sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kila sekta ngumu kutoboa ilikuwa rahisi 2012 kuja 2022

    Sasa hivi wanaofanikiwa ni wale walio kwenye mfumo tu mambo yamebadilika sasa ni kama kila deal halilipi.ukija kwenye biashara ya nguo watu wana maduka kibao mitaani wengine ku clear mzigo wanauza mpaka Jean's 5000, Ukija kwenye content creator washakuwa wengi ma simu ya mkopo kibao,ukija...
  2. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaandika Historia mpya kwenye Sekta ya Reli!

    Kuanzishwa kwa uundaji na ukarabati wa vichwa vya treni za MGR (Meter Gauge Railway) nchini ni hatua kubwa kwa maendeleo ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Taifa kwa ujumla. Kiteknolojia Hatua hii inaashiria mwanzo wa kujitegemea kiteknolojia. Tanzania inaanza kujenga uwezo wa ndani wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda atangaza Wizara yake imetenga Bilioni 50 ili kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu

    Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetenga mfuko wenye Sh50 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini, hatua inayolenga kukuza uchumi wa ubunifu na kutoa fursa zaidi za kiuchumi kwa vijana. Akizungumza jijini Arusha jana Machi...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninadhani RC Mtambi anatakiwa ajifunze zaidi kuhusu sekta ya utalii inavyofanya kazi

    Binafsi ninaona RC Mtambi kuna mambo hajui kuhusu utalii na jinsi gani hii sekta ina umuhimu kwa taifa hili. Hizi amri zake zinagusa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa. Sio kauli za kidiplomasia.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ahadi hewa ya Utekelezaji wa Muundo wa Utumishi kwa Sekta ya Afya (Kada ya Uuguzi na Ukunga) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025? Habari, Kwa masikitiko makubwa napenda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti maalum ya sekta zinazoongoza kwa ufujaji na matumizi mabovu ya pesa za vijana wa Kitanzania

    1)Idara ya uzinzi Ni sekta namba Moja Ambayo ,imeonekana Kuwa na matumizi mabovu mno ya Fedha ,vijana wamekengeuka ,Wanahonga sana michepuko na girlfriends ukilinganisha na bei Elekezi. Kijana anaamua kujilipua kuingia mahusiano yenye gharama kubwa sana kwasababu ya kupagawishwa na shepu na...
  8. Amicable Group

    JamiiForums Tanzania Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje? Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako? Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jinsi Porojo za wanasiasa zinavyoharibu Sekta ya Afya nchini

    Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha. Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa miundo ya kimshahara katika sekta ya afya,, jambo hili kila Waziri anaepewa dhamana kuongoza wizara ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka adai Wakinga, Wapemba, Wanyantuzu, Waha, na Wachaga, ndio vinara wa sekta binafsi Tanzania.

    ..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga. ..sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
  11. L

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya kijiolojia yaliyojengwa na China yachochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtandao wa kifamilia ulivyoteka sekta ya uingizaji wa magari Japan - Tanzania

    Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na kuelekeza mabilioni ya fedha za Serikali katika mifuko yao, huku kukiwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wabongo bado sana kwenye biashara ya usafirishaji na uchukuzi

    Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana. Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia...
  15. Soul21

    JamiiForums Tanzania Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

    Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha Magufuli tunanyimwa. Naomba serikali ione huruma ili tunaopata kazi serikali tulipwe hiyo pesa ili...
  16. Chibike

    JamiiForums Tanzania Tupeane fursa zilizopo katika sekta ya uvuvi/baharini kwa wafanyabiashara

    Kichwa Cha habari chajitosheleza Sekta ya uvuvi kwa ujumla kwa mfanyabiashara Mdogo anaweza kufaidika kwa kufanya michongo ipi Seamen karibuni...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Sekta ya utalii yazidi kupaa Zanzibar

    Zanzibar imeandika ukurasa mpya wa kihistoria katika sekta ya utalii baada ya kufanikiwa kuvunja rekodi ya uingiaji wa watalii kabla ya kufika mwisho wa mwaka 2025. Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Ndugu Arif Abbas amesema, hadi kufikia mwisho wa mwezi Oktoba 2024, visiwa hivyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza mshahara wa kima cha chini Sekta binafsi mpaka Tsh 358,322

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambapo sasa itakuwa ni Sh358,322 kutoka Sh275,060 ikiwa ni ongezeko la asilimia 33.4. Kima hicho kitaanza kutumika rasmi Januari Mosi mwaka 2026. Ikumbukwe Serikali...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sekta binafsi inapaswa kuwekeza katika Takwimu

    Takwimu zipo katika kiini cha maendeleo, zikichochea maamuzi na uwekezaji unaosaidia kupunguza umasikini na kujenga mustakabali endelevu. Hata hivyo, mifumo mingi ya kitaifa ya takwimu katika nchi za kipato cha chini na kipato cha kati haina rasilimali za kutosha na haijajiandaa kutoa takwimu...
  20. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kuna namna hii sekta imenikataa kabisa

    Naona kabisa hii sekta ikielekea kunishinda maana kila napoingia ni afadhali nilipotoka🥲 Au mimi sijaandikiwa kuwa na mwenza wa maisha, maana hii siyo hali ya kawaida kabisa kwa kijana mdogo kama mimi. Naona kwasasa niachane na hii sekta nijikite kwenye masuala mengine ya msingi.
Back
Top Bottom