serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono baadhi ya harakati za serikali kuzuia muziki wa juu kupita kiasi unaopigwa na baadhi ya baa nchini

    Hello bosses and roses... Niwe mkweli tu, hata kwa wateja ukipeleka questionaire ya haya mambo ya kupiga mziki kwa sauti kubwa kupitiliza bar wengi (actually karibu 80%) watasema hio miziki izimwe tu. Sababu zangu naweka hapa chini. 1) UBOVU WA SOUND SYSTEM Sound system za bar nyingi ni za...
  2. JamiiForums Tanzania Hatutaki dini ndani ya serikali

    Wanaharakati vita yetu si ya damu na nyama,bali ni ya kutumia maarifa na ufahamu. Dua yangu ''Ee ulimwengu nifundishe niwe na maarifa,niendeleze akili yangu ili nipate hekima.'' Tanganyika ilipopata uhuru,viongozi wa kiislamu walikusanyika kwa nyerere kuona nafasi yao ndani ya serikali ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kinachofanya watumishi wa Serikali Tarime/Rorya kuuwa na wananchi ni hiki hapa.

    Angalia kwa umakini
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma kuongeza kasi

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma...
  5. JamiiForums Tanzania Dodoma: NEMC yazifungia Rainbow na Chako ni Chako kwa kupiga kelele

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia bar za wazi za Rainbow na Chako ni Chako Pub za Jiini Dodoma baada kukuta kelele zilizo kinyume cha sheria ya usimamizi wa mazingira namba 20 va mwaka 2004 na kanuni ya viwango vya udhibiti wa kelele na mtetemo ya mwaka...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nimepita jengo la bunge nimeliangaliaaa, kisha nikajiuliza, waliomo humo wanatusaidia nini?

    Daah! Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG? Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali?? Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio yangu! Daah! Ikitokea mtumishi wa chini kabisa huko kahusishwa tu na udanyifu fulani, achana na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wanunuzi wa vyakula kutoka nje ya nchi watumie dola kununua vyakula kutoka katika maghala ya serikali

    Kila mara wananchi tulipohoji kuruhusiwa Kwa wafanyabiashara Kutoka nje ya nchi kuingia nchini kununua mazao ya vyakula mashambani kwa pesa za kitanzania, tulijibiwa kuwa " Tusimpangie MKULIMA wapi auze mazao yake". Pesa za Umma zimetumika kuagiza mbolea na pembejeo za KILIMO nje ya nchi Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali isikie kilio cha Barabara ya Goba Mpakani, ruti zinabadilishwa, wanapandisha nauli kiholela

    Jamii Forums naomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu Barabara ya Goba Mpakani hadi Tegeta A hapa Dar es Salaam, ni mbovu sana na inatugharimu sisi raia wa kawaida. Mfano mvua iliyonyesha jana tarehe 5 Mei, 2023 eti imesababisha tubadilishiwe ruti na nauli ipande, je hii ni sawa? Mwezi uliopita...
  9. JamiiForums Tanzania Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

    Ninaomba michango kuhusiana na thread hii tafadhali?
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kujipanga kupitia takwimu za sensa kiuchumi na kijamii Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kupitia takwimu zilizotolewa na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Serikali ina jukumu la kujipanga kwa utekelezaji wa kiuchumi na kijamii. Ameyasema hayo leo Ikulu Zanzibar katika shughuli fupi ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa gharama za vipimo kwa wajawazito

    Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo ya mtotozitatolewa bure Lengo la Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kupunguza...
  12. JamiiForums Tanzania Mnyeti: Tanga Cement irudi kuwa Mali ya Serikali

    ALEXANDER MNYETI ATAKA TANGA CEMENT IRUDI KUWA MALI YA SERIKALINI Mbunge wa Jimbo la Misungwi Mhe. Alexander Pastory Mnyeti tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishw akwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia Haitasahaulika Wala Kufutika Katika Mioyo ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali ya Rais Samia itakumbukwa kwa miaka mingi sana, itaishi katika mioyo ya Watanzania na kusimuliwa vizazi na vizazi. Haiji kupotea wala kufutika katika mioyo ya Watanzania, itaendelea kudumu na kutawala fikira za Watanzania. Itaendelea kuongoza katika mioyo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Charles Mwijage Aionesha Serikali Mbinu ya Kulinda Viwanda

    MHE. CHARLES MWIJAGE AIONYESHA SERIKALI MBINU YA KULINDA VIWANDA Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Poul Mwijage Akizungumza Bungeni wakati akichangia hoja kwenye bajeti ya Wizara ya viwanda na Uchukuzi Mhe. Mwijage ametumia muda huo kuionyesha Serikali mbinu hizo ambazo...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji na kuitumia kufanya manunuzi ya nje na kulipa madeni?

    Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni dola zinapotea dunia nzima. Kwa nini tusinunue mafuta kutoka Saudi Arabia kwa kutumia dhahabu na...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianzishe kikosi cha Jeshi la Polisi Mazingira

    Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
  17. JamiiForums Tanzania Zembwela wa Wasafi FM aitaka Serikali iruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Wanaohitaji huku akiisifia mno

    "Nchi nyingi Siku hizi tena zilizoendelea kama ninayosafiri sana ya Netherlands na nyinginezo zinaruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Raia wake wanapotaka sioni sababu ya Tanzania kuzuia wakati Bangi nayo ni Burudani na ina Starehe yake" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Zembwela (Hillary Daud) akiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni nini kinachoipatia Serikali ya Zanzibar mapato?

    Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar. Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo? Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar? Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Ezra Chiwelesa Aishauri Serikali Kuanzisha Taasisi ya Kusimamia Mifugo na Uvuvi

    MHE. EZRA CHIWELESA AISHAURI SERIKALI IANZISHE TAASISI YA KUSIMAMIA MIFUGO NA UVUVI Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi mkoani Kagera Mhandisi Ezra Chiwelesa ameishauri serikali kuanzisha taasisi rasmi za kusimamia sekta ya mifugo pamoja na uvuvi ili kuwawezesha wafugaji na wavuvi kufikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

    Hello! Mambo ya mafumbo ni ya kizamani. KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…