serikali

  1. B

    JamiiForums Tanzania Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

    29 December 2023 Kilimanjaro International Airport Tanzania BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs Mzee...
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania tuige huu Uzalendo: Wafanyabaishara wadogo Kenya waandamana kuunga mkono kodi mpya ya Serikali

    Wafanyabishara wadogowadogo Kenya, maarufu kama Juakali wameungana na kuingia barabarani kuunga kodi mpya ya kwa ajili ya ujenzi wa nyumba iitwayo housing levy. Tukumbuke kodi ndio msingi wa maendeleo, na Tanzania itajengwa na watanzania ==== A group of youth on Thursday flocked the streets...
  3. JamiiForums Tanzania Acheni wivu na kelele zenu za kijinga kwa Wageni wanaowinda kihalali,hizo chuki zenu ibaneni serikali yenu ibadili sheria mbovu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili! Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie...
  4. JamiiForums Tanzania Malipo kwa Dola badala ya Shilingi yanaongezeka Mitaani, Serikali iko kimya

    Niende moja kwa moja kwenye wazo langu. Licha ya kwamba biashara ni huria lakini naamini Nchi ina taratibu zake hasa kwenye masuala ya Kifedha. Na imeshatokea mara kadhaa Serikali kuagiza malipo ya ndani ya Nchi isipokuwa kwa Watalii yafanyike kwa Shilingi ya Tanzania lakini hali ni tofauti...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri na mapendekezo yangu kwa Serikali, TCU na wizara ya elimu

    Habari wana bodi, moja Kwa Moja niende kwenye mada. Dunia ina badilika Kila siku,dunia inahitaji mawazo na uvumbuzi mpya kutokana na jamii husika. Napendekeza Kuwa kuanzia 2024 Mfumo wa kupima Wanafunzi kwa njia ya Test, assignment, quiz na university examination ufutwe mana naona una...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri kwa wanafunzi shule za Serikali

    Serikali ifikirie juu ya usafiri kwa wanafunzi wa shule za serikali ili kutatua changamoto wanayopata wanafunzi katika miji mikubwa. Wanafunzi wamekuwa wakikaa katika vituo hadi saa tatu usiku jambo ambalo ni hatarishi kwa wanafunzi hao. Serikali itenge bajeti ya kununua mabasi ya shule...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme Xmas ni ukaidi ama ndiyo wako juu ya Serikali

    Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
  8. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Serikali iwe inawaongeza watumishi wake Tsh 100,000/ kila mwisho wa mwaka

    Wanajamvi na watanzania kwa ujumla, hasa wafanya kazi wa serikali! Ninachokiañdika hapa, bila shaka ni hitaji la kila mfanyakazi, Mimi nikiwa kama mkulima wa hapa nanjilinji, nimechoshwa na kukopwakopwa na wafanyakazi wa umma hasa mwishoni mwa mwaka Mpaka naandika hivi, nimeanza kuwaonea...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kwenye malipo ya serikali/Digipass

    hivi inakuwaje malipo ya serikali yanayo tumia mfumo rasmi wa Benk kama Digipass. Ikifika weekend haifanyi kazi au pengine hufanya kazi kwa 25% na kwa sikukuu kama hizi ndio kabisa sijiu wanazima kabisa. Fikiria karibia National parkfees zote Tanzania zinatumia huo mfumo halafu kwa sikukuu...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Kuendelea Kulinda Viwanda Nchini

    Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Kuendelea Kulinda Viwanda Nchini Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji Mb), amesema Dhamira ya Serikali ni kuhakikisha viwanda vya wawekezaji wa ndani na nje vinalindwa ili viweze kuzalisha ajira kwa Watanzania. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Desemba 23...
  11. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Thamani misaada ya maafa ya Hanang imefikia Tsh. Bilioni 7.7

    Serikali ya Tanzania imesema thamani ya misaada iliyotolewa na wahisani mbalimbali kwenye maafa ya Hanang imefikia Sh7.7 bilioni. Kiwango hicho kinajumuisha misaada ya chakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu ambavyo thamani yake ni Sh2.5 bilioni huku fedha taslimu zikifikia Sh5.2 bilioni...
  12. JamiiForums Tanzania Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
  13. JamiiForums Tanzania The Guardian: Israel inapoteza vita dhidi ya Hamas lakini Netanyahu na serikali yake kamwe hawataki kukubali

    Wanakumbi. Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa serikali Tunaomba muwapiganie watumishi wa umma wenye Masters/PhD ili waweze kutambulika kimuundo na kimaslahihi

    Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili. "Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
  15. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Ujenzi wa Vituo vya Mafuta kwenye makazi ya watu Serikali inasubiri ya Morogoro yatokee ndio ichukue hatua?

    Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi? Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa jamii na Serikali sijui inaridhia ujenzi huu kwa namna gani? Sijui kwanini haifikirii? Nakumbuka...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali itoke mbele iseme imefilisika

    Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building). Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za...
  17. JamiiForums Tanzania Taasisi Ipi ya Serikali Imefanya Vizuri Zaidi na Ipi Imefanya Vibaya Zaidi Mwaka 2023

    Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu. Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi Na ipi imefanya vibaya zaidi ya nyingine zote. Tufunguke hapa
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM inatutesa kwa suala la Umeme?

    Inasikitisha kuona jinsi Wananchi wanavyoteseka kwa suala la umeme. Kila kukicha umeme unakatwa tangu asubuhi mpaka jioni na hata usiku mpaka asubuhi. Jana nimesoma sababu walizotoa eti kuna upungufu wa mvua kwenye Mikoa inayopeleka maji kwenye mambwawa ya umeme kama Singida na Dodoma Kweli...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali tafuteni suluhu kwenye mabasi ya mwendokasi mtasababishi magonjwa au vifo vinavyoweza kuepukika

    Jamani kwani serikali inakazi gani??inakuwaje inaleta mfumo mpya kwa lengo la kurahisisha na kuleta ufanisi katika anga la usafiri lakini inashindwa kabisa kufata sheria walizoweka wenyewe?? Juzi nimetoka zangu mkoani kuja zangu Daaslamu huku usafiri mkubwa na watabu ukiwa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Afika Hanang, Wananchi wa Halmashauri ya Hanag Wameishukuru Serikali kwa Misaada ya Kibinadamu

    Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Hanang wameishukuru Serikali kutokana na juhudi kubwa iliyozifanya katika urejeshaji wa hali na misaada ya kibinadamu iliyotolewa kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka mlima Hanang. Wananchi hao wamezungumza kwa nyakati tofauti wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…