serikali

  1. Serikali, Wadau waipongeza Benki ya CRDB kukusanya Tsh. Bilioni 700 kuwawezesha wajasiriamali nchini

    Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abdalla Hussein Kombo (katikati), Afisa Biashara Mkuu Benki ya CRDB, Boma Raballa (wapili kushoto), Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB, Bonaventura Paul (wapili kulia), Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa...
  2. Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Habari ya sikukuu Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
  3. S

    Prof. Shivji apuuzwe, ni kigeugeu. Alisaliti machapisho yake ya serikali tatu wakati wa bunge la katiba

    Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari.. Kama mnakumbuka prof. Shivji ameandika machapisho mengi sana kuhusiana na utata na udhaifu wa muundo wa muungano wetu wa serikali...
  4. DOKEZO Serikali itusaidie kumaliza tatizo la vibaka Ipuli, Tabora imekuwa too much sasa

    Kumekuwa na sintofahamu ya matukio ya wizi uliokithiri maeneo ya Ipuli hapa mtaani Mrenda Mkoani Tabora, matukio ambayo yanayofanywa na watu ambao bila shaka ni vibaka kulingana na aina ya wizi wanaofanya. Tabia hiyo ilianza mdogomdogo lakini sasa inazidi kukomaa, vibaka wanakata madirisha ya...
  5. Mbunge Zaytun Swai Aitaka Serikali Kuongeza Kasi Kupunguza Vifo vya Watoto Njiti Mkoa wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA "Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka Mipango...
  6. BAKWATA yaishauri Serikali ifafanue mashaka katika Mkataba wa Uwekezaji wa bandari

    Baraza la Waislamu Tanzania limeitaka Serikali kufafanua maeneo yanayotiliwa shaka kuhusu uwekezaji bandari. Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nuru Mruma ametoa wito kwa Serikali kupokea maoni ya wananchi kuhusu sakata la Bandari, huku akiitaka ifafanue maeneo...
  7. C

    Msaada: Leo Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi?

    Habarini wana JF, Hivi leo Alhamisi Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi, au bado ni Eid Al Hajj?
  8. Baada ya Serikali kuruhusu rasmi Mabasi Kusafiri 24hrs haya ndiyo Maombi yangu Makuu kwa Wahusika

    1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti. Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz 2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria...
  9. Ni lini serikali itaweka Rami barabara ya Mlowo kwenda Kamsamba eneo lenye uchumi mzuri

    Ninaamini viongozi wengi mnapita humu Jamii Forums, naamini hata mbunge wa eneo hili la Mbozi anasoma humu. Nimepita barabara hii wiki iliyopita na kufanya utafiti na nikagundua kwamba barabara hii iko busy muda wote, ila haijatendewa haki, na sijasikia mbunge wa eneo hili akiizungumzia...
  10. J

    Kuna Uhusiano gani kati ya kanisa na serikali?

    Nilimsikia Padre Kitime , akiongelea suala la Bandari , alisema siku za nyuma Rais hayati Benjamin Mkapa alipotaka kubinafsisha shirika la ndege , kanisa lilimuita mbele ya baraza la maaskofu na kumkarisha . Hii kauli ya "Kumkalisha kwenye kigoda" ina maana zaidi ya kawaida. Ni kweli serikali...
  11. Shivji ataka Bunge libatilishe azimio la Mkataba wa Bandari na Serikali ya Dubai

    Mwanazuoni Profesa Issa Shivji amekosoa mkataba baina ya Tanzania na Dubai unaohusu uboreshaji na uendeshaji wa bandari, huku akishauri Bunge kubatilisha azimio la kuridhia mkataba huo wa awali. Profesa huyo ambaye ni nguli wa sheria amependekeza njia hiyo leo Jumatano Juni 28, 2023 wakati...
  12. J

    SoC03 Serikali iweke asilimia 20% kwenye vifurushi na miamala ya simu itakayokwenda kwa mteja

