluhisho la Maji kwa zaidi ya nusu Karne Madarakani....Shame!

    Yaani ukiwakuta wamevaa zile uniform za Kijani wanavyoonekana kama Spinach utadhani ni Watu innocent na wenye maono makubwa kwenye Maendeleo ya nchi. Subutuuuuu!! Ni aibu unapita mikoani eti Kuna Watu wanachota maji kwenye madimbwi, juzi nilikua safarini huko, Kuna vijiji viko barabarani kabisa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bungeni: 2016/18 Bodi ya Mikopo ilitoa Tsh. Bil 1.76 kwa wasio na sifa kwa maelekezo ya Serikali

    Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali. Pia, PAC imesema kati ya 2018/19 wanafunzi 2,852 walipangiwa mikopo chini ya kiwango kwa upungufu wa Tsh. Bilioni 1.14 huku Tsh. Bilioni...
  13. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Sasa Saa Nne Usiku: Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali

    Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali Haina mana wote wanatabia ya uvivu. Huu ni ushuhuda wangu mimi. Siku zote Kuna watu wanadhani wao Kwa kuwa hawahusiki na hawaendi hata hapo temeke hospital wakaona weakness za watumishi, tanesco, maji wakaona upumbav wa baadhi wa...
  14. 2019

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali kupiga marufuku club ya Yanga kutumia uwanja wa Mkapa,inadhalilisha nchi

    Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu. Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri Umeme hautoshi, TANESCO ina upungufu wa Megawati 190

    Serikali imekiri kuwa na upungufu wa umeme kwa megawati 190 na ndiyo sababu za kukatika au kuwa na mgawo wa mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 2, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato wakati akitoa maelezo kama alivyotakiwa na Spika wa bunge Dk Tulia Akson. Dk...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali yoyote duniani corrupt lazima wananchi wake wapate shida

  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wazo chokozi: Serikali ya CCM inawatesa Watanzania kwa ukweli huu

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 uligubikwa na sintofahamu kubwa hadi kupelekea mchakato mzima kugubikwa na ukengemaji wa kuwaengua wagombea wa vyama mbadala na kuwapitisha wagombea wa CCM kwa nguvu ya kupita bila kupingwa Mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2020 ndiyo ulikuwa kilele cha janga la...
  18. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Yani mtumishi wa Serikali hakai ofisini anaenda kuuza sura

    Muda wa kazi mtu anaenda kwa mademu na gari ya serikali anapaki anapiga stori kwenye ofc ya dem.Huyu bro anahujumu serikali wakemewe watu wa kariba yake.Picha sibora sana ila ujumbe huo.
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watu Tanzania inavutia maoni ya Serikali ya majimbo

    Matokeo ya Sensa 2022 inaonyesha kuwa idadi ya watu wa Zanzibar ni 3.06% tu ya watu wote wa Tanzania. Idadi hii ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watu kwenye baadhi ya mikoa ya bara. Takwimu hizi zinaonyesha namna muundo wa serikali yetu unavyotakiwa kubadilika kuwa wa kimajimbo ili...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna taasisi za serikali watumishi wake wananuka madeni kama wamelaaniwa

    Habari! Katika pilikapilika za hapa na kule nilifika ofisi moja ya umma (Shirika la umma). Watumishi wamejaa madeni sio poa, mtumishi anadaiwa na Bank mpaka tatu, au benki moja kuna deni juu ya deni. Hapo kuna mikopo ya wakopesha pesa kwa riba, yaani pesa za mkononi. Akipata posho analipa...
Back
Top Bottom