SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu
Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini?
Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani?
Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki...
Nye si mwapewa mamilioni ili muue maskini wenzenyu wanaotetea haki zao. Mwataka muwe tajili kama Elon Muski. Hehee!
Mwatii amri haramu kumwaga damu za wenzenyu mliambiwa nye hamfi. Mayii! Mwambieni awaongezee posho zaidi ili mtuue zaidi.
Twataka mwaka huu muwe mamilionea. Mle bata kwa pesa...
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na...
Moja kwa moja..
Kumekuwa na hoja miongoni mwa watu kuwa viongozi wa dini wa Kiislamu hawatetei haki wapo nyuma katika yale yanayoendelea nchini au wamepewa posho . Sasa nataka nichambue na tujadiliane wote kistaarabu kutokana na uelewa wangu wa kidini na kiulimwengu kutoka na hoja hizo...
Clip ya video inayosambaa mtandaoni kwa sasa ikimuonyesha Sugu amesimamishwa na watu wasiojulikana DSM katikati ya mji, na kubishana nao mpk sasa haijajuliakana.
Mmoja alishika bunduki.
Umeua maelfu ya Wananchi wako.
Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie.
Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi.
Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
Naandika huku nikiwa na huzuni kubwa kwa Taifa letu kupoteza nguvu kazi kubwa (vijana), inakadiriwa zaidi ya vijana elfu 20+ waliuawa kwenye kile kilichoitwa Uchaguzi.
Itakuwa nikujidanganya kwa kudhani mambo ni shwari kama ilivyokuwa kabla ya hicho kilichoitwa Uchaguzi, ukweli nikwamba Taifa...
Labda mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye hayo mamipira yenu. Labda ni addiction mnayoshindwa kuizuia. Labda wengine mnaona ni sehemu ya "kusahau" kwa muda machungu ya maisha. Sawa tunakubali.
Ila hata kujiorganize na wote kwa pamoja kusimama wakati mpira unaanza na kuimba Wimbo wa Taifa? Hili...
Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa.
Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi...
Watanzania ni kama tunapita kwenye tanuru la moto kutokana na makosa tuliyofanya wenyewe,
Tuliaminishwa rsis Magufuli ni mbaya sana lkn kwenye macho ya wengi alikuwa mkombozi wa wengi sasa ogopa sana ktk maisha umpoteze mkombozibwa wengi kinachofuata huwa ni majuto kwa wengi wito wangu ni...
Tanzania
Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe
Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
1. SONGWE
Oyaa wanangu wa SONGWE nawapa nambari wani, huko Tunduma kilinuka mno,
Ilikuwa usiku wa kuamkia uchafuzi 28 Oktoba nyie mlitutoa usingizini
2. ARUSHA
Macharii wa chuga mlitisha,
Oyaaa sio kinyonge
Mlipinga Kwa vitendo kwamba hamtaki Bashite na Chama cha mavii
Kudos chuga boys
3...
Busara ingetumika na kuchagua maneno ya kutumia hapa. Kuwaita wananchi wanaodai haki zao za msingi ati ni waharifu wakati huo huo wamekuwa wakitekwa na kufanyiwa unyama mbaya sana. Hii si kauli ya kutoka kwa kiongozi mkubwa namna hii.
Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1.
Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha idadi ya...
QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA
_
Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wadogo.
"Bora kurudi kwa mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, Vijana ni pasua...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara.
Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu.
Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote.
Sababu inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.