Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba.
Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja ya huyo aliyewaita mashabiki wa simba mbumbumbu hata hata nikipewa mil 5 za mamamara nne Kama...
Sanamu kubwa kuliko yote duniani ni lile la Yesu amani imshukie ambalo lipo juu ya mlima Corcovado pembezoni mwa jiji la Rio de janairo nchini Brazil.
Sanamu hilo limo ndani ya mbuga ya Tijuca na ni ubunifu wa kanisa katoliki la nchini humu.Lina ukubwa wa karibu futi 100 kwenda juu.Likiwa juu...
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.
Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.
Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.
Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
JF
Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa.
Najiuliza kwa sauti kubwa sana
1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much?
2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu...
Muktasari:
Balozi wa utalii ataka Rais Samia atengenezewe sanamu kama kumbukumbu ya kuwa Rais mwanamke wa kwanza na aliyejitoa kwa dhati kuipambania sekta hiyo kwa kushiriki kutangaza utalii wa nchi.
Dar es Salaam. Wakati sekta ya utalii ikiendelea kuimarika na kuvutia idadi kubwa ya watalii...
Mmiliki wa Mabasi ya Zacharia, Peter Zacharia anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwapiga risasi maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa wakiwa katika kutimiza majukumu yao.
Habari zaidi nitaweka hapa.
----
Tarime/Musoma. Taarifa za kutoweka kwa Mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM...
Naandika haya nikijinasibu kutokuegemea kwenye dini yeyote au zozote zilizo katika dunia yetu hii pendwa ndogo sana inayoitwa Earth.Nimesema dunia yetu ni ndogo sana maana ni kama punje tu dhidi ya sayari zingine zilizo angani kama Jupiter.Dunia ni kama punje ya mtama dhidi ya mpira wa basket...
Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.
Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
Sanamu linapatikana Nchini Senegal lenye urefu wa Mita 49 ilitengenezwa Korea Kaskazini. Linajulikana kama ‘The African Renaissance’ ambapo lilizinduliwa Aprili 2010 na aliyekuwa Rais kwa wakati huo, Abdoulaye Wade
Sanamu hii kubwa ya shaba iliyopo Dakar ilikusudiwa kuashiria ushindi wa...
Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko.
Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikuwa amejiandaa kwamba liwalo na liwe.
Alikuwa ameamua kutoa yake ya moyoni.
Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
Ufunuo 13:2 BHN
Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu
DANIELI 7
Wanyama wanne wakubwa
1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu.
Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana.
Hii imekaaje kitaalamu?
Wadau habarin
Kwa mliowahi kuishi Moshi najua huwa mnafahamu pale round about ya YMCA ina sanamu kubwa ya Askari aliye shika silaha, kwa kipindi nilicho ishi moshi pale sikuwahi kueikia historia yenye kuelezea ile sanamu pale
Je, iliwekwa kama urembo au ina maana yake kama ilivyo kwa ile...
Klabu ya Manchester City imezindua sanamu za wachezaji wao wa zamani Vincent Kompany na David Silva kwenye uwanja wao wa Etihad kuelekea mchezo dhidi ya Arsenal leo.
Sanamu la tatu la Sergio Aguero linatarajiwa kukamilika mwakani.
Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi.
Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.