series

  1. Mwongozo wa kununua Audi A4/A3, BMW 3 series/1 series na VW Golf/Polo

    Nimejaribu kupick European Cars ambazo watu wanazinunua sana. Kwa bahati mbaya sina story nyingi za kununua Mercedez Benz, japo nilitamani ningeweka maelezo ya C class na E class sababu ndio gari za M/Benz watu wanazinunua sana. Gari ambazo nimezilenga hapa ni gari ambazo zimezalishwa kati ya...
  2. Nielekeze wapi naweza ku download hii series ya Kikorea....!?

    Natafuta Korean series inayoitwa Arthdal Chronicles....! Nimehadithiwa habari yake kwa Uchache, kuhusu Igutu wenye Damu yenye rangi ya Zambarau...!!! Wapi naweza ku download hii series..!??
  3. Car4Sale Karibu automasi uagize nasi gari lenye ubora kwa gharama nafuu

    KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU ************** ♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️ *************** 🔅VEHICLE DESCRIPTION Make : TOYOTA Model ...
  4. Mmeionaje series ya Peacemaker ya John Cena?

    Juzi kati episodes tatu za series ya Peacemaker zimetoka. Nimeikubali sana, bila shaka itakuwa series bora sana. Na ina soundtracks za ukweli. Unaipa ngapi?
  5. Subtitles za Kiswahili kwa movies na series zote zinapatikana

    Kwema wakuu! Faida ya kuangalia Movie au Series ni kuelewa kiundani neno kwa neno na Story nzima. Kwa wale wapenda Movies na Series kutoka nje ya nchi ambazo hawatumii Kiswahili kama lugha mama, wanaelewa ugumu wa kushindwa kuelewa kinachoendelea kwenye Movie au Series husika sababu tu ya...
  6. I

    It is fair to say kuwa Money Heist is one of the best kama sio the best series of the decade?

    It was worth the wait kusema kweli. Series ambayo imekamilika kila idara yani inakufanya utamani kuangalia dakika inayofata nini kitatokea. Natamani mpaka wangekua ni watanzania jamani daah. Plot nzima imesimama vyema na mwisho wa series ile imemridhia kila mtazamaji. Kwangu mimi, hii ni...
  7. Hollywood series hii inaongoza kwa kupata kura nyingi

    Nimeanza kuangalia series kwa mala ya kwanza 2018 na kuimaliza yote, nilianza na series hii.. YOU (2018). Kipindi cha nyuma ilikua nimwendo wa single movies tu. nakumbuka ilikua 2016 nikajaribu kuangalia Prison Break, aiseee niliona ndefu sana, series inazunguka huku na huku, wanachelewa kwenda...
  8. 60x zoom and all-new Helio G96 mean a complete overhaul for TECNO’s new CAMON 18 series

    We recently got our hands on some photos about latest CAMON model from TECNO, rumored to be coming out in early October. Not many details were available about the new phone just yet, but the tri-camera set-up and classy chrome-inspired colors have got us wanting for more. The key feature that...
  9. TECNO’s CAMON series to be the first to release MediaTek’s latest Helio G96 chips in the African market

    TECNO just confirmed that it will feature MediaTek’s Helio G96 chipset in its CAMON 18 series to launch in November, making it the first smartphone brand to do so for the African market. The newly launched MediaTek Helio G96 chipset is ideal for powerful 4G smartphones for the mainstream market...
  10. H

    Innocent Defendent moja ya Bonge la Series

    Hii ni korean drama iliyotoka mwaka 2017 ina episodes 18.katika series zangu Bora duniani hii inaingia kwenye Top 3 yangu si rahisi kwangu korean drama yoyote kuingia kwenye list ya best series of all time kwa upande wangu lakini hii kutokana na kuwa na ubora mkubwa na yenye kusisimua imeingia...
  11. S

    samsung A Series

    Ninatumia samsung A 7 ya mwaka 2017, na ninaiona iko vizuri kuliko hizi A series nyingine zinazotoka miaka hii hadi zimefika A51, je kuna tofauti gani ya kitaalamu kati ya hii A7 yangu ya 2017 na hizi A series mpyampya zinatoka mfululizo. Nisije kuexchange A7 yangu nikajuta ?
  12. C

    Series ya Squid Game imefanikiwa kuingiza Dola za Kimarekani 900M ikiwa ni zaidi ya Tshs Trilioni 2, mwezi mmoja tu tangu itoke

    Series Ya Squid Game Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi. - - Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Bloomberg Series Hiyo Imetazamwa Na Watu Milioni 132 Kwenye Siku 23 Za Mwanzo Ilipoachiwa Na Hii Kuvunja...
  13. Ongeza ufanisi wa engine yako ya 1Hz ktk landcruiser 70 series kwa kuweka turbo na intercooler

    Modification=TURBO na INTERCOOLER kwa 1HZ. FAIDA MBILI KUU ZA TURBO 1. Kuongeza nguvu ya engine -Turbo huongeza msukumo wa hewa safi kuingia katika engine na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka wa mafuta kisha kuiongezea engine uwezo wa kufanya kazi kubwa kwa muda mfupi,hapo ni katika...
  14. The Walking Dead series

    👋👋 Kama huna cha kuangalia wikendi hebu itazame hii series natumaini utaipenda. Nimeishia Season10 nasubiria mwakani season 11 ikiwa Complete ndio niendelee. Ni mzuri sana haiboi haichoshi.. Maybe S1 pekee ndio sio kali kivile ila zinazofuata zote ni nzuri Kwa mlioitazama mtakubaliana nai...
  15. Kuna ujumbe gani kwenye utopia drama series?

    Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa) Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni" Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo; na pia "goyim". Ukiweza, tafadhali tazama scene hii mojawapo kwenye drama ya Utopia, inayoitwa "Utopia...
  16. Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

    Salaam Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka. Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation. Nyingine kali nilizozicheki ni: Sing Frozen 1&2 Tangled ever after...
  17. Kuna series zimetengenezwa zenye episodes kibao kuzima mijadala isiyo na masilahi na CCM

    Kwa wajuvi na wafuatiliaji wa Mambo mtanikubalia kuwa Gwajima hutumika kuwa Kama neutralizer wa mambo mbalimbali kwa mfano sasa hivi leo kuna mambo hayajajadiliwa kabisa na jamii ya Watanzania na ni mambo ya msingi sana kwa mfano suala la tozo kupunguzwa kwa 30% badala ya kufutwa kabisa Suala...
  18. Series ya Sinia na Huba anisaidie

    Mwenye season ya Sinia na Huba naomba anisaidie kuzipata ,shukran.
  19. Mwenye jina la series yoyote ya kutisha (Horror) ya kuanzia 2019

    Wakuu kwema? Twende kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa horror movies tatizo za movie ni kwamba unaangalia dakika 90 mzigo umekata, sasa nataka series zile za kukesha nazo ambazo zinatisha. Nahitaji angalau ambazo zimetoka kuanzia mwaka 2019 na kuendelea. Nilizobahatika kuangalia mpaka leo na...
  20. Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies/ series bila gay scenes?

    Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂 Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…