serikali

  1. J

    Serikali yaipa kongole Multichoice kutangaza Kombe la Dunia kwa Kiswahili

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini Qatar. Akizungumza Septemba 01, 2022 Dar es Salaam katika hafla ya Maonesho kwa Vyombo vya Habari...
  2. SoC02 Mapendekezo kwa Serikali yatakayobadili mfumo wa elimu

    Mfumo wa elimu inahusisha sera na Sheria zote zinazoongoza mwenendo wa uendeshaji shughuli zote za elimu nchini. Makala hii ni andiko linalotoa mapendekezo Kwa serikali na wadau wengine wa elimu yatakayobadiri na kuboresha mfumo wa uendeshaji shughuli zote za elimu Kwa ngazi zote za elimu nchini...
  3. H

    SoC02 Serikali ifanye haya kuwapa thamani wasomi wetu kwa manufaa ya taifa

    Ndugu wana jukwaa natumai mna afya njema. Naomba nami ni changie kwenye hili jukwaa la story of change 2022. Ndugu wanajukwaa, Tanzania kama ilivyo nchi nyingine, vijana wengi wamechangamkia elimu kama sehemu pekee inayoweza kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kuishi maisha bora hapo badae...
  4. B

    Serikali inajikosesha mapato yenyewe kwenye huduma za maji na umeme.

    Ili liko wako wazi wala situmii nguvu sana kudadavua. Nyumba nyingi kwenye miji na majiji hazina umeme wala maji hata kama huduma iyo imefika eneo hilo na ukiongea na mtu mmoja mmoja izo huduma anazihitaji isipokua ile hela ya mkupuo inakua mtihani kwake. Serikali inakwama wapi kumpelekea...
  5. B

    SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  6. Concidence? Reporter wa Mbowe na serikali ni mmoja!

    Yote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za Rais Samia na serikali kwa ujumla. Je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye siasa na watu fake mambo hayatokei tu.
  7. Serikali ya Saudi Arabia yachunguza tukio la wasichana kushambuliwa na askari

    Mamlaka za Saudi Arabia zimesema zimeanza uchunguzi baada ya video iliyosambaa mtandaoni kuonesha maafisa usalama wakiwashambulia wasichana wadogo katika kituo cha watoto yatima Video zimeonesha askari na maafisa wengine wakivamia Katika Chuo cha Elimu ya Jamii kilichopo Khamis Mushait na...
  8. M

    SoC02 Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa, ufanywe kwa ufanisi ili Serikali ipate takwimu kwa urahisi

    Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata Huduma. Mfano unahitaji Kutibiwa kwa Njia ya Bima, Utadaiwa Cheti cha Kuzaliwa, cha serikali ya...
  9. Hii ni kali, polisi wenye daladala wanaiibia serikali

    Hii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi. Mama Samia kafanya kweli katika kulitumbua jipu hilo maana limeota mizizi. Hao maafisa wahusika ni lazima wapelekwe mahakamani kwa uhujumu uchumi.
  10. Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  11. Serikali ipige marufuku soda na vinywaji vyote vilivyoongezwa sukari

    Juzi nimesikia NIHF ipo karibu kufirisika. Waziri anasema gharama za kutibu magonjwa yasiyoambukizwa ni kubwa sana. Ni magonjwa gani hayo yasiyoambukizwa? Makubwa ni Kisukari, figo na high blood pressure. Haya kwa sehemu kubwa husababishwa na ulaji mbovu na sedentary lifestyle na yanahusiana...
  12. Taifa ambalo wananchi wake wamejaa manug'uniko na malalamiko ni taifa ambalo lina serikali iliyofeli kuongoza

    Kwamba wananchi wanalalama juu ya ugumu wa maisha. Biashara ngumu huku mzunguko wa pesa upo chini. Ajira za kugombania kama watoto wanagombania peremende. Tozo lukuki kama vile hakuna vyanzo mbadala vya kulipatia mapato taifa. Watanzania mpaka ifike 2025 mtakuwa watu wa kulialia na kulalama tu.
  13. I

    Ni vitu gani serikali ifanye ili iweze kuboresha sekta ya elimu na ajira?

    1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa? 2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo? 3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
  14. B

    SoC02 Jinsi Serikali inavyoweza kutumia miradi mipya ya kibunifu kuingiza mapato zaidi kuliko kutegemea tozo na kodi zaidi

    Tozo Tozo ni ushuru au kodi ambayo wananchi wanatozwa na serikali. Pia hii ni aina moja wapo ya chanzo cha mapato kwa serikali za sasa hasa zile za ulimwengu wa tatu ambayo pia huchangia maendeleo ya miradi mbalimbali ya serikali kama kujenga hospitali, barabara, shule, mishara na marupurupu...
  15. Rais Samia: Baadhi ya maafisa wa Polisi huiba mafuta ya Serikali kuendeshea vyombo vyao binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa/ Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022 == Samia Suluhu Hassan amesema anazo taarifa...
  16. Je, ni Sahihi kwa Serikali kuchukua mashamba ya wananchi na kuwagawia Viongozi?

    Naomba kujua kwa wenye ufahamu wa masuala ya ardhi maana jambo hili kwa akili ya kawaida tu naona haliko sawa. Nafahamu kuwa serikali inaweza kuchukua maeneo ya wananchi kwa manufaa ya jamii nzima (for public interest) na sio kwa ajili ya kuwagawia viongozi. Naomba kupata msaada wa mawazo...
  17. R

    Makarani wa sensa ni akina nani?

    Zoezi la sensa kufikia tamati leo wakikusanya taarifa mbalimbali zinazotuhusu. Je, tunajua makarani wa sensa ni akina nani? Kama taarifa zako zikitumiwa vibaya na kuuzwa kwa watu huna pa kumshtaki zaidi ya kulalamika kwasababu mpaka sasa hivi bado hatuna sheria ya ulizi wa data. Lakini siyo tu...
  18. Serikali ya Tanzania yasema kuna visa 519 vya kipindupindu, kati yao wagonjwa 11 wamefariki mwaka 2022

    Takwimu za Wagonjwa wa Kipindupindu Nchini Tanzania kuanzia Januari 2022 hadi Agosti 2022 ni visa 519 ambapo kati yao 11 wamefariki Dunia, Mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma ikitajwa kutoa wagonjwa wengi. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri kusimamia...
  19. Rais Samia Ingilia kati. Kodi zinazolipwa na wananchi zimezidi na haziendani na Miradi ya Maendeleo inayofanywa na Serikali

    Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
  20. S

    Ili kuondoa tozo Serikali ifanye yafuatayo

    Yafuatayo ni mapendekezo yangu yatayobana matumizi na/ama kuibua/kuongeza makusanyo. 1. Wabunge walipwe sh 45,000/= kwa siku badala ya Tsh 300,000/= kama sitting allowance. Hivyo serikali itaokoa Tsh 255,000/= × 395 (idadi ya wabunge ) kwa siku sawa na TSh 100,725,000/=kwa siku. 2. Tabia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…