serikali

  1. JamiiForums Tanzania Walokole ndo chanzo cha migogoro Ofisi za Umma na binafsi

    Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
  2. JamiiForums Tanzania Kama kuna watu wanalipwa na mabeberu na kuna ushahidi wa incite mutiny. Kwanini serikali isiwakamate?

    Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini. Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane? Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Matendo, maamuzi na kauli za viongozi wa serikali na CCM zinafanya hata wasiopenda siasa kuwapinga, kuwachukia na kujiingiza kwenye siasa bila kupenda

    Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha upinzani. Si kweli. Nakiri walionifikisha hapa ni CCM na viongozi wa serikali. Unakuta mara nyingi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuchaguliwa serikali ya CCM onesha kuwa katiri. Simbachawene alionekana kutumia busara, hekima and the like , wakamlamba

    Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like. Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Serikali ya CCM ni Denial

    Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana. Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika. Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa serikali na CCM kwaogopa Chadema kwa kiasi hiki!

    Yaani imefika wakati sasa wafanya maamuzi wa siasa za nchi ni Polisi Waziri anasimamisha mikutano ya kisiasa kwa kutumia Polisi kwa kushindwa hoja. Tuombe kesi ya Mama iende haraka tuondokane na huu ujinga
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je, serikali yatangaza hali ya dharura kuelekea tarehe 7/7 (Sabasaba)?

    26 June 2026 Dodoma, Tanzania Kupitia bunge la chama kimoja mjini Dodoma waziri wa mambo ya ndani atangaza hali yadharura? https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura, kusitisha kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna uvunjifu wa amani uliofanyika kwenye mikutano ya CHADEMA. CCM wameona kwa macho yao namna wanannchi wanavyoichukia serikali CCM.

    Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono. Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za msingi na hata alichokuwa anakinadi kwa wananchi hakuna aliyekuwa anamwamini. Hii ni kwa sababu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Songoro, Meru kuna matukio ya Watu kutoweka kiajabu, Serikali ifanye uchunguzi

    Wakazi wa Kijiji cha Songoro, Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha, wameeleza wasiwasi mkubwa kufuatia kutoweka kwa wananchi wawili ambao hadi sasa hawajulikani walipo, licha ya jitihada mbalimbali za kuwatafuta. Watu waliotoweka ni Philemoni Nasari (60) na Gamalelu Sethi Nnko (45), wote wakazi wa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Zungu awataka Mawaziri na Watendaji wote kuiga mfano wa Rais katika kubana matumizi ya Serikali

    Tunaunga mkono hoja ya Spikq wa Bunge ya kuwataka watendaji wote wa Serikali kuiga mfano wa Mh. Rais dkt Samia katika kubana matumizi ya Serikali. Spika amesema naye ameunga mkono kwa kubadilisha gari lake na ametawataka watendaji wote wa Serikali kubadili magari ya gharama kubwa. Ushauri; 1...
  11. JamiiForums Tanzania Napata mashaka na kampuni ya META na hii serikali yetu

    Hii kampuni hipo siku na kama siku mtakuja kusikia wamefikishwa mahakamani nchini mwao kuhusu wao na serikali ya CCM. Nacho furahi wenzetu hawa kurupuki wakija kukupeleka mahakamani A to Z wanazo.
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ijihadhari na Selective Prosecution kwenye kosa la uchochezi.

    Selective prosecution ni Nini? Ni hali ambapo mamlaka ya mashitaka, kama DPP, wanaamua kumshitaki mtu mmoja lakini wakaacha watu wengine waliotenda kosa hilo bila mashitaka. Kwa maneno mengine: sheria inatumika kwa kubagua watu, si kwa usawa kwa wote. Kwa maana nyingine wewe umechaguliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yagawa ' Vyombo vya Usafiri 337 ' kwa watumishi wa afya ngazi ya Jamii

    Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Apedomia-Unyani wa "wahudumu" wa serikali kuwaua Watanganyika wenzao kwa ajili ya vyeo na pesa....ndiyo Unyani, APEDOMIA

    Tujikumbushe Mchungaji Mtikila na Unyani APEDOMIA. Ukiona Mtanganyika hajali Utu wa Mtanganyika mwenzake kwa sababu ya pesa, cheo ndio UNYANI-APEDOMIA Ukiona Mtanganyika Unauza utu wake na watanganyika wenzake kwa tende na Harua, ndiyo Unyani...APEDOMIA Video chini
  15. JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka amekosea kuifananisha serikali mbili na anguko la USSR

    Katika mahojiano yake na mwandishi Khalifa wa The Chanzo, Prof Tibaijuka alitetea serikali mbili akirejea kuvunjika kwa muungano wa USSR baada kuanzishwa serikali ya Urusi na kudai ilidhoofisha muungano wa USSR. Huu sio kweli, serikali ya Urusi iliyoundwa mwaka mmoja 1990 kabla ya USSR...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Hoja ya Festo Sanga 'kutungwa kwa Sheria ya Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, hatua zimeanza kuchukuliwa

    Kufuatia pendekezo Mahsusi lililotolewa na Mbunge wa Makete, Festo Sanga kuomba kutungwa kwa sheria ya kufuatilia na kusimamia Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, zimetelekezwa au zimesahaulika na Wamiliki wake kwenye Makampuni au Taasisi mbalimbali kama Bank, Mitandao ya Simu, Mifuko ya Hifadhi...
  17. JamiiForums Tanzania Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali inaenda kutumika katika matumizi yasiyo ya uhalisia, matumizi mengine ni utapeli tu

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekosoa vikali muundo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akidai kuwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kinapotea kwenye matumizi yasiyo na uhalisia na ukopaji usio na tija. Akizungumza leo Juni 23, 2026...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Upinzani Sigrada Mligo apiga kura ya hapana Bajeti kuu ya Serikali 2026/2027

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo Idadi ya wabunge waliokuepo bungeni ni 393 ambao hawakuepo ni 8 , waliopiga kura ya ndiyo ni 385 na waliopiga kura ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Anne Kilango: Serikali ina Pesa, Madiwani waongezewe Posho

    Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akichangia Bajetia Kuu ya Serikali 2026/2027 Bungeni leo Juni 2026, ameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuboresha maslahi na posho za madiwani nchini. "Nimwombe Rais Samia kwa unyenyekevu, kwa hali ilivyo sasa, ni vyema serikali...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli posho ya kikao kwa mmbunge ni shilingi laki nane? Yaani sawa na mshahara wakati wa mtumishi wa serikali?

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA kwenye Moja ya mikutano yake akisema posho ya mmbunge mmoja Kwa kikao ni shilingi laki nane. Mimi kulagha siamini kama hilo linaweza kuwa kweli Kwa jinsi viongozi wetu walivyo wazalendo, hawawezi ruhusu jambo hilo lifanyike katika nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…