sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Katika dunia hii yenye vita visivyokoma, taifa la Israeli linaonekana liko juu sana kwa hekima, umakini, na maandalizi ya hali ya juu ya kujikinga na mashambulizi ya mabomu. Hili ni taifa dogo kijiografia, lakini lina hazina kubwa ya maarifa, ujasiri, na ubunifu wa hali ya juu. Unapoyaangalia...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KERO Maji yanayotoka Tabora yana harufu kali sana za madawa. Wanazidisha sana madawa. (TUWASA) mtaleta madhara kwa watu

    Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana hasa pale unapoamua kuchemsha maji hayo ufanye yawe maji ya kunywa. Unakunywa maji yakiwa na harufu...
  3. KENZY

    JamiiForums Tanzania Huyu dada kanifedhehesha sana!

    Jana ameufanya uanaume wangu uwe mnyonge sana mbele yake!, na hapa sasahivi najiuliza huu ujasiri ni wakwake pekee ama kuna wengine pia mpo kama yeye!..? Ni mdada fulani hivi mweupe, figure no 8 huku nyuma baraka zipo na mbele pia zipo, kiufupi ni mzuri kama malaika!. Ikiwa ni mida ya saa mbili...
  4. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

    Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

    Hesabu hazidanganyi. Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani. •Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele. •Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nawapongeza sana JWTZ, japo ninasikitika pia kuwa mmechelewa mno Kulishtukia

    Na nimefurahi zaidi mliposema kuwa mmeshawabaini hao Viongozi Serikalini wanaofanya hii DHAMBI KUU YA KIKATIBA YA USALAMA WA TAIFA LETU na nawaomba muanze na Watatu wenye hii tabia mmoja anatokea Singida, mwingine Dodoma, mwingine Kagera na mwingine Pwani bila ya kumsahau na yule Mzoefu ambaye...
  7. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?

    Naomba kueleweshwa, Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization? Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview. Oral...
  8. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Ategemee kupingwa sana awamu yake inayofuata

    Ikitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa...
  9. ommytk

    JamiiForums Tanzania Azam wafanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana

    Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam waliofanga hapa kigamboni mtu unasikia Ata raha sasa kuishi kigamboni BRT ebu fanyeni tathmini...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimegundua raisi wetu ana hasira sana, anafoka na kujibizana na hata vitu vidogo na kutengeneza mipasho badala ya kukaa kimya

    Nimekuwa nikitafakari juu ya hotuba na kauli mbalimbali za raisi wetu, ambaye ndio kiongozi wa juu kabisa nchini, na kugundua ana hasira sana. Anachukizwa hata na vitu vidogo vidogo ambavyo anapaswa kuvipuuzia na kutovijibu au kuvifanyia malumbano. Ana silka ya kumwagia petroli kwenye mambo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

    Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja. Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nikimsikia Samia akizungumzia uchumi. Natabasamu nawapongeza watanzania sana

    Faida anayoiona ya kahawa ni kufanyia scrubbing. Siku hiyo hiki ndo kipengele aliweza kukielezea vizuri zaidi na kwa muda mrefu. 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 Nyie Watanzania mkiendelea na akili hizi hamtaendelea kamwe.
  13. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanakazi Rahisi na nyepesi sana

    Mfano yule shahidi wa kesi ya Lisu, yani kazi yake kuperuzi tu mtandaoni ( doria), So mtu anatoka Youtube anahama Tiktok anahamia Facebook n.k, jioni anarudi home, mwisho wa mwezi bank inasoma 🙌🙌🙌🙌🙌
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimeapply field tangu mwezi 4 bado sijapata field. Naomba usaidizi

    Habari zenu Wana JF. Nimeapply Kwa Ajili ya Field Tangia mwezi wa 4 ila bahati mbaya mpaka sasa sijapata field. Mwenye msaada anisaidie tafadhari Tunaanza field tarehe 21/7 na kumaliza tarehe 12/9 nipo mwaka wa pili UDSM Course ni BCOM IN BANKING AND FINANCIAL SERVICES. Natanguliza shukrani
  15. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni Mbaya sana, na unatumiwa na CCM, fikiria watu wanasombwa na Malori kwenda kuwaona watu wanao panda V8

    Ukiachana na mambo ya ujinga, ila pia Umasikini wa Wabongo ni nguzo muhimu sana ya CCM hasa huko kanda ya ziwa.Saaa changabya ujinga na Umasikini ni balaaa au Changanganya kukosa elimu Dunia na Umasikini, huo muunganiko ni balaa. Katika moja ya maeneo ambayo elimu hata ya Uraia ni zero basi ni...
  16. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Katikati ya mji wa Arusha, kuna foleni sana, mji ni mdogo

    Ukiwa katikati ya mji wa Arusha, maeneo ya stendi kuu, soko kuu, jogoo house, kilombero na maeneo mengine kuna foleni sana. Foleni ya mabasi makubwa, coaster, bajaj, bodaboda hadi foleni ya watembea kwa miguu. Mji umekuwa ni mdogo sana, Geneva ya Afrika mnakwama wapi?
  17. Adiya5

    JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Hello watanzania, Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia, Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi, wakarimu, wenye uelewa wa mambo ya duniani, wenye fikra pevu, jinsia yoyote, Mimi ni Mwanamke, elimu darasa...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

    Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Watu smart wamwangalie sana Kafulila. Anamvuruga vuruga Mama kwa namba halafu akija huku anacheka sana

    Mama hajui kitu, kakuta wananja ambao wanamtumia vizuri kutokana na kutojua kitu kwake. Kafulila kampa tu namba uchumi unakua hajaweza mfafanulia mlinganyo wake kimahesabu na uwezekezaji na Ulaya na Marekani. Na yeye akabeba hivyo hivyo kuanza pita na kauli mbiu mitaani. Hakuweza changanya na...
Back
Top Bottom