serikali

  1. JamiiForums Tanzania Putin hana mshirika; Korea Kaskazini ni rahisi kutokea vikundi vya kuipinga Serikali kukitokea vita na nchi za Magharibi

    Ushirika wa maana kwa Putin, angalau ni China tu, kwa Kim ni rahisi mno kujitokeza vikundi vya kumgeuka na kusambaratisha Serikali yake kwa haraka. Kim, ni mtesaji wa watu wake! Ni muuaji wa wawananchi wake, maisha mazuri yapo kwa watu wachache sana Korea Kaskazini, Raia hawamtaki Kim, yupo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo: Inaonekana Serikali haina nia ya dhati kwenye suala la Katiba Mpya

    Akiongea kwenye kikao cha wadau wa masuala ya siasa nchini. Amesema kuwa hoja za serikali za kutaka watanzania wapewe elimu kwanza ndo tuanze kujadili habari za katiba ni chenga ya kutotaka wananchi wapate katiba mpya 1. Kahoji ni elimu gani ya katiba inayohitajika ambayo haikutolewa na Jaji...
  3. JamiiForums Tanzania Abdul ana nondo, asema uchaguzi serikali za mtaa haupaswi kuendelea kusimamiwa na Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Akizungumza na Clouds Media, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema wao kama chama hawakubaliani na sheria TAMISEMI kuendelea kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa. Ameongeza kuwa tunapotaka Haki ya Uchaguzi, Uchaguzi wa uhuru na haki hatuwezi kuendelea endapo Ofisi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali itusaidie kuboresha Barabara ya Kaliua hadi Kahama

    Mimi natokea Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Kaliua, Kata ya Kashishi, kero yetu hapa ni barabara ya kutoka Kahama Mkoani Shinyanga kwenda Kaliua Mjini (Tabora) kupita Unlyankuru, Mwamnange na Kashishi. Kwani barabara hii ni muhimu kwetu sisi Wakulima tunaitumia kusafirisha mazao kupeleka kwenye soko...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ndiyo inayopingwa na siyo Serikali.

    Kinachopingwa ni CCM kwa uwezo wake dhaifu wa kuendesha Serikali ya nchi yetu na hakuna mtu anayeipinga Serikali. Serikali ni yetu sisi sote bali CCM ni chama chao wao wenye kupenda kuitumia Serikali yetu Kwa maslahi yao binafsi.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kabisa kusimamia sekta ya usafiri wa pikipiki (bodaboda)!

    Kama kuna usafiri unaotumiwa na watu wa hali ya kawaida na chini kwa wingi ni pikipiki, tunazoziita bodaboda. Huduma hii ni rahisi, haraka na unafika uendako kwa kasi sana ukilinganisha na usafiri binafsi au hata mabasi ya Mwendokasi(DART). Lakini sekta hii haina uratibu wa aina yoyote nchini...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ombwe la tasnia ya mawasiliano limetengenezwa wa miaka mingi na linaipa shida serikali kwa wakati huu.

    Tasnia mbili bado zipo nyuma na madhara ya hatua za taratibu za kusogea kwa maendeleo ya tasnia hizo yanaonekana dhahiri kabisa. Tasnia ya polisi na tasnia ya bahari. Polisi wetu mpaka kesho wanafanya makosa mengi yanayodhihirisha kuwa namna wanavyoingia vyuoni kuna wepesi ambao unaiumiza...
  8. JamiiForums Tanzania Wasomi waliojificha waibuka kuishauri Serikali

    Kwa wafuatiliaji wa siasa za hapa nchini watagundua kuwa katika miezi na wiki za karibuni kumeibuka wasomi ambao hata hawana majina na waliokuwa hawajulikani isipokuwa na wachache huko wanakoishi ambao wamejitokeza kutoa ushauri kwa watawala na wananchi kwa ujumla. Uzuri wa wasomi hawa pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya Serikali kutoa elimu ya katiba ni kufanya katiba kuwa "COMPULSORY STUDY/BOOK" level zote za elimu kuanzia primary to University

