saratani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Saratani watakiwa kujikita katika tafiti

    Madaktari bingwa wa Saratani watakiwa kutoa mapendekezo na mikakati ya namna bora ya Wagonjwa kuzifikia huduma sambamba na kupunguza rufaa zinazo epukika kwenda nje ya Nchi kupata matibabu. Pia ametakiwa Wataamu wa Saratani kujikita katika kufanya tafiti za kisayansi zitazowezesha nchi kuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yatoa mafunzo ya matibabu ya Teknolojia ya Nyuklia

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Nguvu za Atomic, International Atomic Energy Agency (IAEA), imetoa mafunzo ya matibabu ya Teknolojia ya Nyuklia kwa wataalamu 18 kutoka mataifa 15 ya Afrika. Mafunzo hayo yamezinduliwa Septemba 4, 2023 katika...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

    WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi. Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi...
  4. JamiiForums Tanzania WHO: Watoto 350,000 wanakutwa na Saratani kila mwaka katika Nchi Masikini, 30% hawapati Matibabu

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu. Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Saratani ya mlango wa kizazi

    Saratani ya mlango wa kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au seli zilizoko katika shingo ya kizazi. Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile. Asilimia 99 ya saratani ya shingo ya kizazi...
  6. JamiiForums Tanzania WHO: Soda, nyama na pipi vyanzo vikuu vya saratani

    WHO: Soda na pipi zinaviambata vinavyosababisha kansa, hapa wanapigania na DK mpango aliyesema ni kutumia madawa ya kutunzia maiti. Report ya shirika la afya duniani limetaja sababu kuu za kupata kansa ni kula nyama nyekundu, kunywa soda, kumung'unya pipi, na kazi za usiku mara kwa Mara USSR
  7. JamiiForums Tanzania MOI yaendesha Mafunzo ya Kimataifa ya Saratani ya Mifupa na Misuli, Madaktari 200 wanashiriki

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imezindua mafunzo ya kimataifa ya matibabu ya Saratani ya Mifupa na Misuli yanayofanyika kwa siku tatu ambapo zaidi ya madaktari 200 kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza, Australia, Malaysia wanashiriki. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Lemeri...
  8. JamiiForums Tanzania Asilimia 75 ya Wanawake wanaofanya Uchunguzi wa Saratani Ocean Road wanakutwa na Ugonjwa

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kinga wa Taasisi ya ORCI, Dkt. Crisprin Kahesa ambaye amesema, Watanzania wengi wanaogopa na hawapo tayari kupokea majibu ya vipimo vya Saratani jambo ambalo ni hatari - Amesema Wanawake wanaofika katika Taasisi hiyo hufanya uchunguzi wa Saratani ya Matiti...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimewahi kukuhuzunisha sana?

    Kwenye picha chini ni mvulana wa miaka 10 kutoka Ghana aliyekufa kwa Saratani. Wazazi wake hawakuwa na pesa ya matibabu hivyo alikaa nyumbani hadi hali yake ilipokua mbaya zaidi, na kubaki na siku chache za kuishi. Akiwa hospitalini, aliomba hsopitali imsaidie kutimiza ndoto yake ya kupanda...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Taasisi ya Ocean Road wafanya vipimo vya Saratani bure Mkoani Mara, Wababa waongoza kujitokeza

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imeendelea na kampeni ya kutoa elimu, vipimo na matibabu ya Saratani katika mikoa mbalimbali Nchini Tanzania, ambapo safari hii timu yao imefika Mkoani Mara. Wataalamu wabobezi wa Saratani ya Ocean Road wamewasili Mara tangu Jumatatu ya Juni 12, 2023 na...
  12. JamiiForums Tanzania 75% ya Wagonjwa wa Saratani wanaofika Hospitali kwa ajili ya matibabu wanakuwa wamechelewa

    Katika kuwafanya Wananchi wengi kuwa na ufahamu kuhusu Ugonjwa wa Saratani na kuwapa elimu jinsi ya kukabiliana na changamoto hiyo ya kiafya, Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaendelea na mchakato wa kutembelea mikoa tofauti kutoa elimu na mafunzo kuhusu ugonjwa huo. Meneja wa Kitengo cha...
  13. JamiiForums Tanzania Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

    Hadithi fupi! SITOSAHAU ALICHONIFANYA DAKTARI WA SARATANI YA MATITI SEHEMU YA KWANZA Muwasho na maumivu vilizidi katika maziwa yangu siku hadi siku, nilivumilia nikajikuta nashindwa ndipo nikaomba ushauri kwa wanawake wenzangu "Shoga nawashwa na matiti sana kipindi kirefu" nilimtumia ujumbe...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Namna majani ya mstafeli au stafeli linavoweza kutibu saratani

    Stafeli (soursop), pia inajulikana kama Graviola, ni tunda ambalo asili yake ni Amerika Kusini na Kati. Mti wa mstafeli hutoa tunda kubwa la kijani kibichi na lenye mvuto. Tunda hilo linajulikana kwa ladha yake tamu na nyororo, ambayo inafanya kuwa kiungo maarufu katika vinywaji hususani...
  15. JamiiForums Tanzania NADHARIA Wanawake wanaoficha simu zao kwenye matiti, wako na hatari ya kupata saratani ya matiti

    Hoja hii iko vipi kisayansi? Wanawake wanaobana simu zao katikati ya brazia na matiti, ni kweli kuwa wako katika hatari ya kuivaa saratani ya ziwa?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Iundwe tume kufatilia urasimu uliopo Muhimbili unaopelekea wagonjwa hasa wenye magonjwa dume kukosa haki ya kuendelea na matibabu

    Nianze kwa kuhoji; Hivi mmegundua kwanini ktk maeneo ya taasisi za Umma kuna katazo "HURUHUSIWI KUPIGA PICHA". Na mnaweza kujiuliza kuna uhusiano gani, wateule wanapokula kiapo cha uamijifu husema "Sitotoa nje siri za Serikali." Serikali ni sisi wananchi kwa kuwa tumeiweka madarakani. Bila...
  17. JamiiForums Tanzania NPS: Malaria, Shinikizo la Damu, Uzazi, Saratani na Kisukari Magonjwa yanayoongoza kutesa zaidi Watanzania

    Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani? Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu mama alinitoa machozi

    Last week kuna sehemu nilitembelea vijijini nilicho kutana nacho kilinitoa machozi. Duniani kuna watu wanateseka saana. Nilikutana na mama mmoja mjane ambaye anaishi peke yake anaumwa ugonjwa wa kansa. Nilivyoongea naye akanipa maelezo jinsi alivyopata tatizo ilo ambalo lilianza kama kaupele...
  19. JamiiForums Tanzania Dalili za awali za Saratani ya Ubongo

    Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema: Dalili za awali za Saratani ya Ubongo ni kichwa kuumwa, mtu anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu, akimeza dawa haisaidii, kuna mauda anajisikia kutapika Anaweza kuona mkono au mguu unaishiwa nguvu kama vile...
  20. JamiiForums Tanzania Uwezo mdogo kwa Wauguzi kugundua Saratani ndio chanzo cha kushindikana Matibabu

    Uwezo mdogo wa wauguzi kutambua mapema ugonjwa wa saratani kwa watoto umetajwa kuwa changamoto mojawapo inayotatiza matibabu ya ugonjwa huo. Katika kutatua changamoto hiyo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) ikishirikiana na Taasisi ya Global Hope ya nchini Marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…