sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Sekta ya Utalii ilikumbwa na changamoto ya ukuaji kutokana na janga la Corona

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19 Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameigeuza sekta ya afya kama kinyago cha mpapure

    Kuna wimbi hatari la wanasiasa kuigeuza sejta ya afya na watumishi wake kama kinyago cha mpapure . yaani mwanasiasa akishashiba kande zake na mayai ya kuchemsha anaachia mapashtoon tu kwa sekta ya afya. Yaani Mbunge,Waziri,DC,Diwani na viongozi wa vijiji wote kazi yao ni kuwasimanga watumishi...
  3. JamiiForums Tanzania Taasisi ya fedha inayokopesha wafanyakazi wa sekta binafsi

    Heri kwenu wadau. Napenda kujua kama kuna taasisi inayotoa mkopo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi (Mf. Shule za private n.k), masharti yake na makorombwezo mengine. Naona sekta nyingi zinakopesha wafanyakazi walioserikalini tu, wakati hata sisi wa private maisha yetu yanahitaji mkopo pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…