sayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kesi Dhidi ya Dini: Mtazamo wa Kiakili

    1. Uvumbuzi wa Dini na Wanadamu Dini imekuwepo kwa maelfu ya miaka, lakini hakuna dini moja ambayo imewahi kutawala imani za wanadamu wote kwa ujumla. Kila jamii imeunda miungu, hadithi, na maandiko yake matakatifu, jambo linaloonyesha kuwa dini ni uvumbuzi wa binadamu badala ya ukweli wa...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  4. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalamu wa sayansi; Kwanini tunahisi ladha tofauti ya chakula baada ya kushiba?

    Baada ya kushiba ndiyo tunagundua chakula kimezidi chumvi, ama imepungua au kama ni mihogo baada ya kushiba ndiyo tuna gundua ni michungu. Kama ni juisi baada ya kushiba ndiyo tunagundua sukari imezidi ama imepungua. Kwanini ni baada ya kushiba?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mti ulioanguka na baadae kusimama wenyewe Geita ni sayansi wala siyo ushirikina kama wengi wanavyoripoti

    Iko hivi! Kuna taarifa ya mti uliokuwa umeanguka kuonekana umesimama tena baada ya kukatwa matawi huko geita. Tukio hili wengi wamelihusisha na imani mbalimbali za dini zao! Lakini kiuhalisia mambo kama haya hutokea na kwa sisi tulioishi porini tushashuhudia sana wala si mara moja! Sayansi...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi na Uanzishwaji wa "High School" za Sayansi, Musoma Vijijini

    UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI NA UANZISHWAJI WA "HIGH SCHOOLS" ZA SAYANSI Musoma Vijijini- kila Sekondari inapaswa kuwa na maabara tatu za masomo ya sayansi. Masomo hayo ni yale ya Fizikia, Kemia na Bailojia Jimbo letu linao mradi kabambe wa ujenzi wa maabara hizo tatu kwa kila...
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo, dini, filosofia na sayansi vinasemaje?

    Swali kuhusu "maisha baada ya kifo" ni swali la kifalsafa na kidini ambalo limekuwa likijadiliwa kwa karne nyingi. Jibu linategemea sana imani na msimamo wa kila mtu. Hapa kuna baadhi ya mitazamo kuu: 1. Dini za Kikristo: Zinasisitiza kuwa kuna maisha baada ya kifo, ambapo watu wanaweza kuishi...
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa hesabu na sayansi tupeni ufafanuzi wa jambo hili

  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaendelea kutoa mafunzo kwa Walimu wa Sayansi na Hisabati, kupunguza uhaba wa Wataalam

    Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwahamasisha Wanawake kushiriki katika sekta ya Sayansi?

    Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi huadhimishwa Februari 11 kila Mwaka kuadhimisha mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM) Siku hii inahamasisha Wanawake na Wasichana zaidi kufuata na kujiunga na...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

    Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia...
  13. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga ni furahisha genge, mpira ni Sayansi na siyo taralila nyingi

    Huo ndiwo ukweli. Ukiwasikiliza hasa Idara ya Ali Kamwe, kutwa kujigamba na wazi unaona ni watu wanao penda sifa za kijinga na zisizo dhahili. Mpira wa miguu siyo rede ama kwaya, bali ni Sayansi iliyo bayana. Huwezi ukafanikiwa kufaulu mtihani wa Sayansi ya football kwa mbwembwe na mapambio ya...
  14. nipo online

    JamiiForums Tanzania Kazini kwangu mwalimu wa sayansi alietegemewa kapigwa chini sababu alienda interview bila ruhusa

    Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,. Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss. Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania ERB Ongezeni Ubunifu Kuendana na Sayansi na Teknolojia - Waziri Ulega

    ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia. Waziri Ulega amesema hayo wakati akifungua kikao cha Baraza la...
  16. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Umahiri katika sayansi ya jamii

    Habari wanajamvi. Leo nimewaza sana na kujiuliza sana umuhimu wa waliobobea katika sayansi ya jamiii wako wapi? Na mchango wao katika jamii ni upi? Sisemi kwamba hawa wataalamu hawajafanya chochote hapana, lakini kwanini Kuna matatizo sugu ambayo wanaweza kuyashughulikia lakini mpaka leo yapo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi, Na sio Nail Armstrong kama watu wanavyosema , Wazungu ni waongo

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj. TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nimesoma IT, natafuta kazi

    Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
  19. I

    JamiiForums Tanzania Propaganda ni Sayansi. Chawa wa CCM mjifunze

    Katika siasa unapofanya propaganda hakikisha hiyo propaganda yako haiwezi kukurudia kinyume nyume na kuwa mwiba kwako. Hivyo proaganda ni lazima zihaririwe vizuri na kuangaliwa katika long term effect yake kwako au kwa wapinzani. Swala la Mbowe kukaa muda mrefu lilianza kama propaganda za ma...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Nigeria ulivyoishangaza sayansi.

    Mnamo mwaka 2010, wanandoa wa Nigeria waliokuwa wakiishi Uingereza, Ben na Angela Ihegboro, walipata mtoto wao wa kike aliyeitwa Nmachi, aliyezaliwa akiwa na nywele za rangi ya dhahabu, macho ya bluu, na ngozi nyeupe, licha ya Ben na Angela wote kuwa na asili ya Nigeria na kutokuwa na historia...
Back
Top Bottom