    Watu wengi wamekuwa wakilalamika sana kuhusu kuhusu ununuzi wa VIFURUSHI na makato kwenye miamala ya simu wakiona kuwa wanapata faida ndogo hususani kwenye VIFURUSHI ukilinganisha na gharama wanayotoa! Naishauri SERIKALI waweke ASILIMIA kwenye gharama anayotoa MTEJA Ili irudi kwa MTEJA kama...
  13. Bunge laitaka Serikali kuwawajibisha ‘waliochota’ Bilioni 63.4 za Uboreshaji wa Bandari ya Tanga

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeonyesha kusikitishwa na kutochukuliwa kwa hatua za kisheria kwa wabadhirifu wa Sh63.4 bilioni katika utoaji wa tuzo ya zabuni za uboreshaji wa Bandari ya Tanga kwa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) Ltd. Mwenyekiti wa PAC...
  14. D

    Kwanini Wanafunzi wakipanda Bus binafsi kwenda shule wanalipa 200; lakini kwenye maonesho ya serikali sabasaba wanalipishwa 1500

    Msimu wa maonesho ya sabasaba umewadia Kwenye daladala binafsi watoto hulipa mia mbili tu kupanda! Inakuwaje Kwenye maonesho ya sabasaba ya serikali wanafunzi waingie kwa tsh 1500/3000 au zaidi wakati wanakwenda kujifunza na hawana kipato chochote?! Yaani daladala anaeweka mafuta unamwamuru...
  15. SoC03 Utawala Bora na maendeleo vijijini

    Katika mfumo bora wa uongozi na uendeshaji wa mamlaka utawala bora ni muhimu kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na huduma sawa na zenye tija. Katika taifa letu wimbi la uongozi m bovu katika ngazi za chini za utawala limekuwa kubwa na hii pengine ni kutokana na serikali kutofuatilia mienendo...
  16. Raila Odinga: Hatufanyi Majadiliano tena na Serikali, lazima tumzuie Ruto sasa

    Kiongozi huyo wa Muungano wa Vyama vya Upinzani kupitia Azimio la Umoja One Kenya, amesema wamefuta mazungumzo yote na Serikali baada ya Rais William Ruto kusaini Sheria ya Fedha inayolalamikiwa na wananchi wengi. Amesema wanarejea katika kampeni za kuhamasisha migomo ya wananchi dhidi ya jambo...
  17. Serikali Yapiga Marufuku Kuingiza Malighafi ya Chumvi Kutoka Nje kwa Viwanda vya Ndani

    SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI "Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 168 katika Wilaya ya Kilwa kwaajili ya wawekezaji Wenye nia ya kuchakata...
  18. K

    Sakata la Bandari na DP World: Serikali yashtakiwa Mahakamani

    Wakili Msomi Alphonce Lusako akishirikiana na Wakili msomi Chengula Emmanuel pamoja na wenzao wawili wameiburuza serikali mahakamani kwa kupitisha mkataba wa ubinafsishaji wa bandari zetu bila kuzingatia maslahi ya nchi. Washtakiwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi, Waziri wa...
  19. B

    Viongozi wa juu wa serikali wamulikie vitendo vya baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri kukataa kusaini barua zinazofika ofisini kwa utekelezaji

    Tumeshaongea sn hapa juu ya baadhi ya viongozi wa serikali wanaolipwa mshahara wa Watanzania wanyonge kuona km ofisi wanazokalia ni mali Yao. Hili limekuwa likitokea ktk idara mbalimbali za serikali. Unakuta mtu kapewa dhamana kusimamia kundi flani la watu kwa kufuata sheria, utaratibu, na...
  20. K

    Rostam Aziz: Hakuna mwekezaji atakubali kuwekeza halafu umwambie aende Mahakama ya Kisutu ambapo Majaji wanaweza kupigiwa simu na watu wa Serikali

    "Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…