NAITAMBULISHA Kwako Vitz ya Mjerumani BMW Series 1

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
103
388
1653991133969.png
1653991344170.png

.
BMW Series 1 [Coded E87] ni moja ya subcompact executive cars inayotengenezwa na BMW toka kwa 2004 ikitokana na BMW 3 Series Compact, Series 1 tunasema ni solid athletic design [ngumu yenye umbo la sport]...
.
Features za hii gari imeifanya kuwa moja ya gari ndogo nzuri imara na inayovutia machoni Ukiona, mpaka sasa BMW Series 1 ina generation tatu, Generation ya Kwanza ikianza [2004 - 2010]..
.
Generation ya pili [2011-2018] na Generation ya tatu [2019-Todate], Sasa leo Kipekee kabisa tunaenda kumgusa Generation ya Kwanza, Sema Kabla hatujaanza kumdadavua pata glass ya maji uendelee kula MADINI..
.
Hii gari Generation ya 1 [2004-2010] imetoka ikiwa na muundo [body styles] wa hatchback[E81,87], coupé[E82] na convertible [E88], Mpaka mwaka 2014 coupe na convertible wakazitoa kwenye Series 1 wakazipeleka Series 2..
.
1653991080305.png
1653991217653.png
1653991246531.png

.
Gari imekuja na engine option kadhaa, Petrol engine 1.6-2.0L N43/N45/N46 I4, 3.0L N52 I6 na 3.0L N54/N55 I6 turbo Diesel Engine turbocharged 2.0L M47/N47 I4..
.
Engine zikiwa linked na Transmission za 5-speed Manual, 6-speed Manual, 6-speed ZF 6HP Automatic na 7-speed Magna 7DCI600 M-DCT dual-clutch..
.
1653991414368.png
1653991432533.png

.
Generation hii inaendesha tyre za nyuma [rear-wheel drive layout], AWD kwa Series 1 ilikua introduced kuanzia 2012 kwa baadhi ya gari..
.
Kwenye matumizi ya mafuta gari iko vizuri kwa hizi engine ndogo za cylinder 4 [1.6-2.0cc] Gari inaenda wasitani wa 14.9km/L - 20.1Km/L..
.
Ktk hizi Engine N46 ndo nzuri reason being N46 ina maboresho zaidi ikiwa na Valvetronic [inapunguza matumizi ya mafuta] na dual Vanos [inaongeza performance ya engine]..
.
Pia N46 version ya 2.0L ina DISA technology [mfumo wa kucontor kiwango cha hewa kinachohitajika na engine], Hapa pia walifanya maboresho kwenye vacuum pump, conrods na roller gear kwenye valve train..
.
Baadhi ya maelezo they a bit technical ila nimeyaweka in a way utakayoelewa, Hizo Engine nyingine ni nzuri pia na zinatumika vizuri ila so far N46 ni nyepesi na ndo iko poa zaidi..
.
Hizi engine likija swala la kubadilisha oil [service] hazitaki mchezo, Oil ibadilishwe muda husika [Km] sababu ukichelewa au ukitumia oil grade za chini [non recommended] itakuletea shida..
.
Engine hizi ukizizembea service zina tabia ya kublock passage za oil au kula oil, Of which zikianza hizi tabia baada ya muda tu Engine itasumbua na utapata leaks za kutosha..
.
Gari imekuja na models classified katika trim level 4.. . Ikianza na SE, M Sport, Sport, na M Sport Shadow Edition.. . Hizi tofauti zake zipo kutoka na features ambazo gari imepewa. .
.
SE ndo trim ya chini kabisa ikiwa na features za muhimu kama keyless entry [sio zote], electrical heated mirrors and doors.. . Automatic wipers and lights, fog lights, radio, six speakers, Bluetooth, and 16-inch wheels.. . Inafata Sport trim ikiongeza vitu kama Ambient lights, sports seats, na upgraded alloy wheels za inch 17 zikiipa gari muonekano mzuri.. .
.
1653991614030.png
1653991635311.png

