The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali
Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu
Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
I salute you kinsmen.
Huko simba hali mbaya wakuu msionr hivi .
Bundi ametua msimbazi!
Kwa sasa tajiri amesusa na hataki kutoa lolote lile, chanzo ni hasa viongozi waliokwenda dodoma na kukubali kucheza derby ambayo wanahofia wazi watagongwa na mavi yanagonga chupi..
Kulikuwa na mparanganyiko...
Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana,
Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri.
Case study.
Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga...
Mimi hua na advocate mambo kadhaa kuhusu maiaha ya mwanaume, ikiwemo
mwanaume kuwa mzuri sio tatizo, and it is religiously accepted, mwanaume kunukia hakuna shida, mwanaume kukumbatiwa na mke wako wakati wa kulala sio shida, kufanyiwa masaji na mambo kibao.
Mwanzoni nilipata mtu wa kuniunga...
Kwa muda wa miaka kadhaa nimekuwa nikitaka kujua viongozi wetu wako vizuri katika nyanja zipi?
Nilichogundua ni kuwa wapo vizuri kwenye mambo yafuatayo:
1. Kupambania ushindi kwenye chaguzi: hapa aisee mtu ukiwa kikwazo kwa ushindi wao kwa namna yoyote ile, hawa jamaa wapo tayari hata...
Aisee kitu ambacho Lissu anashindwa kuelewa Tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara
Sasa jiulize anaowatetea sasa miezi miwili imepita Lissu yupo ndani kazi yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba...
Na je,
Chadema inafanya siasa kweli?
Sote ni mashahidi,
uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari hazipewi uzito wowote hata na Waafrika wenyewe!
Mzungu wa huko Vatican Roma ndiye amezipa umuhimu na...
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran...
Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa imetepeta na haijafanya lolote la maana katika kuvurumisha mamia ya makombora yake, zitabaki kuwa mbwembwe...
Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti.
Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store
Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona...
Ni nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out
In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
Hivi juzi Mahakama ilitoa uamuzi kuhusi sheria iliyopitishwa na Bunge kuweka kinga kwa baadhi ya viongozi kushitakiwa kutokana na mambo wanayotenda wakiwa viongozi wa Taifa.
Uamuzi huu wa Mahakama umewafanya Watanzania wengi kushangilia sana.
Sasa jambo la kushangaza ni pale Spika wa Bunge...
Hawa jamaa hatunao tena hapa Duniyani. Wameenda akhera. Walikuwa wakionesha ukubwa wa irani na silaha za hatari. Wakati huo wapinzani wao wanawalia tu timing.
Nikakumbuka na vita ya Ukraine na Russia. Ambayo Russia alisema 7 days atakuwa amemaliza hiyo operation na si vita. Na silaha za kisasa...
Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako
Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya mavazi ya baba zao.
Mtoto akivaa jeans, t-shirt na kiatu akapendeza, bajeti yake inamtosha pia baba...
Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke.
====
Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Ufufuo na Uzima)...
Kama kisemavyo kichwa cha habari ntaruhusu uraia pacha sababu unafaida nyingi mfano
Uta-facilitate technology transfer
Utaongeza wigo wa skilled labour kwenye critical sector
Utaongengeza na kuchochea uwekezaji
Utatupandisha kwenye michezo sababu kuna diaspora wengi wako tayari kuchezea timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.