Ahoua na Mpanzu wanatuchelewesha sana huko Suez Stadium Misri

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,611
Reaction score
127,998
Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)

Kuna mpira mmoja wa Mpanzu alishawaacha Wachezaji wa mwisho wa Al Masri na ilikuwa aachie tu kwa Atabe au Kibu wamalize Shughuli.

Mpira wa Faulo alioupiga Ahoua haikuwa lazima apige Yeye kwani alipiga Kitoto mno na haukuleta madhara yoyote na kusababisha Sisi Kushambuliwa.

Simba SC tukifungwa hii Mechi lawama zangu zote 75% nazipeleka kwa hawa Wachezaji Wawili ambao kiukweli wanacheza Kibinafsi zaidi pasipo kushirikiana na Wenzao ili Timu ishinde.
 
Utakuwa huna akili ukimlaumu Mpanzu.

Hapo tatizo ni mwamuzi
 
Mlikuwa busy kuisemea Tabora kuliko kujua udhaifu wa litimu lenu😂😂😂😃. Wameshenyetwa tenaaaaaa
 
Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)

Kuna mpira mmoja wa Mpanzu alishawaacha Wachezaji wa mwisho wa Al Masri na ilikuwa aachie tu kwa Atabe au Kibu wamalize Shughuli.

Mpira wa Faulo alioupiga Ahoua haikuwa lazima apige Yeye kwani alipiga Kitoto mno na haukuleta madhara yoyote na kusababisha Sisi Kushambuliwa.

Simba SC tukifungwa hii Mechi lawama zangu zote 75% nazipeleka kwa hawa Wachezaji Wawili ambao kiukweli wanacheza Kibinafsi zaidi pasipo kushirikiana na Wenzao ili Timu ishinde.
Kacheze wewe basi kama ni rahisi hivyo la sivyo piga kimya nyang'au wewe 🙁🤫🤫
 
Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)

Kuna mpira mmoja wa Mpanzu alishawaacha Wachezaji wa mwisho wa Al Masri na ilikuwa aachie tu kwa Atabe au Kibu wamalize Shughuli.

Mpira wa Faulo alioupiga Ahoua haikuwa lazima apige Yeye kwani alipiga Kitoto mno na haukuleta madhara yoyote na kusababisha Sisi Kushambuliwa.

Simba SC tukifungwa hii Mechi lawama zangu zote 75% nazipeleka kwa hawa Wachezaji Wawili ambao kiukweli wanacheza Kibinafsi zaidi pasipo kushirikiana na Wenzao ili Timu ishinde.
Simba tuna kikosi kipana hatuwategemei hao tu.
 
Kocha wa simba asipoongea na wale wachezaji wake wanne pale mbele kaz mnayo ahoua kibu ateba na mpanzu hawachez kitimu kila mtu ana mipango yake
Hao kubadilika ni ngumu sababu walisajiliwa Kwa style Hy ya uchezaji
 
Hakukuwa na penalty yoyote mchezo mzima? Hiyo siyo haki kabisa.
 
Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)

Kuna mpira mmoja wa Mpanzu alishawaacha Wachezaji wa mwisho wa Al Masri na ilikuwa aachie tu kwa Atabe au Kibu wamalize Shughuli.

Mpira wa Faulo alioupiga Ahoua haikuwa lazima apige Yeye kwani alipiga Kitoto mno na haukuleta madhara yoyote na kusababisha Sisi Kushambuliwa.

Simba SC tukifungwa hii Mechi lawama zangu zote 75% nazipeleka kwa hawa Wachezaji Wawili ambao kiukweli wanacheza Kibinafsi zaidi pasipo kushirikiana na Wenzao ili Timu ishinde.
We ndio unajua mpira,Wachezaji wasimba ni wabinafsi sana,halafu mazuzu pia,mwenzao kachezewa faulo eneo la kumi na nane sio wamzonge refa ili waangalie kwenye VAR, yenyewe wala hayana taimu yapo kama massengee
 
1. Camara hakuwa na match fitness kutokana na kuwa majeruhi muda mrefu ndio maana alifungwa magoli ya kawaida sana. Mechi ilikuwa inamhusu Ali Salim. Kwa nini benchi la ufundi lilianza na Camara badala ya Ali Salim watakuwa wanajua wao. Fadlu tu ajulishwe kuwa maamuzi waliyofanya jana kuanza na Camara aliyetoka majeruhi ndio hayo hayo yalifanywa na Robertinho kuanza na Manula aliyetoka majeruhi na matokeo kila mtu anayajua.
2. Ateba aliingia Tanzania vizuri na alianza vizuri sana ndani ya Simba sasa hivi kawa mzito wa mwili na maamuzi. Anapewa mipira na Ahoua, Mpanzu na Kibu badala aanze one two afungue nafasi yeye analazimisha atumie nguvu ageuke na mpira mbele ya mabeki wawili. Simba ikija ofa nyingine kwa Ateba hata kesho muuzeni haraka sana. Vinginevyo apunguze mwili aongeze kasi ili arudi kama mwanzo. Yaani Ateba anageuka kama Tembo huku anang'ang'ania mpira mguuni halafu anategemea wale walinzi wa Al Masry wamuangalie tu.
3. Ahoua amekuwa bahari maji kujaa maji kupwa. Sijui ni woga au ni tatizo gani maana jana alikuwa anapiga vishuti mtoto halafu kuna muda akipata mpira unamuona kabisa hajui afanye nini matokeo yake anapoteza mipira kirahisi sana. Huyu ndio alitegemewa atengeze nafasi pale mbele kwa kuivunja vunja beki ya Al Masry jukumu ambalo lilimshinda kabisa. Kuna wakati nilikuwa naangalia mpira mpaka nikajisemea moyoni kama sio nidhamu mbovu basi Simba wangemrudisha Chama awe anawasaidia Simba dakika 15 za mwisho kwenye mechi kama ya jana.
4. Kibu naye akumbushwe umuhimu wa kucheza kitimu zaidi. Kuna muda alikuwa mbinafsi sana.

Mwisho kabisa nitaulaumu uongozi wa Simba kwa sababu tulio kuwa tunaona mbali tuliwakumbusha hapa JF kuwa kama kweli Simba inautaka ubingwa wa ligi ya ndani na hata wa Shirikisho Afrika basi walipaswa kusajili mshambuliaji mwingine wa kigeni mwenye kulijua goli na sio kuwategemea Ateba na Mukwala. Simba jana wamekosa nafasi za wazi kabisa zaidi ya tano achilia mbali yale makrosi ya kutosha ya Mpanzu yaliyokuwa yanazagaa zagaa ndani ya boksi la Al Masry. Kwa krosi zile kama unakuwa na mtu kama Boko au Kagere enzi zao basi bila shaka jana mwarabu angekufa sio chini ya goli tano.

Al Masry ni timu ya kawaida sana na Simba wanaweza kabisa kuindoa ikija hapa Dar iwapo tu wataifanyia kazi safu yao ya ushambuliaji ili iwe na makali. Vinginevyo basi safari yao ya matumaini itaishia kwa majonzi kwa Mkapa.

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom