saratani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Zifahamu dalili na sababu za Saratani ya utumbo mpana

    Saratani ya utumbo mpana ni aina mojawapo ya saratani ambayo inaathiri utumbo mpana na eneo la mwisho la utumbo mpana linaloitwa rectum. Mwanzo wa saratani ya utumbo mpana ni vimbe ndogondogo zisizo saratani ambazo taratibu huanza kujitengeneza kwenye utumbo na baadaye kuanza kugeuka kuwa seli...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hospital ya Muhimbili kuanza kufanya upandikizaji kwa wenye Saratani ya Damu

    SERIKALI imesema Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), itaanza kupandikiza chembechembe hai kwa wagonjwa wa saratani ya damu kuanzia Machi mwaka huu.  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, alitangaza neema hiyo jana alipozuru katika hospitali hiyo...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Matumizi holela ya vidonge vya uzazi wa mpango vyaongeza Saratani ya matiti kwa mabinti

    Ongezeko la saratani kwa wasichana latisha TAASISI ya Saratani Ocean Road (ORCI), imebainisha kuwapo ongezeko la saratani ya matiti kwa wasichana nchini, kunakochagizwa na matumizi holela ya vidonge vya uzazi wa mpango. Imesema wasichana wenye umri kuanzia miaka 25 ndio kundi lililothibitika...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gatuzi/kaunti ya Murang'a yaanza ujenzi wa hospitali kubwa ukanda huu kwa ajili ya saratani - maendeleo kote Kenya, nje ya Nairobi

    Kila siku tunalisema hili, miji yote Kenya inapiga hatua za kimaendeleo utadhani wameingiwa na ukichaa fulani, yaani Nairobi inapigwa ushindani mkali sana. Construction of a specialized cancer and research hospital has kicked off in Murang’a County. The facility, estimated to be constructed...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Yafahamu maradhi yanayoshambulia Ini na dalili zake

    Yajuwe maradhi ya ini na dalili zake JE! UNAJUWA KUWA:- Ini ni katika viungo muhimu sana katika mmeng'enyo wa chakula mwilini. Ini husaidia kuondosha sumu za vyakula na katika utunzaji wa glucose ambayo hutumika katika kutupatia nguvu na nishati. Kiungo hiki kinaweza kushambuliwa na maradhi...
  6. Louis II

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dada yangu anaangamia kwa ugonjwa Saratani ya Ini, damu na titi

    Ndugu zangu, Nipo/ tupo katika kipindi kigumu sana kama familia, dada yetu aligundulika kuwa saratani ya Ini, damu na titi. Vyote hivyo vipo katika stage ya mwisho na mbaya sana na Madaktari wametupasha kuwa hakuna kitu wataweza kufanya kunusuru uhai wa ndugu yetu. Mioyo imejawa na simanzi...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Siku ya Saratani Duniani: Saratani ni Ugonjwa wa Pili kwa kuua Duniani huku asimilia 25 ya vifo vya Saratani husababishwa na Tumbaku

    Saratani ni kundi la Magonjwa yanayoweza kuanza takriban kwenye kila Kiungo cha mwili, seli zinapokua kuliko kawaida bila kudhibitiwa. Ukuaji huo unaweza kuvamia viungo vingine vya mwili vilivyo pembeni na kilichoathirika Hadi mwaka 2018, Saratani ni ugonjwa wa pili kwa kusababisha vifo...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Dawa ya saratani imepatikana, bado kujaribiwa tu

    Ugunduzi wa mfumo mpya wa kinga unaweza kutumika kutibu aina zote za saratani, wanasema wanasayansi. Kundi hilo kutoka chuo kikuu cha Cardiff liligundua mtindo wa kutibu saratani ya tezi dume, ile ya matiti ya mapafu na aina nyingine za saratani katika vipimo vya maabara. Matokeo yake...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR): Asilimia 70 ya Saratani yabainika kwa Wanawake

    Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imesema mzigo wa magonjwa ya saratani upo kwa wanawake kwa asilimia 70. Pia imesema hakuna takwimu za kuthibitisha Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya saratani nchini. Hayo yalielezwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Prof...
Back
Top Bottom