serikali

  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 521 watoroka shuleni Simiyu, Serikali imetangaza mpango wa dharura

    Jumla ya wanafunzi 521 wa Shule mbalimbali Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wameripotiwa kukimbia masomo kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita hali ambayo imeilazimu Serikali kutangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na tatizo hilo. Ni katika kukabiliana na changamoto ya utoro shuleni, ambapo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni watu sahihi kwenye Wizara

    Engineer waziri mdogo wa Finance hataweza kujibu maswali! Mwingine PHD fake!
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ajikanyaga Bungeni kuhusu kodi ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia ya Dhahabu

    Sakata la Makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea Tsh. Bilioni 700 zilizotokana na kesi za malimbikizo ya madeni ya Makinikia badala ya Tsh. Trilioni 360 ambayo ni madai halali kwa Tanzania. Mpina amehoji swali hilo la...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yaokoa mabilioni ya pesa Kigoma

    Tangu Tanzania ipate uhuru Kigoma wamekuwa wakitumia umeme wa Jenereta lakini serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kuiunganisha kigoma katika Grid ya Taifa na kufanikiwa kuzima majenereta yote ya Kibondo, Ngara na Biharamulo na kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. kwa kufanikiwa kuunga...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Haki za Wasichana: LHRC yashinda kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mnamo mwaka 2019 kilifungua shauri dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa niaba ya wasichana wa Tanzania katika Kamati ya Afrika ya Wataalamu ya Haki na Ustawi wa Mtoto Shauri hilo lililenga kuwatetea wasichana wa Tanzania wanaopata ujauzito wakiwa bado shuleni...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Serikali iishawishi TFF iwatoe kifungoni ndugu Dauda na Manara ili waambatane na Serengeti Queens huko India

    Serikali kupitia Wizara ya Michezo iishawishi TFF iwatoe kifungoni bwana Shaffih Dauda na Haji Manara kwa maslahi ya nchi kwenye upande wa hamasa wa Timu zetu za Taifa. Pamoja na mapungufu ya wadau hao wa Soka bado ni watu muhimu kwenye uga wa hamasa na kukosea kwao isiwe sababu ya kushindwa...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Tovuti za serikali ya Iran zadukuliwa

    kama njia moja ya kupinga tukio la kumuua mwanamke kisa kaonyesha nywele zake, wadukuzi wamepiga chini tovuti za serikali ya Iran. Tehran, Iran – Several Iranian government and state-affiliated media websites are down after a Twitter account linked to the “Anonymous” hacker collective claimed...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

    Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  11. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Zungu na Serikali Waungwe Mkono, Bando Zinapaswa Kuwekwa Tozo

    Hoja ya Zungu kwa wenye akili watafikiria vizuri na kuisupport, serikali imekua ikipoteza mapato kupitia bando. Sasa hivi matumizi makubwa yamehama kutoka kwenye voicecall na kuwa kwenye bando. Hivyo ninaomba kwa wale wenye akili waunge mkono wazo Hilo la serikali kwa kufikiria na kuja na tozo...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja

    Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali. Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Hongera serikali kusikia kilio cha tozo

    Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imetangaza kufuta tozo tatu za miamala ya kieletroniki kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu. Naipongeza serikali kwa kuwa sikivu na kuja na marekebisho yaliyowezesha kufutwa baadhi ya tozo. Aidha, naungana na wasomi na wabunge walioshauri kuangalia namna ya...
  14. feisar wa moro

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini bei za vyakula Tanzania zipande mara dufu

    Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro) ZAO MPUNGA Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita Bei ya kupanda ni laki...
  15. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Serikali hizi tozo ni balaa. Nilichokiona Nyamhongolo stand ni wizi juu ya wizi

    Habarini wanajukwaa na watanzania tunaokamuliwa na wajanja wachache. Yaani inakuwaje jamani watu Kama watano tu wanatuendesha sie nyumbu. Tunamcheka nyumbu 10k wanakimbia chui 5 Ila na sie hatuna tofauti. Wanatumia nyumbu wenzetu maaskari kutudhibiti tunaotaka kuwatetea Mana watt wao wanasoma...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Magoha aishauri Serikali kufunga tovuti za Ngono kuokoa Vijana

    Katibu wa Baraza la Mawaziri upande wa Elimu anaye maliza muda wake George Magoha ameishauri Serikali kuzifungia tovuti zote zinazo jihusisha na maudhui ya ngono nchini Kenya ili kuwanusuru vijana hasa wanafunzi dhidi ya athari hasi za tovuti hizo. Amebainisha kuwa pamoja na kuwa dunia...
  17. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya Bandari ya Mtwara chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu yazaa matunda.

    Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo. Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inaangalia uwezekano wa kuongeza malipo ya mafao ya wastaafu

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
  19. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM fanyeni maamuzi magumu. Mpumzisheni Rais Samia, Serikali yake ni kigeugeu!

    Alianza kwa kasi Sana na tuhuma za ugaidi Hadi nchi yetu ikaanza kujulikana kwa tishio la ugaidi kwa mataifa ya nje, na kesi akamfungulia mtuhumiwa Mwisho wa siku kesi ikayeyuka na mtuhumiwa hatari wa ugaidi KILA siku anakaribishwa ikulu Sasa unajiuliza Mbowe aliyekuwa Gaidi Ndio huyu wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

    Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali. Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala. Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
Back
Top Bottom