serikali

  1. M

    PostGE2025 Jaji Chande: Kuhusu mgongano wa kimaslahi kwa Dkt. Stergomena kuwa kwenye Tume isiwape tabu, wote tumekula kiapo

    Akijibu swali la mwandishi kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, kujiunga na tume ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi pamoja na kuwepo kwa tuhuma kwamba Jeshi analolisimamia lilihusishwa na mauaji ya waandamanaji, mwenyekiti wa tume...
  2. Q

    PostGE2025 Watanzania tunajulikana kwa upole lakini this time Serikali haitaamini kitakachotokea

    Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake. Wakati Prof. Kabudi akiwa bado na akili aliwahi kusema; "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna...
  3. PostGE2025 Yanaanzaga makanusho na vitisho ila mfahamu walishapanga serikali ya CCM

    Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao. Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na ndio maana wanatoa vitisho kwa njia yoyote. Walikanusha mfumo wa NIDA na CCM na tume ya uchaguzi...
  4. H

    Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  5. K

    Serikali wangetakiwa kutoa njia maalumu za maandamano! Sio kushangaa shangaa tu

    Serikali ingetakiwa kutoa njia za kupita mpaka uwanja wantaifa bila hivyo serikali itabaki kulaumu kila siku na kuuwa vijana bila sababu. Maandamano ni haki yao
  6. Q

    AU haitashirikiana na serikali ya Guinea-Bissau ambayo haijaua hata mtu mmoja. Serikali ya Samia imeua watu zaidi ya elf 10, alafu AU ipo kimya.

    Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló. Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
  7. PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  8. H

    Ni ajabu, serikali ya Tanzania kukopesha fedha mwanafunzi anaeanza chuo na kumnyima mkopo aliyemaliza chuo

    Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au kunakuwa na mazingira magumu ya kupata mikopo ya biashara benki na kuwaambia wakajiajiri , je,hii...
  9. Tanzania ina Serikali Korofi, Onevu kwa wananchi wake. Wanaaongea wao tu

    Tanzania ina Serikali Korofi, Onevu kwa wananchi wake. Wanaaongea wao tu. Sisi tukiongea hatua kali zinachukuliwa. Mtaua wangapi? Watawala wanataka waongee wao tu. Mwanchi akiongea anatafutwa alipo ili wamuue. Msikilize huyu bibi hapa kwenye Video Wananchi wote wale watapewa hela walete...
  10. L

    PostGE2025 Serikali: Tupo huru na Hatuingiliwi na maamuzi ya Bunge la Ulaya

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu azimio lililopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) Novemba 26, 2025, ambalo lilizungumzia madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini na kusababisha Kamisheni ya EU kusubirisha kwa muda utiaji saini wa Programu ya...
  11. PostGE2025 Prof. Kitila: Serikali yatangaza mikakati 8 ya kupanua ajira kwa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini. Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
  12. H

    PostGE2025 Maria Sarungi: Tutawashitaki mitandao ya Simu ikishiriki Tena kwenye kusaidia Serikali uzimaji wa mitandao

    Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9 atawafungulia mashitaka haya yote ameyazungumzia kwenye kipindi chake cha Maria space.
  13. Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

    Habari za leo! 1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana. 2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu. 3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na kuvunjiwa biashara uliyoisotea kwa miaka na miaka. 4. Kwa kujua hilo ndio maana tunawapa pole wale...
  14. Serikali mtambue kuwa warabu sio wahisani wazuri

    Naona baada ya kukataliwa kupewa mikopo na misaada,. Sasa mnakimbilia kujipeleka Kwa warabu Nawakumbusha warubu sio wahisani wazuri kama wazungu Mzungu anatoa misaada mingi na masharti machache kama democrasia, haki za binadamu, kutunza mazingira n. K Sasa huko Kwa mwarabu mtaishia kupewa...
  15. PostGE2025 Picha hii inakupa mtizamo gani? Je, Serikali kwa mara nyingine inajaribu kuficha ukweli?

  16. Hii Post-Election-Fever kwa Watawala inanikumbusha kauli hii ya Gwajima

    Nakumbuka katika Moja ya Press ya Gwajima alisema itakuwa ngumu sana kuliongoza Taifa lenye mpasuko na mgawanyiko utakoletwa na Uchaguzi ambao mnalazimisha kuufanya. Leo hii wanahaha kinoma. Mara PM kasema hili, Mara Polisi wamezuia mafuta mara Waziri wa vijana kala spana. Yote haya mlionywa...
  17. Ushauri kwa serikali

    Selikali iongeze tsh 500 kwenye Kila bidhaa ili afya na matibabu yote yawe bure. Asante
  18. 4

    Serikali ambao mmejiapisha jua wananchi hamjamalizana nao

    Hizi jitiahada zenu ,za kutaka kufanya biashara iwe ya kila siku kwamba maumivu ya tz yatakua ya siku zote ,this time haiwezekani wakuu, mwafaa alisema JPM . The only solution nikiwa na serikari ya mpito isiyo zidi mwaka mmoja na iwe chini ya aliekuwa waziri mkuu , Mzee Warioba ,nyie wana...
  19. Malalamiko ya Serikali na majibu ya EU

    SERIKALI IMEENDA KULIA BUNGE LA ULAYA INAOMBA HAKI YA KUSIKILIZWA. Hii ni barua rasmi ya wasiwasi iliyoandikwa na Balozi wa Tanzania mjini Brussels tarehe 25 Novemba 2025, ikielekezwa moja kwa moja kwa Bunge la Ulaya. Jambo kuu: Tanzania inapinga vikali mjadala uliopangwa kufanyika tarehe 26...
  20. PostGE2025 Kuna kosa la Katiba ambalo Rais au kiongozi akimaliza muda wake anatakiwa kutokuwa Serikalini kabisa wala jambo lolote la Serikali

    Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali. Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na anafanya kazi kama Rais. Upande wa chama chao unaona kabisa kama ni mwenyekiti wa maamuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…