Kama ulikuwa ni mtu usieenda kabisa club, si mbaya ila nikwambie kitu bro jitahidi walau once kwa miezi miwili tembelea hayo maeneo, fululiza weekend mbili mfululizo club zenye majina, Utanishukuru Siku Moja.
Kama hujawahi tembelea sehemu wanawake wanajiuza, unawasikia tu watu wakitamka tu...