    Kwa kuzingatia kichwa cha uzi. - Kama kweli serikali ya Tanzania ina nia ya kutoa elimu ya katiba na kufanya Watanzania karibia wote wa nchi hii kuijua katiba yao vizuri. Serikali haina budi kuchukua uamuzi mara moja wa kutoa elimu ya katiba kuanzia ngazi mbalimbali za elimu yetu kwa kuanza...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inafanya "Cultural genocide" Ngorongoro

    Ni huzuni lakini inabidi tukubaliane na ukweli kuwa tumekubali kuwa kimya ili serikali iendeleze operation yake ya "cultural genocide" Ngorongoro. Wazungu kutoka ulaya wakati wanafika bara la America walikuta wakazi wa pale walio pingana nao kwa ubabe wa kifala na kipuuzi wazungu wale waliamua...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza Simba kwa kuwa miongoni mwa vilabu nane bora vinavyoshiriki michuano ya African Football League

  12. JamiiForums Tanzania Serikali fuatilieni hizi kampuni za kitapeli zinazodai zinakopesha mitandaoni, mama zetu wanalizwa vibaya sana

    Hizi kampuni fake zinadai zimesajiliwa na serikali lakini zinafanya kazi ya utapeli, zipo nyingi, cjui tala imarisha maisha. Tulia mikopo online na zingine zinatumia majina ya Jokate Mwegelo na kuna hawa wanatumia matangazo na video za watu mashuhuri kwa kuziedit. Watanzania wamepigika...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wanatumia changamoto ya stendi Manispaa ya Bukoba kupiga hela na Serikali ipo imetulia tu

    Baraza la madiwani lililopita kabla ya hili la sasa lilianzisha mchakato wa kujenga stendi katika manispaa ya Bukoba eneo la Kyakailabwa, na kabla ya kuimaliza muda wao ukaisha na hawakubahatika kurudi tena. Hili baraza la madiwani la sasa limekuwa na mwitikio mdogo kuendeleza stendi hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

    Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha. Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni shujaa wa Taifa hili. Hizi figisu anazofanyiwa na serikali ya CCM kupitia jeshi la Polisi, zinamjenga zaidi kuliko kummaliza

    Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yatumia Sh27.83 bilioni kulipa fidia ajali, magonjwa kazini

    Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu,Mhandisi Cyprian Luhemeja,amesema gharama za fidia zimeongezeka kutoka Sh13.19 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2021 hadi kufikia Sh27.93 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2023 huku taarifa ya baadhi ya mifuko ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Wakuu na wajuzi wa mambo naomba kuuliza swali. Binafsi tangu nimepata akili zangu, sijawahi ona hata maandamano moja iliyoitishwa ama kuratibiwa kwa ajili ya kuishinikiza Serikali ama kulaani jambo fulani lilifonaywa na Serikali kisha hiyo maandamano ifanikiwe. Hapa sizungumzii maandamano ya...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Course zitolewazo katika taifa langu na kupewa hadhi ya u special zimekosa impacts

    Tumekua wahanga wa elimu kwa kufata mihemuko ama kwa kutokua na uelewa na mambo yalihusulo taifa, serikali imekua kipofu kwa ktokua na maono ya moja kwa moja kwa vijana wa kitanzania. Course zitolewazo katika taifa langu na kupewa hadhi ya u special zimekosa impacts za moja kwa moja kwa taifa ...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali Ifanye Hili Kabla ya kuruhusu Mabasi Kusafiri Kwa Saa 24, Vinginevyo Mtaua Watu Wengi

    Serikali imesema hivi karibuni itaruhusu mabasi kusafiri kwa saa 24, ni jambo jema sana endapo jambo hili muhimu litafanyiwa kazi. Jambo lenyewe ni kufunga taa kwenye barabara kuu zote, fungeni taa zinazotumia solar panels ili kuongeza mwanga barabarani, kwa wanao endesha usiku watakubaliana...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Zainab Katimba aiomba Serikali kuyajengea uwezo makampuni ya ndani Ili kupata Fursa ya Mikataba ya manunuzi

    "Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum "Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…