serikali

  1. Thailand

    JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii hadi chombo cha serikali (TBC) wanahamasisha kamali ya Upatu

    Now Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, Kila Tv na radio habari yao ni moja tu "cheza ushinde kwa buku tu" hii inafikirisha sana. Inaamana Uchumi wetu umeporomoka sana kiasi kwamba kila mwananchi anavizia mchongo wa kamali ili kutimiza malengo. Uchumi huru kwa wananchi hasa wa hizi nchi...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Angola: Serikali yaidhinisha kukamatwa mtoto wa Rais wa zamani, Dos Santos

    Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo. Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lissu: Desemba tutaamua kama tunaendelea na mazungumzo na CCM au tunaachana nao

    Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA) kimesema kitaamua kama kiendelee mazungumzo na CCM au la ifikapo mwezi Desemba kwa kuwa mambo mengi wanayolalamikia hayatekelezwi. Kauli ya CHADEMA imekuja wakati mazungumzo hayo yakiwa yametimiza miezi sita, huku kukiwa na usiri mkubwa wa...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali fanyieni kazi Matapeli Wengine hawa hapa. Wanajitangaza bila woga kabisa. Nchi imekuwa kama haina mwenyewe

    Huu ni Utapeli wa Wazi kama Utapeli mwingine. Serikali msipookoa Wananchi wenu Wapumbavu nani atawaokoa? Au ni viongozi gani hufaidika na Michezo hii? 🔰SHERIA NA UTARATIBU WA PLATFORM YETU MAELEZO NA SHERIA ZETU 💸📲 VIWANGO VYA KUWEKEZA NA FAIDA UTAKAYO POKEA YA ASILIMIA 100% BAADA YA SIKU...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

    Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba. Ikifika mitihani ya taifa wenzake aliyowaburuza darasani wanapangiwa Mzumbe...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iran: Msanii aliyepinga ukandamizaji wa Serikali, akabiliwa na hukumu ya kifo

    Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Toomaj Salehi anatuhumiwa kueneza Propaganda, Kushirikiana na Serikali yenye Uadui na Kuchochea Vurugu. Salehi alikamatwa Oktoba 2022 baada ya kuunga mkono maandamano ya kupinga kifo cha Mahsa Amini, msichana wa miaka 22 aliyefariki akiwa chini ya Polisi kwa...
  7. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Mikopo ya Chapchap inavyowakamua watumishi wa serikali mtaani

    Ongezeko la taasisi zinazotoa mikopo ‘chap chap’ yenye riba kubwa na kugeuka machungu kwa wakopaji, imeelezwa kuwa chanzo cha msongo wa mawazo kwa mdaiwa, kufariki kwa shinikizo la damu au kukimbia kusikojulikana. Dar es Salaam. Ongezeko la taasisi zinazotoa mikopo ‘chap chap’ yenye riba kubwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweni makini na rushwa na ufuatiliaji

    Rushwa inarudi kwa kasi Tanzania na inasikitisha sana. Serikali na viongozi wakuu kama wenyewe sio wala rushwa inabidi wafanye ufuatiliaji wa vitu vya wananchi. Nitatoa mifano hapa 1. Kama ni mfanyakazi wa serikali tujiulize ni kwanini card za NIDA zinachelewa? Ukiangalia vizuri hakuna tatizo...
  9. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji limetatuliwa, la umeme litakwisha karibuni na miradi mingine yote inakamilishwa. Watanzania tuunge mkono juhudi za serikali yetu

    Serikali ya awamu ya sita haijawahi kupumzika katika kutatua kero za Watanzania, tatizo la maji lililokuwa limetokea hivi karibuni hasa kwa Wakazi wa Dar Es Salaamu limetatuliwa kwa asilimia 100, tatizo la mgao wa umeme liko mwishoni kuwa historia, kila kitu kinahitaji muda na fedha...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Geita: Serikali yashauri wazazi kutowanunulia simu watoto waliopo shuleni

