sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Yazuia Uingizaji wa Starlink Kabla ya Uchaguzi: Huu Ndio Mtindo Mpya Sasa (Umejipangaje)?

    Habari wanaJF, Ni muda nimekuwa kimya humu, lakini kuna jambo muhimu limejitokeza jirani zetu Uganda ambalo lina uhusiano wa moja kwa moja na kile tulichokiona Tanzania wakati wa uchaguzi — hasa kwenye masuala ya intaneti na udhibiti wa mawasiliano. Uganda imetoa zuio la uingizaji wa vifaa vya...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere anatupa taabu sana kuirudisha Tanganyika yetu

    Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano. Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwenzako ananyolewa na sisi tupo mbioni, Leo Venezueza milioni 10 yao sawa shiling 1000

    Ubabe na ujeuri wa rais wao ndio umefikisha taifa hapo. Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota. Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa kutumia pesa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wahitimu Wasiohudhuria Mahafali Wanatozwa hela ya joho mda wa kufuta cheti .je hii ni sawa

    Sio jambo geni wala la kushangaza kwa baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania kukutana na changamoto mbalimbali baada ya kumaliza masomo yao. Kwa kawaida, kumaliza shahada au stashahada ni hatua ya furaha na fahari kwa mhitimu na familia yake. Hata hivyo, baadhi ya vyuo vikuu nchini...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kura 98% za Samia sawa na Watanganyika 32,000,000 waliompigia kura, zageuka shubiri wanamuombea kifo...!!

    Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana... Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!! Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk kile wanachokiita uchaguzi wa 29/10 na ghafla hata mwezi haujaisha haohao mamilioni waliomchagua...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kukubali maandamano kwao ni sawa wamekubali kuachia na kukubali ukweli na makosa

    Maandamano ni haki ya kikatika ila sasa kwa mikono yao iliyoshika damu na utamu wa madaraka unaweza kufikiri waka kubari. Maandamano haya yanataka waachie nchi.Ndio maana wamejiandaa kwa propaganda,mauwaji,utekaji. Hakuna mwanaCCM na fisadi wanaweza kukubari wabwage manyanga. Bila damu D9...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dola la Kushi lipo njiani. Afrika yote itapiga mguu sawa

    Salaam! Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu. Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana. Move background ni kuanzisha Dola ya Kushi. Kushi Empire, hii yaja na mabadiliko ya viongozi Afrika nzima. Kiongozi wa mpango...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuwataka wateja wake kununua "flash" kwaajili ya hukumu ni sawa??

    Kumekuwa na tabia ya mahakimu na makarani wa mahakama za Tanzania kuwataka wateja wao kununua flash au kutoa anwani za barua pepe zao ili kuwatumia hukumu zao. Hivi jamani 80% ya watanzania waishio vijijini wanauelewa na hivi vitu wanavyokaa tu viongozi wa mahakama na kupanga kwa maamuzi yao...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya

    Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya. Huku ndipo tunapoelekea.
  11. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Desemba twapanda ngazi ya pili. Mje mtuue tena sawa nye immortal

    Hehee! Mwajiona mashujaa kuua watu wasio na silaha hee! Mabingwa hao wa kuua ndugu zetu. Walahi msifikiri waliwaogopa wakipata silaha mtajua hamjui. Mwajiuliza watapata wapi sio. Heee! Viwanda viko peponi sio. Hehee! Mlianza wenyewe. Desemba haichekeshi. Hizo silaha mwaziamini mtageuziana. Niko...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Kiislamu kwenye ndoa ni kuwa na wake wanne na awatendee haki sawa na siyo Amani!

    Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini? Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani? Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki...
  13. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Polisi tunajua nyie hamfi mnapewa pesa kuua maskini wenzenu. Tunakuja tena mtuue sawa

    Nye si mwapewa mamilioni ili muue maskini wenzenyu wanaotetea haki zao. Mwataka muwe tajili kama Elon Muski. Hehee! Mwatii amri haramu kumwaga damu za wenzenyu mliambiwa nye hamfi. Mayii! Mwambieni awaongezee posho zaidi ili mtuue zaidi. Twataka mwaka huu muwe mamilionea. Mle bata kwa pesa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu atoa idadi ya Vitu na miundombinu iliyoharibiwa katika vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na...
  15. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchambuzi: Je, MaSheikh wapo sawa kutounga mkono maandamano kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu?

    Moja kwa moja.. Kumekuwa na hoja miongoni mwa watu kuwa viongozi wa dini wa Kiislamu hawatetei haki wapo nyuma katika yale yanayoendelea nchini au wamepewa posho . Sasa nataka nichambue na tujadiliane wote kistaarabu kutokana na uelewa wangu wa kidini na kiulimwengu kutoka na hoja hizo...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa

    Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Anayedhaniwa kuwa Sugu asimamishwa na wasiojulikana leo, haijulikana kama yupo sawa au la

    Clip ya video inayosambaa mtandaoni kwa sasa ikimuonyesha Sugu amesimamishwa na watu wasiojulikana DSM katikati ya mji, na kubishana nao mpk sasa haijajuliakana. Mmoja alishika bunduki.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Watanganyika i.e vyombo vya usalàma vyote, vyote, mnaomlinda Mzanzibari anauza Tanganyika , jitafakari upya. Kwa nia njema tu kuweka mizania sawa.

    Tujitafakari sana wote, wote Watanganyika kwa nia njema tu na si kwa uhasama au mawazo hasi bali kuwekà mizania sawa
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
  20. Mr Kipara

    JamiiForums Tanzania Baada ya October 29 tusitarajie Nchi kuwa Sawa tena.

    Naandika huku nikiwa na huzuni kubwa kwa Taifa letu kupoteza nguvu kazi kubwa (vijana), inakadiriwa zaidi ya vijana elfu 20+ waliuawa kwenye kile kilichoitwa Uchaguzi. Itakuwa nikujidanganya kwa kudhani mambo ni shwari kama ilivyokuwa kabla ya hicho kilichoitwa Uchaguzi, ukweli nikwamba Taifa...
Back
Top Bottom