Maswali gani naweza kuyapata kwenye assignment ya TDR scholarship, MSc in Epidemiology?

Winner 92

Member
Aug 15, 2021
5
0
Habari zenu wanajukwaa,

Poleni kwa majukumu mbalimbali. Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye round ya mwisho ya scholarship lakini wamesema nitafanya language assignment na quantitative assignment.

Je, probably ni maswali gani wanaweza kuuliza? Wale waliowah kufanya naombeni mnisaidie ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom