saratani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kasalali Mageni: Nchi hii haiwezi kula Ripoti ya kupikwa. Tume iliyokwenda Mto Mara ichunguwe

    Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake" Mbunge huyo wa Sumve amesema "Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ukeni, hatarini kupata saratani ya shingo ya kizazi

    Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya shingo ya kizazi ambayo ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi nchini. Amezungumza hayo Mtaalamu na Mshauri...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili waunda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto

    "Hospital ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Shirika la Tumaini la Maisha inaratibu upatikanaji wa dawa na kuzifikisha kwenye hospitali zinazounda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto," hayo yamesemwa na Dkt. Rehema Laiti, Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kwa Watoto Muhimbili. Anaendelea...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Clubhouse session ya Jamiiforums 15/02/2022: Safari ya matibabu kwa Mtoto mwenye Saratani

    Jamii Forums kwa kushirikiana na MUHAS, MNH, TLM wameandaa Mjadala utakaofanyika kupitia Clubhouse ya JamiiForums ili kuongeza uelewa juu ya Saratani kwa Watoto Nchini Tanzania. Kujua zaidi soma: Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto? Mjadala huu unatarajiwa kufanyika leo...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Saratani kwa Watoto: Takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani kila mwaka

    Kila mwaka, inakadiriwa takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani. Miongoni mwa Saratani zinazowaathiri zaidi ni pamoja na Leukimia na Saratani ya Ubongo Katika Nchi zilizoendelea ambapo Huduma zinapatikana kwa kiasi kikubwa, zaidi ya 80% ya Watoto wenye...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Watu 76 kati ya 100,000 hugundulika kuwa na saratani. 68% wamefariki 2021

    Kwa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Tafiti za Saratani (IARC) za 2018, zinaonyesha kuwa tatizo la saratani nchini Tanzania limekuwa likiongezeka siku hadi siku ambapo inakadiriwa kuwa katika kila watu100,000, watu 76 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani. Kwa hiyo nchi yetu...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wengi wa Saratani Tanzania ni wa Tezi Dume, koo

    Taarifa za mwaka 2021 kutoka kanzi data ya wagonjwa iliopo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaonesha kuwa Saratani zinazoathiri wanaume zaidi ni: Saratani ya tezi dume“Prostate cancer” (21%), Saratani ya Koo (Esophageal Cancer) (11.8%),Saratani ya utumbo mkubwa na mdogo (9%) na Saratani ya...
  9. OLS

    JamiiForums Tanzania Saratani ni tishio, bado bei ya tumbaku ni kubwa kuliko pamba, chai na katani

    Wizara ya Afya imetaja matumizi ya tumbaku kama moja ya sababu ya watu kupata saratani. Hata hivyo bei ya zao la tumbaku ni kubwa kuliko mazao mengine ya biashara katika soko la dunia Kwa takwimu za kuanzaia Januari 2015 hadi Septemba 2021, wastani wa bei ya tumbaku ni Dola 4.7 kwa Kilogram...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Februari 4: Siku ya Saratani Duniani (World Cancer Day)

    Siku ya Saratani huadhimishwa kila Februari 4. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mwaka 2021, takriban watu Milioni 20 walibainika kuwa na Saratani na wapatao Milioni 10 walipoteza maisha Wataalamu wa WHO wanasema idadi hiyo itaendelea kuongezeka miaka inavyozidi kwenda, japokuwa...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Gongo yatajwa kusababisha saratani ya tumbo

    Utafiti mpya uliofanywa na wanasayansi wa shirika la kimataifa la utafiti wa saratani, IARC na wale kutoka Kenya, Tanzania na Malawi umebaini pombe kuwa kinywaji hatarishi na kichocheo cha saratani ya tumbo, ESCC, hususan miongoni mwa wanaume. Ukiwa umechapishwa katika jarida la kitabibu ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 ni salama kwa wagonjwa wa Saratani

    Je, hupaswi kupata chanjo ya COVID-19 ikiwa kwa sasa unapokea matibabu ya saratani? Jibu: Baada ya kukagua kwa uangalifu chanjo hizi, wataalam wa matibabu wa MD Anderson katika Chuo Kikuu cha Texas wameamua kuwa chanjo za COVID-19 ni salama na zinapendekezwa kwa wagonjwa wa saratani. Wataalam...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia asisitiza Tafiti kubaini chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Waathirika wa Saratani, ikielezwa Wanawake ni wahanga wakubwa wakikumbwa na Saratani za Kizazi na Matiti Ameeleza hayo leo Novemba 18, 2021 Mkoani Mwanza wakati...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Urefu wako unakuweka katika hatari ya kupata saratani, ufupi wako unakuweka katika hatari ya kupata kisukari

    Kuna mabadiliko makubwa ya urefu wa watu duniani leo ukilinganisha na enzi za mababu zetu, kwa sasa wastani wa urefu wa watu umeongezeka kulinganisha na miaka 1,00 iliyopita na moja ya mambo yaliyochangia hilo ni kuboreka kwa maisha ya watu katika maeneo mengi duniani. Watu leo ni warefu zaidi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika mjadala wa huduma na changamoto za Saratani ya Watoto katika club house ya JamiiForums

    KUSHIRIKI MJADALA HUU TAFADHALI GUSA LINK HII HAPA CHINI https://www.clubhouse.com/event/xlyWAOzz Mjadala huu unamulika huduma ya saratani kwa watoto pamoja na changamoto mbalimbali. Baadhi ya mambo muhimu yaliyozungumziwa na wataalamu. Dkt. Shakilu: Saratani kwa Watoto haina tofauti kama...
  16. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mitindo ya Maisha na Saratani

    Saratani ya matiti hutokea zaidi kwa wanawake, ingawa WANAUME pia wanaweza kuipata. Watu wengi hawafahamu kama wanaume pia wanayo matiti hivyo wanaweza kupata saratani ya matiti (American Cancer Society, 2020). Andiko hili litaeleza zaidi kuhusu SARATANI YA MATITI; ni nini, mitindo gani ya...
  17. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kila mtoto mwenye saratani anastahili fursa ya tiba

    Ilikuwa joto na kelele Ijumaa alasiri huko Mwanza Mjini, biashara kama kawaida katika Duka la Vifaa linalomilikiwa na Mzee Kitalu, anayejulikana pia kama Baba Jafari, ambaye alikuwa kwenye mazungumzo ambayo hakuona kumletea faida. “Baba Jafari, bei ni kubwa mno. Hizi ndizo pesa pekee tulizo...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM yashiriki kusambaza tabasamu kwa watoto wenye saratani nchini

    CCM YASHIRIKI KUSAMBAZA TABASAM KWA WATOTO WENYE SARATANI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Godfrey Chongolo leo tarehe 15 Agosti, 2021 ameshiriki matembezi ya Km 5 yalioandaliwa na Benki ya CRDB yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia matibabu kwa watoto...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuchunguzwa kansa na magonjwa ya figo?

    Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini na Koo na pia nifanye kipimo Cha magonjwa ya Figo. Je, hiyo check-up ya mwili hufanywa kwa vipimo...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Simu za rununu huongeza hatari ya kupata Saratani hasa kwa Watoto na Vijana Duniani

    Imeripotiwa kuwa mawimbi ya umeme yanaweza kuongeza hatari ya saratani, haswa kwa watoto na vijana. Kila mwaka, zaidi ya watoto 400,000 na vijana chini ya umri wa miaka 20 hugunduliwa na saratani ulimwenguni. Kiwango cha kuishi kwa watoto walio na saratani kinashuka kutoka karibu asilimia 80...
Back
Top Bottom