Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,807
- 13,056
Halo JF .....
Mwaka jana mwezi wa 10 Wizara ya Utumishi wa Umma ilitoa Tangazo la maombi ya Scholarship kwa Masters na PhD kwa watumishi wa Umma.
Kilichonishangaza ni kwamba tarehe 04/04/2022 Wizara Imeweka tena tangazo.
Hii inaonyesha na kutafsirisha kwamba Watumishi wa Umma hawakuomba ili Wizara ipate wa kutosha.
Sasa ndugu zangu Watumishi wenzangu wa Umma hebu apply-ini kwa wingi tafadhali.
Maana huko duniani Tz tunatafsirika watu wasiopenda kuchangamkia fursa za ajira na masomo huko nje.
Na kizuri zaidi hii scholarship haihitaji cheti cha kingereza (TOEL).
Link 👇👇👇
Haya tushambulie fursa hizii.
Ukipata Tangazo hili basi mjulishe na mtumishi mwenzio..!!!
NB:-
Kwa watakao kwama mnakaribishwa PM japo CONSULTATION FEES itahusika tafadhali...!!!
*Am an expert in these matters.
#YNWA