scholarship

  1. Samia Scholarship ilitangazwa Septemba 27, leo Septemba 29 majina ya waliopata yatolewa. Kuna sehemu tunakosea!

    Sami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa! Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA Pia soma: Thread 'Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija' Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija
  2. N

    Maeneo nane yatakayofadhiliwa na Samia Scholarship

    Kuleta mageuzi katika sekta ya sayansi na teknolojia kupitia Samia Scholarship. Ufadhili huo wa miaka mitatu hadi mitano utawanufaisha wanafunzi kwenye maeneo haya nane: Samia Scholarship itatoa Ufadhili wa 1. Ada ya mafunzo 2. Posho ya chakula na malazi 3. Bima ya afya 4.Vifaa saidizi kwa...
  3. Samia Scholarship

    SAMIA SCHOLARSHIP Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanzisha program ya ufadhili iitwayo SAMIA SCHOLARSHIP kwa masomo ya shahada ya kwanza kwa wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika mitihani ya kidato cha 6 mwaka 2022 chini ya NECTA kwa waliosoma masomo ya; PCB, PCM, PGM, CBG, CBA...
  4. Dirisha la Maombi ya Samia Scholarship lafunguliwa

    Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua dirisha la maombi ya SAMIA SCHOLARSHIP kwa wanafunzi 640 waliopata ufaulu wa juu kwenye masomo ya sayansi katika mitihani ya Kidato cha Sita 2022. Majina ya wanafunzi hao yanapatikana kuanzia leo katika tovuti ya wizara...
  5. Majina ya waliopata Samia Scholarship

    Majina ya waliopata Samia Scholarship yametoka tayari mwenye link atuwekee
  6. Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

    Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita. Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship. Akizungumza hayo leo Jumapili...
  7. Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija

    Rais wetu Mama Samia ametoa udhamini wa wanafunzi 600 katika elimu ya juu waliofanya vizuri masomo ya sayansi, sina hakika kama watanzania wengi wanalifahamu jambo hili jema kiasi hiki, maana elimu ni mti wenye mizizi mirefu sana, majani mengi na matunda yenye mbegu nyingi zisizohesabika idadi...
  8. Watumishi wa Umma Njooni mu "apply scholarship" za MOFCOM@China

    Halo JF ..... Mwaka jana mwezi wa 10 Wizara ya Utumishi wa Umma ilitoa Tangazo la maombi ya Scholarship kwa Masters na PhD kwa watumishi wa Umma. Kilichonishangaza ni kwamba tarehe 04/04/2022 Wizara Imeweka tena tangazo. Hii inaonyesha na kutafsirisha kwamba Watumishi wa Umma hawakuomba ili...
  9. Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

    Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri. Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika...
  10. Ndugu yangu amepata scholarship ya kwenda kusomea Ukraine

    Habarini za leo, Naomba kuuliza ndugu zangu. Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine. Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla. Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
  11. Je, Scholarship ni mbinu ya kutengeneza Vibaraka hasa wa Kisiasa?

    JE SCHOLARSHIP NI MBINU YA KUTENGENEZA VIBARAKA WA KISIASA? Anaandika Robert Heriel. Scholarship inaweza kuwa na maana nyingi, mojawapo ni kumsaidia mtu/mwanafunzi kirasilimali aweze kupata elimu Fulani; Rasilimali hiyo inaweza kuwa Fedha, au mahali pa kuishi(makazi), au chakula, au vitendea...
  12. Nawezaje kupata full Scholarship ya Postgraduate (Masters)

    Habarini wana JF Mimi ni undergraduate nimehitimu mwaka huu chuo Bachelor in Environmental Health Sciences (BSc EHS) tumezoeleka kuitwa MAAFISA AFYA. Ndoto yangu kubwa kusoma masters nchi za nje hasa hasa nchi zinazozungumza English. Natamaani nijue vyuo gan ambavo hutoa full scholarship ya...
  13. Scholarship opportunities for participating in micro master program on Data Economics and Development Policy

    SCHOLARSHIP OPPORTUNITY FOR PARTICIPATING IN MICRO MASTERS PROGRAM ON DATA ECONOMICS AND DEVELOPMENT POLICY OFFERED BY MASSACHUSETS INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIT) The Economic and Social Research Foundation (ESRF) - a policy research think tank in Tanzania, undertakes, and articulates research...
  14. Nimepata connection ya kwenda kusoma nje ila sasa ninafanya kazi. Naomba ushauri

    Wakuu nafanyeje, naomba ushauri Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata. Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata. Je niache kazi...
  15. W

    Maswali gani naweza kuyapata kwenye assignment ya TDR scholarship, MSc in Epidemiology?

    Habari zenu wanajukwaa, Poleni kwa majukumu mbalimbali. Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye round ya mwisho ya scholarship lakini wamesema nitafanya language assignment na quantitative assignment. Je, probably ni maswali gani wanaweza kuuliza? Wale waliowah kufanya naombeni mnisaidie ndugu zangu.
  16. Scholarship: Watanzania changamkieni fursa

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri! wakuu, mzigo umetoka! kama uko interested in Diploma in financial market operations Diploma in Capital Debt markets Diploma inSecurities & Derivatives Huu mzigo unatolewa na ICMA , yaani International Capital Market Association. kwa wale wa finance na...
  17. Scholarship za Canada kwa wenye vigezo

    Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada Opportunity DeskFully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada ... Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada October 10, 2021 2.4kShares A Perfect Time to see Insight of Fully Funded...
  18. Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA

    Wakuu naomba kuuliza hili swahili. Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA. Kama kuna mtu alishawai pata tutoe tongotongo tuweze kuelewa na ulipata aina gani ya scholarship.
  19. M

    Nafasi 1000+ za scholarship kutolewa na Access Bank and Udacity

    Access Bank and Udacity will provide 1,000 Nanodegree program scholarships for people in Africa to build practical, in-demand, cutting-edge tech skills. The scholarship will create upskilling opportunities for scholarship recipients and give them the skills needed by many tech companies today...
  20. Higher Education Scholarship Officer at the School of St Jude

    Higher Education Scholarship Officer Position: Higher Education Scholarship Officer School of St Jude The School of St Jude is a pioneering leader in charitable education within Africa. We are giving 1,800 students free, quality education and 100’s of graduates access to higher education each...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…