.
M trim inakuja na Wheels za inch 18 ikiwa na Aerodynamic Body styling na LED headlights.. . Leather na black interiors ikiipa class flani ya kipekee pamoja na M Sport Suspension..
.
1653991715499.png
1653992462367.png

Ukija kwa M Sport Shadow Edition huyu ndo the highest trim akitoka kwenye upgrade ya M trim. Anakuja na alloy wheels za inch 18, Darkened lighting na front parking sensors brake system zake zikiwa upgraded, na cruise control, Yani hapa infotainment zimejazwa za kutosha..
.
1653991792269.png
1653991837875.png

.
Muhimu hapa ni kuangalia ukipendacho then unafanya maamuzi.. . Maintanance za hii gari hazifanani na gari yenyewe yani ziko juu Parts zinapatikana vizuri tu ila ni ghali [Bei iko juu].. . Gari iko na sensors za kutosha [Hio sio isue ya kuogopa ndo gari za kisasa nyingi zilivyo]..
.
Taa zikianza kuwaka waka kwa dashboard utatamani uwe na diagnosis machine yako binafsi, Zina electrical water pump tumia coolant nzuri na usiipe safari ndefu continuously bila kupumzika. Hizi pump zinawahi kufa na ni gharama. zile mechanical pump za kawaida ndo ziko poa..
.
BMW Series 1 ni gari ndogo inayokupa Heshima [stability, comfortability, performance]. Ni gari flani inayokupa kujiamini na kujiona wa tofauti, Kuvipata hivi vitu vyote ni gharama kama Bank account yako salio bado ni Imani, Upendo na Miujiza sikushauri ununue hii gari..
.
Gari inaweza ikaua Water pump ikakubidi uombe emergency Loan saccos kwa ajili ya water pump. Wakati water pump ya Ist unaweza chukua ukaacha dhamana Tecno kwa Shayo kama uchumi umekataa kwa muda huo..
.
1653991909207.png
1653991954594.png
1653992018972.png

Gari inashika barabara iko very comfortable, powerful, easy to handle. Na iko faster yani kwenye lami kanateleza kama Bombardier. Though iko chini sana kama njia yako sio nzuri basi achana nako.. .
.
Utakua unapiga mashimo au kanagonga chini unang'gata meno no roho inakuuma kila saa, Ukigonga gonga sana chini baada ya muda vitu vitaanza kufa..
.
1653992082707.png
1653992157488.png
1653992358519.png

.
All in all BMW Series 1 ni gari zuri na zenye heshima , Gari ikitoka Japan mpaka unaishika inaweza kukutoa 13-15M. Kama unahitaji kuagiza au kununua hapa nchini [showroom au ya mkononi] tunaweza kukusadia, Tuko na network ya trusted dealers kwa hapa Tanzania na Japan..
.
Dealers wanautupa gari nzuri kwa bei nzuri kwa ajili yako, Simply tupigie simu au njoo WhatsApp [0714547598] tutakupa kitu smart kama wewe ulivyo smart kwa bei nzuri.. . Kama hujatufollow katika kurasa zetu katika mitandao ya kijamii tu follow chap [@samatimecardealers ]ili usipitwe na Madini kama haya..
.
Na Kwa ushauri unaweza tupigia au ukaja ofisini Kigamboni Kisiwani Kwa Mkorea kama unaenda Kibada. Natumaini umejifunza kitu kama Jibu ni ndio basi unaweza share na wengine wapate haya madini..
.
NImalize kwa kukumbusha kwenye magari issue sio kununua gari, issue ni kulimaintain.. .
.
Thanks..
Samatime Car Dealers CO LTD
0714547598
 
