Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !!
Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!.
Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa.
Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa...
Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu.
Tunakumbuka tulikotoka.
TRA walikuwa miungu watu.
Tena zilikuwepo TASK FORCE ambazo zilikuwa zina terrorize wafanya biashara.
Akaunti hela zinachotwa bila kibali cha...
Makusanyo ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Kagera yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni 3.2
Kagera ilipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 5.8 na mpaka mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu wa...
Wanabodi
https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek
https://youtu.be/EEMSp2L7MZk
Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza zaidi, na kuvaa...
11 March 2025
Dira Yetu : SEKTA YA MADINI NCHINI RWANDA : Je ni kweli Rwanda Haina M8godi ya Uchimbaji ?
https://m.youtube.com/watch?v=T2NW4_-B6-4
Muongoza kipindi ndugu Masantura amewakaribisha studio wageni kujadili sekta ya madini nchini Rwanda. Kipindi hiki kitawafahamisha je ni dhana...
Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503 ni wageni sawa asilimia 2.5 ya ajira zote zilizozalishwa.
Vilevile, Jumla ya bidhaa zenye thamani ya Dola za Marekani (USD) 3,780,161,183.28 ziliuzwa...
Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja?
Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata tiketi ya kutazama, mwisho wa siku mechi inahairishwa. Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa sababu...
TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE KUKUZA UJUZI WA WADAU SEKTA YA MADINI
▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini
▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum
▪️Canada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini
▪️Mpango wa Uwezeshwaji wa...
📌NIRC Dodoma
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya umwagiliaji nchini. Lengo ni kuboresha kilimo nchini, na kuongeza hali ya upatikanaji wa chakula ili kufikia adhima...
Ndugu vijana wenzangu Tanzania, hongereni kwa majukumu ya kila siku.
Mawaidha yangu muhimu kwenu leo, ni kuwaomba rafiki zangu wasomi wasaka ajira, kujitenga na uvivu lakini pia kuacha tabia ya kuchagua kazi. Huko ni kujichelewesha kufanikiwa kijamii, kisiasa na kiuchmi.
Ni vizuri kutumia...
Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anayeshughulikia pia masuala ya...
.
Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mh. Mudrick Soraga (kulia), akimsikiliza Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, wakati wa kongamano la Z-Summit 2025 lililofanyika katika Chuo Kikuu cha SUZA, Zanzibar. Kongamano hilo la kila mwaka, lililofanyika kuanzia...
Obinna Anyalebechi (Mkurugenzi Mtendaji wa SBL) akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo kutoka mashirika mbalimbali kuzungumzia mikakati ya kupambana na biashara haramu ya pombe nchini Tanzania. Kuanzia kulia ni Khadija Ngasongwa...
Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:-
Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti vinavyoelezea mbinu bora za ujasiriamali, usimamizi wa biashara na mkakati wa soko.
kwa kipindi cha...
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kutoa fedha nyingi za miradi, hasa katika sekta ya elimu.
Akizungumza katika ziara yake ya kampeni ya kuandikisha na kusajili watoto walio nje ya mfumo rasmi...
Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi huadhimishwa Februari 11 kila Mwaka kuadhimisha mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM)
Siku hii inahamasisha Wanawake na Wasichana zaidi kufuata na kujiunga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.