Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,289
- 821
Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
Katika kipindi cha miaka minne, Serikali imedhibiti na imesimamia uchimbaji wa madini na kutoa leseni tano kwa kampuni za Sotta Mining Corporation Limited (SMCL)-Wilayani Sengerema, Tembo Nickel Corporation Ltd (TNCL)-Wilayani Ngara, Faru Graphite Corporation Ltd (FGCL) Wilayani Mahenge, Mamba Minerals Corporation Limited - Wilayani Songwe na Nyati Mineral Sand Limited - Wilayani Pangani ambazo zimewezesha Serikali kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 2.64 na kutoa ajira zaidi ya 19,356 kwenye sekta ya madini.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama