Hivi karibuni serikali ya Tanzania imesaini mkataba na serikali ya UAE kupitia kampuni ya DP World ili kuweza kuendesha bandari zote za Tanzania kupitia kampuni hiyo bobevu katika maswala ya uendeshaji wa bandari Duniani. Walakini kumeonekana kuwepo kwa mapungufu mengi kwenye mkataba huo aidha...
SERIKALI KUWA NA IMANI NA SERA YA TAIFA YA UGATUAJI WA MADARAKA KATIKA MAWANDA YA USHIRIKISHWAJI WA WADAU
Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka ambapo wadau mbalimbali wameshirikishwa na kutoa maoni yao ambapo Rasimu hiyo imewasilishwa katika ngazi...
SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI.
Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.
Hiki...
Wasalaam Wakuu.
Baada ya Bunge kuunga Mkono azimio la Serikali kuingia Mkataba na Kampuni ya DP World, mengi yamekuwa yakisemwa.
Leo tar 12 Juni 2023, Waziri Prof Mbarawa alikutana na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu juu ya mkataba wenyewe. Na kuondoa sintofahamu na hofu...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na...
Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu.
Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari...
Rais Samia Suluhu amesema ndani ya miezi sita kuanzia sasa mifumo ya kiteknolojia inayoundwa na serikali itampa uwezo wa kufuatilia taarifa zote za taasisi za umma zikiwemo za bandari.
Ili kukuza biashara ni lazima mifumo yote ya serikali isomane na taarifa zioane kwani mifumo iliyopo sasa...
Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu.
"....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu akaelekezwa aandae Waraka mahsusi kulisemea hilo hivi karibu."
"....nadhani baadhi ya vipengere ndani ya...
MOJA ya jukumu kubwa la kikatiba la Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Kuandaa Hati zote za kisheria na Maazimio kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania swali wanalojiuliza watanzania wote miijini na vijijini ni kwanini siku ya tarehe 10 Juni 2023 wakati wa kupitisha...
UANDISHI WA SHERIA
Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria.
Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za...
Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki yenye wakazi zaidi ya milioni 58. Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa, na wananchi wake wana haki ya kushiriki katika mchakato wa utawala kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuiwajibisha Serikali yao.
Katika makala haya, tutajadili nafasi...
Nimesikiliza wanasheria wengi wakidadavua huo mkataba, hawana viwango wa kuingia mikataba kwa niaba ya serikali.
Kwa kuanzia tu hakuna mkataba usiokuwa na stabilisation clause. Hakuna mkataba wa kimataifa usiokuwa na sehemu neutral ya kutatua mgogoro; hiko kitu hakipo. Wengi hawajui processes...
Karibuni katika kuchangia mawazo ili kuweza kupata mbinu zitakazo wezesha kumnusuru mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni na ukatili wa kingono,mara nyingi naweza sema kuwa serikali imekuwa nyuma sana katika kuhakikisha kuwa inazuia na inaweka mazingira ambayo mtoto wa kike anakuwa katika...
Kawaida, kwa Tanzania ukizungumza juu ya majimbo, watu wengi hudhani ni yale yanayowakilishwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Majimbo ninayozungumzia hapa, ni mikoa inayoongozwa na Wakuu wa Mikoa kwa sasa! Swala la serikali za majimbo limezungumzwa siku nyingi na mara...
Ilivyo sasa kwa hii route ya Dar es Salaam na Mwanza ni kitu sio cha kukifumbia macho.
Vijana ku bet ushindani wa mabasi ni kitu kinacho shamiri mnoo usishangae kuina vijana wamejipanga kando ya barabara misili wanasubiri msafara wa Rais.
Kuna yule binti Mtanzania aliyekuwa mshauri wa rais wa Zambia katika mahusiano ya umma, alisema kwamba, alipofika Zambia alikuta hali ni mbaya sana kuhusu usambazaji wa taarifa kati ya serikali na wananchi kwa sababu serikali ilikuwa haiwapi taarifa wananchi kwa wakati, hali iliyopelekea...
Hukumu imetolewa katika Mahakama ya Wilaya ya Makete, dhidi ya Isaya Samwel Madoki ambaye ni mtumihsi wa Umma, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la wizi kinyume na kifungu cha 258(1) na 270 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 mapitio ya 2019.
Mahakama imethibitisha kuwa mshtakiwa...
DP, ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai!
Wakati sisi serikali yetu ikituaminisha kwamba, ni ujinga kwa serikali kujihusisha na biashara na wakati huohuo inaipa kampuni ya DP bandari zetu, ambapo ni kampuni ya kiserikali huko Dubai,
Hapa imeshajulikana nani ni nani
Msemo huu ndio...