Kuna wimbi hatari la wanasiasa kuigeuza sejta ya afya na watumishi wake kama kinyago cha mpapure .
yaani mwanasiasa akishashiba kande zake na mayai ya kuchemsha anaachia mapashtoon tu kwa sekta ya afya.
Yaani Mbunge,Waziri,DC,Diwani na viongozi wa vijiji wote kazi yao ni kuwasimanga watumishi...
Heri kwenu wadau.
Napenda kujua kama kuna taasisi inayotoa mkopo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi (Mf. Shule za private n.k), masharti yake na makorombwezo mengine.
Naona sekta nyingi zinakopesha wafanyakazi walioserikalini tu, wakati hata sisi wa private maisha yetu yanahitaji mkopo pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.