serikali

  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali iunde kanzi data moja itakayounganisha Wizara na Taasisi zake zote

    UTANGULIZI. Serikali imekuwa ikikumbwa na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma ambapo ubadhirifu huu unasababishwa kwa kiwango kikubwa na maamuzi mabovu yanayofanywa na wizara ama taasisi zake kwa makusudi ili kutimiza adhma ya ubadhirifu, kuna maamuzi mengi yanafanyika katika wizara mbalimbali na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wastaafu tumewakosea nini Serikali?

    Leo ilikuwa ni siku ya Wafanyakazi dunia nzima. Hapa Tanzania sherehe hii iliadhimishwa Mjini Morogoro na mgeni rasmi alikuwa Mhe. Samia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Sherehe kama ya leo ndiyo wafanyakazi wanawasilisha kero zao mbele ya Mgeni Rasmi ili zifanyiwe kazi. Sisi Wastaafu...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe, Tunahitaji Muungano wa Serikali 1 tu

    Kati ya vitu vinavyofanya sisi waafrika tuendelee kuwa maskini ni kutotumia akili zetu vizuri na pia kupenda sana madaraka/ vyeo. Nimefuatilia kwa muda sasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na nilichogundua ni kuwa wale wengi wanaotaka Zanzibar iwe na Serikali au Tanganyika iwe na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tudadavue ukubwa wa tatizo la ajira nchini: Ni wangapi wanaingia kwenye soko la kutafuta ajira kwa mwaka? Uwezo wa kuajiri (serikali & private)?

    Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni kwa mwaka kusaka ajira wakiwa na certificate, diploma, degree nk. Hali kadhalika kwa wanasheria...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema Kwa kufungua Nchi

    Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema, manufaa na kufungua fursa mpya kwa watanzania hasa kwa kuunganisha Nchi na mikoa kwa barabara nzuri za lami. Kauli hiyo imetolewa mkoani Rukwa na Waziri wa Ujenzi na...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ijali Watanzania kama inavojali mchezo wa mpira

    Kama watendaji wa hovyo kwenye usimamizi wa uwanja wa Benjamin William Mkapa wamesimamisha ,vipi kuhusu waliohusika na ubadhirifu wa Mabillion kutokana na Ripoti ya CAG ni wazi Basi serikali haioni umuhimu kwenye masuala yanayogusa Rasimali za Watanzania maskini na wanyonge. May Mosi Njema kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hapa ni kuisumbua Serikali na kuitafutia lawama tu. Waacheni watu wa enjoy

    Mtu anaanzisha uzi kulalamika akitaka Serikali iliangalie hili suala. Iingilie kati n.k suala ambalo ni la mtu binafsi. Mtu analalamika kuwa kuna wanawake wanacheza huku wanaingiza chupa kwenye uchi zao. Serikali iingilie kati. 1. Huo uchi ni wa nani? 2. Hizo chupa wanazoingiza ni za nani...
  8. JamiiForums Tanzania Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasimamia fedha za Serikali vizuri kuliko Hayati Magufuli

    Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu katika mwaka huu wa fedha kuliko mwaka jana, kufuatana na ripoti ya CAG Kichere. Swali tu ni kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo kipya ni unyonyaji kwa wastaafu

    Wasalam wana ndugu TZ ni ngumu lakini yabid tupambane nayo maana ndiyo nchi yetu pendwa. Leo nimekuja kwenu bila ihana pia sikatai kukosolewa maan sijui kila kitu ila nakuja kwa jambo na hoja ya msing ya mifuko ya jamii kama PSSF na NSSF. Jamani serikali tunaomba mzingatie mambo kwenye kulipa...
  12. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali

    TAARIFA iliyotolewa leo na Ofisi ya Rais - TAMISEMI imesema kuwa gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri wa ofisi hiyo lilikuwa ni gari binafsi na sio la Serikali kama ilivyotajwa na baadhi ya baadhi ya mitandao ya kijamii. Dk Dugange alipata ajali usiku wa Aprili 26, 2023 wakati...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  14. JamiiForums Tanzania Inakuwaje serikali inakosa mishahara ya wafanyakazi wake mfano Kenya?

    Habari wana uchumi wa JF! Kama somo linavyosema hapo juu.. Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge. Kufikia sasa wafanyakazi wa umma hawajui ni lini watalipwa mishahara yao hali ambayo ilianza mwezi Disemba na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali mnahalalisha uongo kupunguza watoto wa mitaani huku mkiwanyima haki ya kuwajua baba zao halisi

    Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani? Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Hichilema aagiza magari ya kifahari yauzwe ili kulinda uchumi wa nchi

    Rais Hichelema ameagiza magari yote ya kifahari nchi humo yauzwe ili kulinda uchumi na kuwataka viongozi waishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine huku wakikabiliana na hali ngumu ya uchumi. Hawa ndio wako serious kuendana na hali ya uchumi wa dunia wameamua na kutenda, magari haya ni...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku matumizi ya nembo ya upinde wa mvua (Rainbow) mashuleni

    Taratibu tutaelewana? Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji. Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Polisi acheni kutumika vibaya na Serikali

    Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali. Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi. Cheo ni dhamana. Sasa hivi Uhuru Kenyatta anazuiliwa na Polisi!
  19. JamiiForums Tanzania Serikali Iko wapi mwalimu ananyanyaswa na kudhalilishwa Wilaya ya Kilindi Tanga?

    PART 1. MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU. MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE? MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI. Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?, mnatuchuliaje WALIMU...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa Elimu na kuwapa ujuzi watu wenye Ulemavu wanaoonekana wakiombaomba na wanaotumiwa kama chombo katika kuomba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edwin Malleko ameiuliza swali Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu "Watu wenye ulemavu wameonekana wakiwa ombaomba na kutumiwa kama chambo katika kuomba, ni mkakati upi wa Serikali katika kuwasaidia watu hawa kujikwamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…