View attachment 2245556View attachment 2245574
.
BMW Series 1 [Coded E87] ni moja ya subcompact executive cars inayotengenezwa na BMW toka kwa 2004 ikitokana na BMW 3 Series Compact, Series 1 tunasema ni solid athletic design [ngumu yenye umbo la sport]...
.
Features za hii gari imeifanya kuwa moja ya gari ndogo nzuri imara na inayovutia machoni Ukiona, mpaka sasa BMW Series 1 ina generation tatu, Generation ya Kwanza ikianza [2004 - 2010]..
.
Generation ya pili [2011-2018] na Generation ya tatu [2019-Todate], Sasa leo Kipekee kabisa tunaenda kumgusa Generation ya Kwanza, Sema Kabla hatujaanza kumdadavua pata glass ya maji uendelee kula MADINI..
.
Hii gari Generation ya 1 [2004-2010] imetoka ikiwa na muundo [body styles] wa hatchback[E81,87], coupé[E82] na convertible [E88], Mpaka mwaka 2014 coupe na convertible wakazitoa kwenye Series 1 wakazipeleka Series 2..
.
View attachment 2245552View attachment 2245564View attachment 2245566
.
Gari imekuja na engine option kadhaa, Petrol engine 1.6-2.0L N43/N45/N46 I4, 3.0L N52 I6 na 3.0L N54/N55 I6 turbo Diesel Engine turbocharged 2.0L M47/N47 I4..
.
Engine zikiwa linked na Transmission za 5-speed Manual, 6-speed Manual, 6-speed ZF 6HP Automatic na 7-speed Magna 7DCI600 M-DCT dual-clutch..
.
View attachment 2245576View attachment 2245579
.
Generation hii inaendesha tyre za nyuma [rear-wheel drive layout], AWD kwa Series 1 ilikua introduced kuanzia 2012 kwa baadhi ya gari..
.
Kwenye matumizi ya mafuta gari iko vizuri kwa hizi engine ndogo za cylinder 4 [1.6-2.0cc] Gari inaenda wasitani wa 14.9km/L - 20.1Km/L..
.
Ktk hizi Engine N46 ndo nzuri reason being N46 ina maboresho zaidi ikiwa na Valvetronic [inapunguza matumizi ya mafuta] na dual Vanos [inaongeza performance ya engine]..
.
Pia N46 version ya 2.0L ina DISA technology [mfumo wa kucontor kiwango cha hewa kinachohitajika na engine], Hapa pia walifanya maboresho kwenye vacuum pump, conrods na roller gear kwenye valve train..
.
Baadhi ya maelezo they a bit technical ila nimeyaweka in a way utakayoelewa, Hizo Engine nyingine ni nzuri pia na zinatumika vizuri ila so far N46 ni nyepesi na ndo iko poa zaidi..
.
Hizi engine likija swala la kubadilisha oil [service] hazitaki mchezo, Oil ibadilishwe muda husika [Km] sababu ukichelewa au ukitumia oil grade za chini [non recommended] itakuletea shida..
.
Engine hizi ukizizembea service zina tabia ya kublock passage za oil au kula oil, Of which zikianza hizi tabia baada ya muda tu Engine itasumbua na utapata leaks za kutosha..
.
Gari imekuja na models classified katika trim level 4.. . Ikianza na SE, M Sport, Sport, na M Sport Shadow Edition.. . Hizi tofauti zake zipo kutoka na features ambazo gari imepewa. .
.
SE ndo trim ya chini kabisa ikiwa na features za muhimu kama keyless entry [sio zote], electrical heated mirrors and doors.. . Automatic wipers and lights, fog lights, radio, six speakers, Bluetooth, and 16-inch wheels.. . Inafata Sport trim ikiongeza vitu kama Ambient lights, sports seats, na upgraded alloy wheels za inch 17 zikiipa gari muonekano mzuri.. .
.
View attachment 2245586View attachment 2245587
.
M trim inakuja na Wheels za inch 18 ikiwa na Aerodynamic Body styling na LED headlights.. . Leather na black interiors ikiipa class flani ya kipekee pamoja na M Sport Suspension..
.
View attachment 2245590View attachment 2245610

