sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Issue ya haki sawa kwa jinsia zote sidhani kama itawahi kufikiwa

    Wadau habari, Dah! Nimekaa mahali Leo nikatafakari kitu kwa miaka sasa Elimu umekuwa ikitolewa haki sawa kwa mwanaume na mwanamke lakini je hili lipo kweli kwenye Jamii zetu? Je wanaume tunakubaliana na hili? Leo hii tukichukulia aspect ya ndoa mwanamke akitoka hadharani(on public) na kulia...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sawa Mungu akatuchoma moto wa Milele. Je ninyi watakatifu mtakao Baki mtakuwa na furaha Gani wapendwa wenu wakiwa wanachomwa moto wa Milele??

    Mods Uzi huu uachwe ujitegemee tafadhari.🫷 Awali ya yote Mimi mpango wa kwenda mbinguni ni kama haupo maana kila nikipiga tathimini Bado najiona Sina sifa hizo Kwanza Zaka sitoi,sadaka nishakataa kuipeleka kanisani. Ukija namna ya kuishi napo Bado na pwaya maana uko zako unawaza kuchuma...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: kesi ina siku zaidi ya 307 lakini imesikilizwa tu siku 14 kati ya siku hizo zote kuna kitu hakiko sawa

    Tundu Lissu: kesi ina siku zaidi ya 307 lakini imesikilizwa tu siku 14 kati ya siku hizo zote kuna kitu hakiko sawa.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Kampuni ya ulinzi ya G4S uangalie maslahi ya Wafanyakazi kuna mambo hayapo sawa

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi. Tumewekewa chini ya 480k na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukuswanywaji huu wa Taarifa Binafsi kwa wakazi wa Masaki si sawa. Sensa ilikuwa ya nini?

    Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa. Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Chuki juu ya mtu ni sawa na kuchukua sumu na kuiweka mdomoni mwako kisha unasubiri imuue mtu unayemchukia. Utakufa mwenyewe

    Hii ni tahadhari kwa watu wenye roho mbaya, roho za kichawi. Iwe unamchukia mtu kwakuwa alikutendea jambo baya, au alimtendea mtu mwingine jambo baya au umeamua tu kumchukia kwasababu za kisiasa au unamchukia mtu kwasababu ya ujinga uliokukandamiza. Yaani haupaswi kumchukia mtu. Nyie...
  7. kingzeddy

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

    Habari wanajamii, Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara, lakini cha kushangaza zaidi ni kwamba dada wa kazi humkaribisha mume chakula. Je, hili linaashiria nini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni sawa mtu kujitapa hadharani vitu alivyonavyo ambavyo wegine hawana ni kwa sababu yeye kabarikiwa ?

    Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana watoto, n.k. hawa wamerukwa kwenye kubarikiwa ?
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Vipi unahudhuriaga vikao au watakalopanga kwako ni sawa tu

    Kusema ukweli mm sipendi kuhudhuria vikao ila watakalopanga kwangu ni Hilo naruka nalo tu.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tume Bandia Ya Kuchunguza Mauaji ya Octoba Ni Sawa na Wauaji Walivyozima Internet

    SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi. Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Manowari USS Abraham Lincoln Yajiweka Sawa Kuushambulia Utawala wa Kigaidi wa Ayatollah.

    https://www.instagram.com/p/DT1qUyRjYLd/?igsh=a3B6dmEwaXRoaDJ5
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Aise nimeumia,hata la OFISI za UMMA kuamia Dodoma? Sawa mama yupo zenji yeye SI ni Rais?

    Mmeyabana ga mengi ya Rais Magufuli na Nyerere hata la kuamia Dodoma nalo pia?
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri zetu kugawa namba za Watumishi kwa Micro-finances sio sawa

    Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo. Maswali ya kujiuliza ni: Je, taarifa za watumishi hawa haswa mawasiliano yao zipo salama? Lakini kama hawa watu wanaweza kujua hadi...
  15. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kama USD 1, ni sawa na 1,065,000.00 Iranian Rial , vipi nikinunua IRR 53,250,000.00 kwa USD50 tu kisha nikazihifadhi?

    Sina uzoefu sana na forex lakini naomba niulize wataalamu wa Jf Kama Kwasasa nikiwa na USD 1 naweza nunua 1,065,000.00 IRR. Hivyo nikiwa na laki moja tu ya kitanzania hio ni sawa na kama 50M ya Iran. Na ongezeko hili limetokea mapema tangu maandamano yaanze kwahio kama maandamano yakiisha...
  16. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Sylabus ilikuwa sawa na kwao ulaya, communists wametudanganya sana, yani!

    Kama ni kweli ''wakoloni '' walikuwa ni wabaya kiihivyo kama communists walivyotuminisha, how is that elimu ambayo ilitolewa kwetu ndiyo ile ile iliyotolewa ulaya kwao wazungu waliotutawala? i mean, tulikuwa tunafanya mtihani mmoja cambridge same sylabus, kwa maana nyingine high school graduate...
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Huyu binti maisha yake hayatakuwa sawa tena

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu Mkuu Ruwaichi na Padre Kitima, waliotoa kauli nzito kupinga mauaji ya tarehe 29 na hali ya...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa anachofanya Trump kwa sasa, tumepata Hitler wa kizazi hiki

    Marekani, taifa lililojengekwa kwa ujambazi na utumwa, limerudia asili yake. Leo, limechukua mafuta ya Venezuela. Kesho, hatujui litachukua madini ya nani. Kesho kutwa, hatujui litawachukua watu gani kuwafanya watumwa. Mtondo, hatujui litakuja na mpya gani. Mtondogoo, hatujui, litaanzisha...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Panga pangua ya baraza la mawaziri ni ushahidi kuwa serikalini mambo si sawa

    Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri. Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua. Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa. Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama. Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama. Ukisifia, hauko...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makame: Ikionekana Rais abakishiwe mamlaka yake ni sawa, wakisema yapunguzwe sawa, na hata wakisema aongezewe kwangu ni sawa

    “Ikionekana Rais abakishiwe Mamlaka aliyonayo kwangu ni sawa, wakisema apunguziwe kwangu ni sawa, na hata wakisema aongezewe zaidi kwangu ni sawa tu” Dr. Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kupitia cha Mapinduzi CCM.
Back
Top Bottom