serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Serikali iamue lugha ya Kiingereza iwe ya kufundishia shule ya msingi kuliko kuruhusu mikoa na wilaya kujiamulia. Huu ni ubaguzi!

    Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english medium. Kwetu sisi wazazi tunaona kuwa ni jambo jema kabisa kwani tumekuwa tukilihitaji kwa muda...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanga: Utaratibu wa ugawaji mahindi ya msaada unatukera, Serikali iangalie utaratibu uliopo

    Wanakijiji Tanga wanapanga foleni kupata msaada wa mahindi na pia lazima waje na vitambulisho, wanauziwa kilo moja kwa shilingi mia tisa, watu ni wengi sana na foleni huenda ikawa hadi jioni na kitu endelevu. Kinachofanyika kwa sasa kimekuwa kikifanyika wiki nzima yote hii. Wanaunganika...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malaysia: Mpinzani ateuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya Serikali kupoteza viti vingi Bungeni

    Mfalme Sultan Abdullah amelazimika kumteua Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim na kuhitimisha siku 5 za mzozo wa Kisiasa uliosababishwa na Kura zenye utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu. Uteuzi wa Anwar unatajwa pia kumaliza miaka 30 ya mvutano wa kisiasa kati ya Serikali na Upinzani na kuweka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inatengeneza Ajira 40,000 Kwenye Kilimo

    Rais Samia Suluhu amemaliza Ziara yake leo mkoani Manyara kwa kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Baada ya ukaguzi huo alikutana na kuzungumza na wananchi. Kabla ya Rais Samia kuzungumza. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alipata nafasi ya kuzungumza na kuongelea jinsi Serikali...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Serikali yapitisha sheria ya kuwaadhibu 'wasio wazalendo' kwa nchi

    Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake. Pia, Sheria hiyo iliyopewa jina la Sheria ya Uzalendo, imeharamisha raia wasioidhinishwa kufanya...
  6. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nilimeza dawa za Malaria nikachubuka Uume na Midomo. Je, Serikali inafahamu kuhusu haya Mambo?

    Kama haya madhara mnayafahumu kwanini mnapiga kimya hamtoi taarifa kwa watumiaji? Uume ulichubuka na kutoa usaha Then nyie mpo kimya tu Daktari anasema Kuna salfa Lakini why nyie Viongozi wa dawa za Binadamu hamtoi Mwongozo?
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali iitupie jicho kali MVIWATA na viongozi wake, tayari wamejibainisha kuwa na ajenda ya chinichini ya kisiasa

    Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano. Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Serikali ya Rais Samia kuhusu akiba ya Chakula Nchini

    Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mali yapiga marufuku Mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa na Ufaransa

    Serikali ya kijeshi ya Mali Jumatatu ilipiga marufuku shughuli za mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa au kuungwa mkono na Ufaransa, ikiwa ni pamoja na mashirika ya kibinadamu, huku kukiwa na mzozo unaozidi kuwa mbaya kati ya Paris na Bamako. Waziri Mkuu wa muda wa taifa hilo la Afrika...
  10. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Suala la umeme Tanzania ni uzembe wa Serikali

    Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it." Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi. Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January. Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Simu zapigwa marufuku Magerezani Uganda wakati wa Kombe la Dunia

    Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka. Msemaji wa Magereza Frank Baine amesema "Wafanyakazi wote hawatakiwi kuripoti kazini na Simu kwa sababu zinavuruga umakini na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mabenki bado yanakata Tozo za Miamala zilizofutwa na Serikali?

    Hivi wakuu mmegundua wizi unaofanywa na Mabenki kwenye makato ya miamala? Licha ya Serikali kufuta Tozo za Miamala ya uhamishaji fedha ndani ya Benki, kwenda kwenye Simu pande zote, kutoka Benki moja kwenda nyingine tangu Okt. 1, 2022 lakini bado kuna Benki zimeendelea kukata tozo hizo bila...
  13. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenyeviti Serikali za mtaa/Vijiji hawashitakiwi mahakamani au kufungwa kwa kushiriki utapeli/wizi wa ardhi?

    Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani? Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nje ya Social media Serikali ya Awamu ya 6 inasemwa ovyo sana

    Heri Yako wewe unaepata nafasi ya kuandika chochote hapá kwenye jukwaa la watu laki sita. Lakini pia ndani kuna chawa wakupaka rangi uongozi wa sa100 kutuamaninisha mambo Yako bomba. Kama watu wote wangekuwa na uwezo/,Uhuru wa kueleza hisia Zao hazarani, basi tungeshuhudia maandamo makubwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
  16. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuwabagua waliosoma private mikopo elimu ya juu kunaenda kuigharimu Serikali

    Iko hivi. Kama ulisoma O-Level na Alevel au moja wapo private basi kupata mkopo toka Loarn board ni shida. Private secondary school zilikua zinasaidia kupunguza mzigo wa kuendsha elimu kwa serikali. The same vyuo vikuu. Ujue serikali inafadhiri shule zake kwa idadi ya wanafunzi shuleni. Wazazi...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali iendelee na sherehe za kumpongeza Majaliwa

    Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD. Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga. Hata mwezi haijapita dege...
  18. Joannah

    JamiiForums Tanzania Serikali hamisheni dampo la Pugu Kinyamwezi

    Viongozi wenye dhamana katika hili,nawasalimu! Jana jioni mida ya saa moja nilipita mitaa ya PUGU KINYAMWEZI, nilistushwa na moshi uliotanda kwenye mazingira Yale nyumba zote zimezingirwa na moshi mithili ya ukungu wa usubuhi kwenye safu za milima ya Uluguru. Kiukweli, mimi tu mpita njia Tena...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haikatazi kufuga mjini lakini inakataza kulima?

    Watanzania huwa tuna mambo ya ajabu sana. Tupo kinyumenyume sana. Kulima mazao kama mahindi mjini hakuna madhara yoyote, zaidi zaidi ni faida kwa mazingira ya mjini. Ni kama bustani mjini. Lakini utakuta miji mingi inasheria ya kutoruhusu mazao kama mahindi kupandwa mjini, wakitishia kuyakata...
  20. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Wazo kwa Serikali yetu kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani

    Kuundwe kikosi kazi madhubuti kwa ajili ya kupambana na majanga. Tumezoea kuona kuwa Jeshi la zima moto ndio liko kwa ajili ya kupambana na majanga hasa ya moto lakini kiukweli kuna majanga zaidi ya moto ambapo yanapotokea jeshi hilo haliwezi kuingilia kati. Sasa nashauri hivi kama ilivyo kwa...
Back
Top Bottom