Ukija kwa M Sport Shadow Edition huyu ndo the highest trim akitoka kwenye upgrade ya M trim. Anakuja na alloy wheels za inch 18, Darkened lighting na front parking sensors brake system zake zikiwa upgraded, na cruise control, Yani hapa infotainment zimejazwa za kutosha..
.
View attachment 2245593View attachment 2245595
.
Muhimu hapa ni kuangalia ukipendacho then unafanya maamuzi.. . Maintanance za hii gari hazifanani na gari yenyewe yani ziko juu Parts zinapatikana vizuri tu ila ni ghali [Bei iko juu].. . Gari iko na sensors za kutosha [Hio sio isue ya kuogopa ndo gari za kisasa nyingi zilivyo]..
.
Taa zikianza kuwaka waka kwa dashboard utatamani uwe na diagnosis machine yako binafsi, Zina electrical water pump tumia coolant nzuri na usiipe safari ndefu continuously bila kupumzika. Hizi pump zinawahi kufa na ni gharama. zile mechanical pump za kawaida ndo ziko poa..
.
BMW Series 1 ni gari ndogo inayokupa Heshima [stability, comfortability, performance]. Ni gari flani inayokupa kujiamini na kujiona wa tofauti, Kuvipata hivi vitu vyote ni gharama kama Bank account yako salio bado ni Imani, Upendo na Miujiza sikushauri ununue hii gari..
.
Gari inaweza ikaua Water pump ikakubidi uombe emergency Loan saccos kwa ajili ya water pump. Wakati water pump ya Ist unaweza chukua ukaacha dhamana Tecno kwa Shayo kama uchumi umekataa kwa muda huo..
.
View attachment 2245597View attachment 2245598View attachment 2245599

Gari inashika barabara iko very comfortable, powerful, easy to handle. Na iko faster yani kwenye lami kanateleza kama Bombardier. Though iko chini sana kama njia yako sio nzuri basi achana nako.. .
.
Utakua unapiga mashimo au kanagonga chini unang'gata meno no roho inakuuma kila saa, Ukigonga gonga sana chini baada ya muda vitu vitaanza kufa..
.
View attachment 2245603View attachment 2245607View attachment 2245609
.
All in all BMW Series 1 ni gari zuri na zenye heshima , Gari ikitoka Japan mpaka unaishika inaweza kukutoa 13-15M. Kama unahitaji kuagiza au kununua hapa nchini [showroom au ya mkononi] tunaweza kukusadia, Tuko na network ya trusted dealers kwa hapa Tanzania na Japan..
.
Dealers wanautupa gari nzuri kwa bei nzuri kwa ajili yako, Simply tupigie simu au njoo WhatsApp [0714547598] tutakupa kitu smart kama wewe ulivyo smart kwa bei nzuri.. . Kama hujatufollow katika kurasa zetu katika mitandao ya kijamii tu follow chap [@samatimecardealers ]ili usipitwe na Madini kama haya..
.
Na Kwa ushauri unaweza tupigia au ukaja ofisini Kigamboni Kisiwani Kwa Mkorea kama unaenda Kibada. Natumaini umejifunza kitu kama Jibu ni ndio basi unaweza share na wengine wapate haya madini..
.
NImalize kwa kukumbusha kwenye magari issue sio kununua gari, issue ni kulimaintain.. .
.
Thanks..
Samatime Car Dealers CO LTD
0714547598

Ukimaliza hapo unaniletee na Vitz ya kijapani yenye Cc3000 Twin turbo na Kisahani chenye 320Km/h kama hii👇🏾

Kweli kabisa.

Mtu kitu kinamsumbua hata spea zake ni tabu kuzipata lakini anamuuzia mwenzake.

Sasa sijui huyo mnunuaji ye spea akazitoe wapi!

Mimi nipo makini sana na wabongo wanaouza vitu vyao.
😆😆😆 Surely mkuu kama kuna mtu ananilazamisha ninue mazda yake.. dah kweli hatuoneani huruma
 
nilinunuaga b class mzee ilivyokuwa inanileleka kwenye spear dah nkaamua kuiuza tu na sitorudia tna

Umeshawahi tumia gari yeyote toka BMW?
Hapana sijawahi kumiliki BMW zaidi ya kuendesha Tu kutoka banana Hadi kariakoo ilikuwa mwaka Jana....
Ila Kwa mtazamo WA mafundi wengi wanasema Volkswagen ni kama Toyota kwasababu inavumilia shida
 
Back
Top Bottom