segerea

Segerea is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,821.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: CCM yashinda Segerea mitaa yote 61, na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo. Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob (Boni Yai): Salamu kutoka Segerea (Ujambazini)

    SALAMU KUTOKA UJAMBAZINI.. Najua ukisikia neno “ujambazini” lazima utashtuka kidogo. Nikutoe hofu neno kabisa. Neno ‘ujambazini’ ni jina la eneo kama ilivyo Posta, Masaki au Manzese. Nikupeleke sasa Ujambazini huko. Ujambazini ni Magharibi mwa Jiji la Dar es salaam, na kusini mwa Wilaya ya...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Tabata Segerea

    Rejea kichwa cha habari apo juu kuna viwanja ambavyo vimekatwa vinauzwa vyenye Square mita 500 kila kimoja eneo ni zuri na viko karibu na shule ya secondary ya The new ambassador..kutoka viwanja vilipo mpaka kufika uwanja wa ndege wa JK nyerere ni dakika 5 tu..
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mbunge wa Segerea. Anapambana sana kwa ajili yetu

    Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
  5. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mc Gara B kugombea jimbo la SEGEREA 2025 (tetesi)

    Mc Mashuhuri duniani GARA B ameonyesha nia ya kugombea jimbo la Segerea kwenye uchaguzi 2025. Kupitia Chama Cha Mapinduzi. Hakika Segerea mpya yaja. Wana Segerea kazi kwenu.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Changamoto ya Umeme Mdogo imesababisha baadhi ya maeneo ya Dar kukosa Maji, maboresho yanaendelea

    Mamlaka ya Majisafi na Uhifadhi wa Mazingira (DAWASA), imesema inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yenye Changamoto ya kukosa Maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na maeneo ya Segerea. Taarifa iliyotolewa na Everlasting Lyaro ambaye ni Afisa wa Mamlaka hiyo aliyezungumza na...
  7. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania KERO Responded DAWASA Mitaa ya Tabata Segerea kuna shida gani, Mbona hatupati Maji wiki ya tatu sasa?

    Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuna shida gani katika jiji hili, mbona matatizo ya maji hayaishi? Mvua ziwepo zisiwepo...
  8. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji

    Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu. Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3. Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
  9. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zifanyie matengenezo kituo cha daladala Tabata Segerea

    Miundombinu ya hiki kituo imeharibika kiasi fulani na kutengeneza mashimo makubwa ambayo kwa kipindi hiki cha mvua yanahifadhi maji na kusababisha kero kwa wanaotumia kituo hicho. Kwanza panapitika kwa shida, usipokuwa makini unaogeshwa maji machafu na daladala au bajaji. Pia yale mashimo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na Hukumu ya Kosa hili basi zamani sana ningekuwa natumikia Kifungo changu cha Maisha Segerea

    Hivi unajua usipompa pesa mkeo akavaa vizuri na akapendeza ni ukatili wa kiuchumi? Hii ndio kauli iliyotolewa na Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, alipozungumzia siku 16 za kupinga ukatili. Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba 11, 2023 huko...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Bonah Kimoli Segerea imekushinda, miezi 4 sasa Kata ya Bonyokwa Kisiwani Mtaa wa Oysterbay hatuna maji

    Ni miezi 4 sasa kata ya Bonyokwa Kisiwani Mtaa wa Oysterbay wananchi hatujawahi kuona maji. Pamoja na juhudi za kuwasiliana na Mbunge wetu Bonah inaelekea mfupa huu umemshinda. Mpaka tunajiuliza mbona kipindi cha Utawala wa Mwendazake shida ya maji ilishaisha? Serikali ya CCM jitafakarini...
  12. mngony

    JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Anaejua mawasiliano ya simu Parokia Ya Roho Mtakatifu-Tabata Segerea

    Wakuu nisaidieni mawasiliano ya Parokia tajwa hapo. Nimejaribu ku- Google bila mafanikio. Shukran sana.
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Utata kifo cha Mchungaji Mnigeria 'pusha' anaedaiwa kufa Segerea

    Ni bwana Oezeama kama sikosei. Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao. Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu. Duru za eneo lile...
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Droo ya Bonnah Segerea Cup yatangazwa, Timu kuanza Mtanange 03/12/2022

    Mashindano ya Bonnah Segerea Cup yanatarajiwa kuanza tarehe 03/12/2022 hadi tarehe 18/01/2023. Timu 64 kutoka katika Mitaa ya Segerea 61, zitakutana kwenye Viwanja 8 vilivyopo Jimbo la Segerea. Mbunge wa Segerea Bonnah Kamoli ameeleza kwamba Mshindi wa kwanza atapata Milioni 5, Mshindi wa Pili...
  16. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu angezaliwa na kumtumikia Mungu zama hizi za leo maana yake angefungwa Segerea nasio kutundikwa msalabani.

    No OFFENCE NO OFFENCE Naomba mada isichukuliwe tofauti na pia niweke bayana baadhi ya mambo. Kwanza mimi ni mbatizwa kwa Jina la Joseph ( na sijui kwa nini sisi wenye majina yetu asili uwa tunapewa majina mengine, sitaki kuamini kama Mungu ni mbaguzi kiasi icho). Nilibatizwa mpaka kupata...
  17. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Hivi mbunge wa Segerea kazi yake nini?

    Nauliza hivi kwa mshangao sana. Ni kuhusu suala la maji. Yapo maeneo maji wanapata kila siku. Kuanzia Bima kwenda hadi relini kule maji ni kila wakati. Mshangao kwao ni maji yakikatika. Maeneo ya Segerea kuelekea Kisukuru na Bonyokwa huko kuna changamoto sana ya maji. Huku yakitoka inabidi...
  18. Kiziwanda chema

    JamiiForums Tanzania Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

    Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba. Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita. Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi. Nb; Nina...
  19. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Dar, kati ya Tabata Segerea na Kimara, ni wapi mbali kwenda Ubungo

    Habari wakuu. Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo. Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini. Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

    Habari wadau..! Hii imewakuta watu ninao wafahamu. Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni...
Back
Top Bottom