Sanamu ya Nelson Mandela: Nini maana ya sungura kuchongwa ndani ya sikio?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Baada ya kifo cha Mandela, Serikali iliiamua kujenga mnara wake huko Pretoria kama moja ya kumuenzi.

Lakini sanamu hii ukiangalia kwa umakini kichwani utaona kwenye sikio ndani kuna sungura.

Je, maana ya sungura kuwa ndani ya sikio ni nini?

IMG_7574.jpg

==

_72454835_mandelabunny_afp.jpg
 
Baada ya kifo cha Mandela, Serikali iliiamua kujenga mnara wake huko Pretoria kama moja ya kumuenzi.

View attachment 1845459

Lakini sanamu HII ukiangalia kwa umakini kichwani utaona kwenye sikio ndani kuna sungura.

Je maana ya sungura kuwa ndani ya sikio ni nini?
Nimezoom ili nimuone sungura laki nimetoka kapa.
Aliyeona sungura anioneshe na mimi.
 
Ngoja aje konda msafi awajibu 😁😁
Nimekuja mkuu. Hili sanamu ni la siku nyingi sana. Lipo pale mbele ya "Union building" (ikulu) Pretoria. Halikujengwa baada ya kifo cha Mandela. Lilijenga miaka kibao nyuma nadhani baada ya Mandela kutoka jela au huenda ikawa hata kabla ya kutoka jela. Kwa hiyo huyu anayesema lilijengwa baada ya kifo chake ni muongo.
 
Nimekuja mkuu. Hili sanamu ni la siku nyingi sana. Lipo pale mbele ya "Union building" (ikulu) Pretoria. Halikujengwa baada ya kifo cha Mandela. Lilijenga miaka kibao nyuma nadhani baada ya Mandela kutoka jela au huenda ikawa hata kabla ya kutoka jela. Kwa hiyo huyu anayesema lilijengwa baada ya kifo ni muongo.
Question...
What about sungura pale kwenye sikio?
 
Nimekuja mkuu. Hili sanamu ni la siku nyingi sana. Lipo pale mbele ya "Union building" (ikulu) Pretoria. Halikujengwa baada ya kifo cha Mandela. Lilijenga miaka kibao nyuma nadhani baada ya Mandela kutoka jela au huenda ikawa hata kabla ya kutoka jela. Kwa hiyo huyu anayesema lilijengwa baada ya kifo chake ni muongo.
Konda msafi kama konda msafi 😂😂. Mleta uzi anatuingiza cha kike huyu. Au nae anapiga propaganda apa ana ulaji kwenye sanamu linalotaka kujengwa nchini.
Na uyo sungura ni wa nini humo sikioni!!?
 
Baada ya kifo cha Mandela, Serikali iliiamua kujenga mnara wake huko Pretoria kama moja ya kumuenzi.

Lakini sanamu hii ukiangalia kwa umakini kichwani utaona kwenye sikio ndani kuna sungura.

Je, maana ya sungura kuwa ndani ya sikio ni nini?

View attachment 1845459

==

View attachment 1845507
Ilikuwa ni mjadara mkubwa sana huko south africa ikaonekana haka kasungura hakina maana yoyote ikabidi wakitoe, so kwa sasa ilo sanamu halina ako kasungura sikioni
 
Ilishatolewa mkuu, mchongaji aliweka kama alama baada ya kuzuiwa kuweka alama yake kwenye sanamu.

Huyo sungura ni trademark ya waliopewa kutengeneza hiyo sanamu
Waliiweka pale kiujanjaujanja tu baada ya kukataliwa kuiweka kwenye suruali yake .
Ila ameshaondolewa na waliruhusiwa kuweka signature zao pembeni karibu na hilo sanamu.
Suala hili mbona limeandikwa sana mitandaoni embu gogoni mtapata taarifa za hiyo ishu ya sungura kwenye sikio la hiyo sanamu ya mandela
 
Watu wavuvu kufanya simple research.
 
Back
Top Bottom