serikali

  1. JamiiForums Tanzania Hii Serikali imeteletekeza vijana waliokwenda shule

    Ni jambo la kushangaza sana kuona serikali haifanyi jitihada zozote kuokoa jahazi la graduates wengi walioko mitaani bila kuwa na kazi yoyote rasmi. Serikali inatumia gharama kubwa sana kuwasomesha hawa vijana ili wapate degree mbalimbali katika nyanja tofauti, baada ya hapo hatuoni jitihada za...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yachangia ujenzi wa Shule Shikizi ya Kitongoji cha Nyasaenge cha Musoma Vijijini

    SERIKALI YACHANGIA UJENZI WA SHULE SHIKIZI YA KITONGOJI CHA NYASAENGE CHA MUSOMA VIJIJINI Kitongoji cha Nyasaenge ni moja ya vitongoji sita (6) vya Kijiji cha Kataryo. Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Tegeruka ya Musoma Vijijini. Mwaka 2017, wananchi wakazi wa Kitongoji cha...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali haina fedha? Wakandarasi wadaiwa kuanza tena kulalamikia malipo!

    Lile tatizo la miaka 5-10 iliyopita limrudi tena. Serikali inadaiwa imeanza tena kutoa Tender za ujenzi bila kuwepo fedha za kuwalipa Makandarasi. TANROADS kama idara ya serikali, pamoja na TARURA ndio watekelezaji wakuu wa miradi ya ujenzi, hasa ya barabara. Lakini invyoelekea Taasisi hizi...
  4. JamiiForums Tanzania Mchinjita: Serikali Imefeli Kuondosha Uhaba wa Petroli na Diseli

    Utangulizi Itakumbukwa kwamba tarehe 2 Agosti 2023 Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Bei hizo ziliibua malalamiko na vilio kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kupaa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kijana mzalendo kuiburuza serikali mahakamani mkataba DP

    KUSUDIO LA KIJANA MZALENDO DAVID LEVI NKINDIKWA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA MKATABA WA BANDARI. Ndugu waandishi wa habari, leo tarehe 5/8/2023 nimewaita ili kuujulisha umma wa watanzania dhamira yangu ya kufungua kesi Mahakamani kupinga mkataba wa bandari kwenye baadhi ya vipengele na...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

    Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee. Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

    Ndiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni mimi kula ugali, maharage na dagaa wangu, kuwa na kipato cha kawaida kikibahatisha kuwepo, amani yangu ya moyo, kula bata kama zikinitembelea na kumuabudu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii zawadi yake tukuka ya huu uhai wangu. Kwa nchi za Afrika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kwa mambo ya nje hasa Balozi

    Mimi kama diaspora nitaanza na mawazo mawili makubwa halafu naomba wadau muongeze 1. Nashauri Mabalozi ambao wanateuliwa wapimwe uwezo sio tu kuchagua watu ambao ni madiplomasia wa wizarani na ofisi zetu za balozi lakini kuchagua watu ambao wanauzoefu wa biashara, uwekezaji na ushawishi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali imekosa maelezo ya onyo, imekosa sauti; waandishi wa habari wamekataa kuwa mashahidi; Shahidi gani amebaki kesi ya akina Dk. Slaa?

    Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi. 1. Maelezo yao ya onyo 2. Wamekataa kurekodiwa sauti 3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ikikosea (grammatical errors) kwenye barua za kizungu zinazokwenda kwa umma; utaratibu wakuifuta mitandaoni ni upi?

    Endapo ikatokea serikali imetoa barua na kuirusha mkutanoni lakini ikabainika ina tatizo la kiufundi kwamba mwandishi alikosea lugha ni hatua zipi ufuatwa kuiondoa mtandaoni na kuweka barua iliyo sahihi? Lazima iandikwe barua ya kuifuta? Au ndio zile zinaandikwaga puuzeni ujumbe huu? Je , ni...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nini definition ya "kupindua serikali" na nini definition ya "uhaini".kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu?

    Baada ya kusikiliza clip ya Dr. Slaa inayotajwa kuwa ndio ushahidi wa Dr. Slaa kuongea kusudio la kupindua serikali, binafsi naamini huko mahakamani definition ya uhaini kwa maana ya kupindua serikali ni lazima vitatumika katika kutoa hukumu. Hivyo, ningependa kujua uhaini ni kitu gani hasa kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hakuna mtu yeyote Tanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa sababu ya kuikosoa serikali

    Serikali, kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imetoa tamko juu ya matamko yanayotolewa na asasi mbalimbali kuhusu kukamatwa kwa Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi, na Mdude. Katika maelezo hayo imeeleza kuwa hakuna Mtanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi wamekamatwa kwa kauli za Kutaka Serikali Ipinduliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema hayo kupitia chapisho aliloandika kupitia Mtandao wa X (Twitter). Nape amesema "Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limeamua kupotosha ukweli kwa nia mbaya kwa kudai...
  14. JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU na Serikali ya Mkoa Songwe ielezeni jamii kilichotokea kuhusu tuhuma za Kaimu Meneja wa TANROADS

    Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa. Hapa kwetu Mkoani Songwe kuna jambo limetokea likimhusisha Kaimu Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Naiuliza Serikali, huu 'uhaini' hautawatisha wawekezaji wakiwemo DP World?

    Hili jambo la 'uhaini' lililoanzishwa na IJP Wambura na kuafuatia kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Nyagali na Dr. Slaa linanitafakarisha sana. Inaripotiwa humu na kwingineko kuwa akina Wakili Mwabukusi wamehojiwa kwa kosa la uhaini. Kosa la kutaka kuipindua Serikali au kumuua/kumdhuru Rais. Kosa...
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Dkt. Slaa alitoa kauli ya kuipindua Serikali wakati wa mahojiano

    Salaam Ndugu zangu, katik pitapita zangu mitandaoni hasahasa kwenye mjadala unaomuhusu Dkt Slaa nimekuwa nikikutana na clip fupi ya Sekunde zipatazo 15 ikimuonesha anatamka kuhusu kupindua Serikali. Kwa namna Clip hiyo ilivyokatwa nashindwa kuelewa muktadha wa kauli hiyo. Naombeni mtusaidie...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Shehe Ponda: Ikiwa Serikali inashindwa kutimiza Baadhi ya majukumu yake kwa Ufasaha ndivyo Itaweza Kufundisha Watoto Wetu Dini ya Kiislamu?

    10 August 2023 WAISLAM WAIKAANGA SERIKALI MTAALA ELIMU YA DINI "KUHUSU BANDARI WAMETUITA KWANINI SIO HILI". Viongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania viongozi wake Sheikh Ponda, Sheikh Kundecha, Sheila Suleiman Daudi, Sheikh Abdallah Mrisho na Sheikh Hassan Abbas wametoa taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Shule nzuri ya sekondari ya serikali Kwa wasichana Dar

    Habari Wana jamvi, Kwa mwenye kufahamu shule ya serikali ya wasichana tu mkoa wa Dar nahitaji kumuhamishia mdogo wangu tafadhali naomba anijuze.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…