    Serikali ya Mkoa wa Geita imewataka wazazi mkoani humo kuacha kuwanunulia simu, Watoto wao ambao bado wapo mashuleni ili kuwaepusha na mmomonyoko wa madili unaotokana na mitandao ya kijamii. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita, Tito Mlelwa amesema “Jamii hasa wazazi wanatakiwa kubeba mzigo huo kwa kuwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

    Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia. Watanzania wanafahamishwa na...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM ni Chuo Kikuu kisichobadilika, ubora wa utawala bado uko chini

    Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM. Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu! Wanafunzi ndio wanahangaika kupiga simu chuoni kuwakumbusha watawala kwamba wao ni wahitimu. Chuo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha rasmi mgao wa maji

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuondoa kero kwa wananchi na sasa mgao wa maji Dar es Salaam umefika mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitangaza kusitishwa kwa mgao wa maji. RC Makala jana alisema kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani unapata maji ya kutosha na ya ziada...
  14. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali iyaachie mashirika muhimu ya umma yenye kutoa huduma kwa jamii moja kwa moja yajitegemee kila kitu kasoro usimamizi tu

    Hii ni kwa maslahi ya wananchi... Kinachopelekea uzembe na kudorora kwa utoaji wa huduma kwa wananchi ni Kwamba... Wana uhakika wa mshahara bila kujali mauzo... Ingebidi wawe wanawapata malipo kulingana na wanavyouza wangekuwa na adabu na kujituma. Kwa mfano TBC wanajua kabisa... Uangalie...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kuvuna 75% ya mapato kitalu cha gesi Ruvuma-Mtwara

    Serikali imeingia makubaliano ya kihistoria ya uzalishaji na ugawaji wa mapato (PSA) kitalu cha gesi cha Ruvuma-Mtwara yenye thamani ya Dola milioni 500, hiyo ikiwa ni miaka saba tangu kubadilishwa kwa sheria ya Petroli mwaka 2015. Kupitia mkataba huo, Serikali itapata faida kwa asilimia 75...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ghafi ya mafuta na gesi

    25 November 2022 January Makamba - Kitalu cha gesi Ruvuma Mtwara, serikali kuvuna 75% ya mapato ghafi Video courtesy of Millard ayo Hayo yamebainisha na waziri wa nishati Mh. January Makamba kufuatia mkataba huo wa kihistoria serikali. Waziri January Makamba anabainisha kuwa huko nyuma...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yapunguza riba ya mikopo

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu iliahidi kumuinua mwananchi kiuchumi na sasa imekuja na punguza ya riba ya mikopo ya mtu binafsi Benki Kuu ya Tanzania imetangaza kushusha riba ya mikopo binafsi kutoka asilimia kati ya 11 na 13 hadi asilimia 9. Hatua hii inafuatia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Serikali iamue lugha ya Kiingereza iwe ya kufundishia shule ya msingi kuliko kuruhusu mikoa na wilaya kujiamulia. Huu ni ubaguzi!

    Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english medium. Kwetu sisi wazazi tunaona kuwa ni jambo jema kabisa kwani tumekuwa tukilihitaji kwa muda...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanga: Utaratibu wa ugawaji mahindi ya msaada unatukera, Serikali iangalie utaratibu uliopo

    Wanakijiji Tanga wanapanga foleni kupata msaada wa mahindi na pia lazima waje na vitambulisho, wanauziwa kilo moja kwa shilingi mia tisa, watu ni wengi sana na foleni huenda ikawa hadi jioni na kitu endelevu. Kinachofanyika kwa sasa kimekuwa kikifanyika wiki nzima yote hii. Wanaunganika...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malaysia: Mpinzani ateuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya Serikali kupoteza viti vingi Bungeni

    Mfalme Sultan Abdullah amelazimika kumteua Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim na kuhitimisha siku 5 za mzozo wa Kisiasa uliosababishwa na Kura zenye utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu. Uteuzi wa Anwar unatajwa pia kumaliza miaka 30 ya mvutano wa kisiasa kati ya Serikali na Upinzani na kuweka...
Back
Top Bottom