serikali

  1. Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

    Ninaomba michango kuhusiana na thread hii tafadhali?
  2. Serikali kujipanga kupitia takwimu za sensa kiuchumi na kijamii Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kupitia takwimu zilizotolewa na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Serikali ina jukumu la kujipanga kwa utekelezaji wa kiuchumi na kijamii. Ameyasema hayo leo Ikulu Zanzibar katika shughuli fupi ya...
  3. N

    Serikali imeondoa gharama za vipimo kwa wajawazito

    Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo ya mtotozitatolewa bure Lengo la Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kupunguza...
  4. Mnyeti: Tanga Cement irudi kuwa Mali ya Serikali

    ALEXANDER MNYETI ATAKA TANGA CEMENT IRUDI KUWA MALI YA SERIKALINI Mbunge wa Jimbo la Misungwi Mhe. Alexander Pastory Mnyeti tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishw akwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
  5. L

    Serikali ya Rais Samia Haitasahaulika Wala Kufutika Katika Mioyo ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali ya Rais Samia itakumbukwa kwa miaka mingi sana, itaishi katika mioyo ya Watanzania na kusimuliwa vizazi na vizazi. Haiji kupotea wala kufutika katika mioyo ya Watanzania, itaendelea kudumu na kutawala fikira za Watanzania. Itaendelea kuongoza katika mioyo ya...
  6. Mbunge Charles Mwijage Aionesha Serikali Mbinu ya Kulinda Viwanda

    MHE. CHARLES MWIJAGE AIONYESHA SERIKALI MBINU YA KULINDA VIWANDA Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Poul Mwijage Akizungumza Bungeni wakati akichangia hoja kwenye bajeti ya Wizara ya viwanda na Uchukuzi Mhe. Mwijage ametumia muda huo kuionyesha Serikali mbinu hizo ambazo...
  7. Serikali haiwezi kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji na kuitumia kufanya manunuzi ya nje na kulipa madeni?

    Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni dola zinapotea dunia nzima. Kwa nini tusinunue mafuta kutoka Saudi Arabia kwa kutumia dhahabu na...
  8. Ushauri: Serikali ianzishe kikosi cha Jeshi la Polisi Mazingira

    Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
  9. Zembwela wa Wasafi FM aitaka Serikali iruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Wanaohitaji huku akiisifia mno

    "Nchi nyingi Siku hizi tena zilizoendelea kama ninayosafiri sana ya Netherlands na nyinginezo zinaruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Raia wake wanapotaka sioni sababu ya Tanzania kuzuia wakati Bangi nayo ni Burudani na ina Starehe yake" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Zembwela (Hillary Daud) akiwa...
  10. Ni nini kinachoipatia Serikali ya Zanzibar mapato?

    Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar. Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo? Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar? Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
  11. Mbunge Ezra Chiwelesa Aishauri Serikali Kuanzisha Taasisi ya Kusimamia Mifugo na Uvuvi

    MHE. EZRA CHIWELESA AISHAURI SERIKALI IANZISHE TAASISI YA KUSIMAMIA MIFUGO NA UVUVI Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi mkoani Kagera Mhandisi Ezra Chiwelesa ameishauri serikali kuanzisha taasisi rasmi za kusimamia sekta ya mifugo pamoja na uvuvi ili kuwawezesha wafugaji na wavuvi kufikiwa...
  12. Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

    Hello! Mambo ya mafumbo ni ya kizamani. KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena...
  13. SoC03 Serikali iunde kanzi data moja itakayounganisha Wizara na Taasisi zake zote

    UTANGULIZI. Serikali imekuwa ikikumbwa na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma ambapo ubadhirifu huu unasababishwa kwa kiwango kikubwa na maamuzi mabovu yanayofanywa na wizara ama taasisi zake kwa makusudi ili kutimiza adhma ya ubadhirifu, kuna maamuzi mengi yanafanyika katika wizara mbalimbali na...
  14. K

    Wastaafu tumewakosea nini Serikali?

    Leo ilikuwa ni siku ya Wafanyakazi dunia nzima. Hapa Tanzania sherehe hii iliadhimishwa Mjini Morogoro na mgeni rasmi alikuwa Mhe. Samia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Sherehe kama ya leo ndiyo wafanyakazi wanawasilisha kero zao mbele ya Mgeni Rasmi ili zifanyiwe kazi. Sisi Wastaafu...
  15. Ukweli lazima usemwe, Tunahitaji Muungano wa Serikali 1 tu

    Kati ya vitu vinavyofanya sisi waafrika tuendelee kuwa maskini ni kutotumia akili zetu vizuri na pia kupenda sana madaraka/ vyeo. Nimefuatilia kwa muda sasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na nilichogundua ni kuwa wale wengi wanaotaka Zanzibar iwe na Serikali au Tanganyika iwe na...
  16. M

    Hebu tudadavue ukubwa wa tatizo la ajira nchini: Ni wangapi wanaingia kwenye soko la kutafuta ajira kwa mwaka? Uwezo wa kuajiri (serikali & private)?

    Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni kwa mwaka kusaka ajira wakiwa na certificate, diploma, degree nk. Hali kadhalika kwa wanasheria...
  17. J

    Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema Kwa kufungua Nchi

    Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema, manufaa na kufungua fursa mpya kwa watanzania hasa kwa kuunganisha Nchi na mikoa kwa barabara nzuri za lami. Kauli hiyo imetolewa mkoani Rukwa na Waziri wa Ujenzi na...
  18. Serikali ijali Watanzania kama inavojali mchezo wa mpira

    Kama watendaji wa hovyo kwenye usimamizi wa uwanja wa Benjamin William Mkapa wamesimamisha ,vipi kuhusu waliohusika na ubadhirifu wa Mabillion kutokana na Ripoti ya CAG ni wazi Basi serikali haioni umuhimu kwenye masuala yanayogusa Rasimali za Watanzania maskini na wanyonge. May Mosi Njema kwa...
  19. Hapa ni kuisumbua Serikali na kuitafutia lawama tu. Waacheni watu wa enjoy

    Mtu anaanzisha uzi kulalamika akitaka Serikali iliangalie hili suala. Iingilie kati n.k suala ambalo ni la mtu binafsi. Mtu analalamika kuwa kuna wanawake wanacheza huku wanaingiza chupa kwenye uchi zao. Serikali iingilie kati. 1. Huo uchi ni wa nani? 2. Hizo chupa wanazoingiza ni za nani...
  20. Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…