segerea

Segerea is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,821.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

    Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la kuomba msaada wa huduma ya maji mtaani terrynite street, Segerea Magereza

    OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji. Tatizo: Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kundo Mathew: Mkurugenzi wa DAWASA fanyia kazi suala la Maji Segerea, Tusizowee changamoto za Wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ametoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea inapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu. Akijibu swali la Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, bungeni Juni 3, 2026, Mhandisi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais hajazungumza na Lissu huko Segerea!?

    Hivi Rais hajaweza kupata fursa ya kuzungumza na Tundu Lissu aliotembelea gereza la ukonga!?
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge Agnesta Kaiza: Jimboni kwangu Segerea, mvua zikinyesha barabara nyingi hazipitiki

    https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
  6. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

    Wakuu leo mda siyo mrefu wazee wa kazi wapo mtaani kwetu wako full commbat sijui kuna ishu gani aisee nauliza tuu
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta: Kwa miaka kumi Segerea ni kama haikuwa na Mbunge

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza: Rais Mama Samia alisema mimi kama mwanamke lazima nimtue mwanamke wa kata ya Kisulu ndoo kichwani kwa kumpelekea maji

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara. Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza: Wananchi wa Segerea naombeni mnijaribu kwa miaka 5

    wanaosema mpo tayari kunipa miaka mitano tena ya majaribio, nijaribuni kwa miaka mitano mimi na Shukuru (mgombea Udiwani kata ya Minazi mirefu) ni kwa sababu sisi tunaamini changamoto za wananchi wa Miti mirefu zinapaswa kutangulia maslahi yetu yanapaswa kufuata nyuma" Hayo ameyasema Agnesta...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

    Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi. Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Kimenuka Segerea, Ngumi zimepigwa, Wana-CCM wadaiwa kutaka kutoana Roho

    Wakuu! Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea ubunge, udiwani Segerea wakijinadi mbele ya wajumbe

    Wagombea Ubunge na udiwani katika Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Agosti 2, 2025 walipoitwa mbele ya wajumbe Kata ya Kiwalani kwa ajili ya kutambulishwa kabla ya kuwaomba kupigiwa kura Agosti 4, 2025. Jimbo hilo lina jumla ya wagombea saba.
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hali mbaya ya barabara ya Segerea-Tabata

    Barabara ya Segerea-Tabata, ambayo ni miongoni mwa njia muhimu za mawasiliano katika Jiji la Dar es Salaam, imegeuka kuwa chanzo kikubwa cha usumbufu na kero kwa maelfu ya watumiaji wake wa kila siku. Ni jambo la kushangaza na la kusikitisha kuona ukarabati unaofanyika kuwa wa muda mfupi, wa...
  14. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inapangishwa Tabata Segerea

    Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa. Mahali: Tabata Segerea, Dar es salaam. Sifa za Nyumba: •Iko mita chache kutoka barabara ya segerea. •Ina master bedroom, Choo cha ndani, jiko, Sebule na sehemu ya chakula. •Iko ndani ya uzio yenye sehemu kubwa ya kuegesha magari. •Ina bustani ndogo...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rose Mayemba: Tumetoka Keko, Lissu hayupo na Magereza hawajui alipo

    Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba: Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!. Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini...
  16. PSL god

    JamiiForums Tanzania Nicole joyberry apandishwa kizimbani, akosa dhamana apelekwa segerea

    Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam mbele ya Hakimu Ramadhan Rugemalira kwa tuhuma za kupokea Shilingi milioni 185.5 kutoka kwa umma bila kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Mbali na Berry...
  17. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Segerea: 1077 Sqm Ideal Plot For Sale - Dar

    • Direction: • Structure: • Facilities: • Ideal: • Plot Area: • Document: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬 +255767157788 Mitandao ya Kijamii: @estatedealtz
  18. M

    JamiiForums Tanzania Makaburi ya waislamu Segerea yanatoa funzo kubwa suala la kutunza ardhi. Serikali ikemee kujengea Makaburi yote

    Habari wadau. Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea. Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
  19. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Garatwa: Emmanuel Ntobi, Henry Kileo, Boni Yai, Martin Maranja, Yericko Nyerere ni Vijana wanaomuunga mkono Mbowe kwa sababu ya Bia na Konyagi tu.

    Na; Garatwa Francis Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
  20. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Nimefanya uchunguzi kuanzia Kituo cha Mabasi Pugu mpaka Segerea nimegundua pete za ndoa vidoleni ni chache sana

    Nilikosa cha kufanya na bundle ilikuwa imekatika kwa simu, nikapata idea ya kuhesabu pete za ndoa vituoni na kusema kweli inaonesha wanaume wengi sana wana pete vituoni kuliko wanawake, katika kudadisi dadisi katika halmashauri ya ubongo wangu nikaja na majibu yafuatayo; 1. Wingi wa wanaume...
Back
Top Bottom