saratani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa ni majitaka yenye Zebaki (Mercury)kutoka migodini siyo maji ya maiti!

    Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform. Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
  2. gimmy's

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji ya kuoshea maiti yanayo lalamikiwa kutumika kuhifadhia samaki yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, Serikali imulike huko

    Salaam, Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa? Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa 600 wa Saratani ya kinywa kwa mwaka

    Mratibu wa Afya ya Kinywa na Meno Taifa kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kwa mwaka 2021, takriban wagonjwa 600 waligundulika kuwa na saratani za kinywa na meno. Dk. Nzobo alibainisha hali hiyo Septemba 7, 2022, Mkoani Dar es Salaam katika mahojiano na Nipashe wakati wa Kongamano...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Zungumza nami juu ya Saratani ya Mitoki- Hodgkin's Lymphoma

    Daima saratani hutishia inapokuja kugonga, lakini hivyo hasa wakati mlango ambao unagongwa hodi ni wa nyumba yako. Huzuni kubwa, ingawa tiba-mionzi ni bora sana katika kuharibu kansa seli yoyote zinazo wezekana kubakia, pia hutokea kuua seli za afya katika makundi pia ·Kama jambo la kweli, watu...
  5. phina98

    JamiiForums Tanzania Gharama za operation ya saratani ya matiti Hospitali ya Ocean Road

    Habari za leo wapendwa, naomba msaada kwa anqejua garama za operation ya saratan ya matiti kwa pale ocean road nina ndugu yangu anaumwa hilo tatizo. Natanguliza shukrani 🙏🏻
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vifo vya saratani vinasababishwa na tabia za kimaisha

    Utafiti mpya umehitimisha kwamba maradhi ya saratani yanaweza kuzuilika kwa kudhibiti visababishi vya maradhi hayo kama matumizi ya tumbaku na pombe pamoja na uzito mkubwa wa mwili. Utafiti huu ni kulingana na jarida la tiba la nchini Uingereza la Lancet. Utafiti huo umeongeza kuwa asilimia...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msanii maarufu wa Rwanda, Yvan Buravan afariki Dunia kwa saratani

    Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho. Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu. Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya...
  8. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuongezeka kwa saratani ya matiti kutokana na mambo ya mazingira na mtindo wa maisha

    Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao seli kwenye matiti hukua bila kudhibitiwa na huweza kutengeneza uvimbe. Saratani ya matiti inaweza kusababishwa na mchanganyiko wa vinasaba, mazingira, homoni na mtindo wa maisha kwa wanawake. Kuna aina tofauti za saratani ya matiti, kwa kuwa wanawake wengi...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Johnson & Johnson kuacha kuuza Poda ya Watoto kwa Madai ya Kusababisha Saratani

    Kampuni hiyo ya Afrika Kusini imetangaza kuacha kuuza poda yake ya watoto yenye kemikali ya #talc duniani kote ifikapo Mwaka 2023, kutokana na hofu ya usalama wa watumiaji Mnamo 2020, J&J ilitangaza kuwa itaacha kuuza talc Baby Poda katika nchi za Marekani na Canada kutokana na kile ilichokiita...
  10. Willima

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya bangi na hatari ya saratani ya mapafu

    Bangi ni mmea ambao unaotumika kama dawa na burudani, hali ya kisheria ya matumizi ya bangi kimatibabu na matumizi ya burudani yanatofautiana kati ya majimbo. Watu wanaofikiria kununua au kutumia bangi wanapaswa kuangalia kwanza ikiwa ni halali katika jimbo lao. Watu wengi hutumia majani...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je, Saratani ya damu (multiple myeloma) inaweza kupona?

    Naombeni kufahamu kama kuna tiba yeyote inayoweza kumponya mtu mwenye hii saratani ya damu kitaalamu wanaita multiple myeloma au plasma cancer!
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kipimo kidogo cha damu kutumika kupima Saratani ya matiti

    Wataalam wa Afya wamebaini kuwa kuna uwezekano wa kufanya vipimo vya Saratani ya Matiti kwa kutumia kipimo cha kawaida cha damu tofauti na kutumia kifaa maalum cha kupiga picha hasa wana wanawake wenye umri mdogo. Daktari wa upasuaji wa saratani ya matiti Profesa Kefah Mokbel wa Uingereza...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Pwani, Kanda ya Ziwa kuwa na Wagonjwa Wengi Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Takwimu za Dunia za mwaka 2018 za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha Wanawake zaidi ya 570,000 waligundulika kuwa na Saratani ya Shingo ya Kizazi, Kwa mujibu wa tovuti ya cancer.net ni kuwa kwa mwaka 2020 kulikuwa na Wanawake 604,127 ambayo walikuwa wameathiriwa na ugonjwa huo. Kwa...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Dawa ya majaribio yaleta ahueni kwa wagonjwa wa Saratani

    Kwa mujibu wa Utafiti uliochapishwa katika Jarida la "The New England Journal of Medicine", Wagonjwa 12 waliotumia Dawa ya Majaribio ya Dostarlimab kwa kipindi cha miezi 6 walionekana kupata nafuu. Jaribio hilo dogo limefanyika Nchini Marekani Kwa mujibu wa Dkt. Luis Diaz, hii ni mara ya kwanza...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse session ya JamiiForums Mei 26, 2022: Elimu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto

    Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania? Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni Kushiriki...
  16. Biz TV

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti dawa

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti Dawa. "Nimewapa maelekezo NIMR, Nataka kuona Mashamba ya miti Dawa nchi nzima, kwa kuangalia upatikanaji wa hizo dawa. Kwasababu hizi dawa zimetusaidia na zimetutibu" Alisema Waziri Ummy. Aidha Waziri Ummy...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Tatizo la Magonjwa yasiyoambukiza linaongezeka

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema katika kipindi cha Julai 2021 - Machi 2022, kumekuwa na ongezeko la watu wanaolazwa kutokana na Magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo Kisukari, Shinikizo la Damu na Saratani Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka 2022/23 Bungeni, ametoa Wito kwa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ngono ya kinywa inaweza ambukiza Saratani ya Koo

    Human Papilloma Virus (HPV) ndicho kirusi ambacho inaaminika kinatajwa kuwa kinasababisha Saratani ya Kizazi, ambayo kwa asilimia kubwa inawaathiri wanawake. Pamoja na hivyo wanaume na wanawake wote wanaweza kuathirika na kirusi hicho kwa kupata saratani ya koo ikiwa watashiriki ngono ya kinywa...
  19. MacDking

    JamiiForums Tanzania Siri ya dawa ya saratani/ kansa (cancer) na vyakula kwenye tiba

    CHEMOTHERAPY NA TIBA YA MIONZI MATOKEO DALILI Kukosa hamu ya kula, kutapika, kuharisha, upungufu wa damu, kupoteza nywele, wasiwasi ,kukosa usingizi, maumivu, uchovu, vidonda mdomoni, yeast infection, unyogovu. SABABU Zilizotajwa hapo juu ni baadhi ya dalili za matibabu ya saratani ya sasa...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Aga Khan kujenga kituo cha Saratani kwa Billioni 13.8 jijini Dar es Salaam

    HOSPITALI ya Aga Khan, Dar es Salaam, imezindua rasmi ujenzi wa Kituo chake cha kisasa cha Tiba ya Saratani kitakachonufaisha hadi watu milioni 1.7 katika mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza. Kituo hicho kitakachojengwa katika hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, kitapokea hadi wagonjwa 125...
Back
Top Bottom