The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Aina ya ule upotezaji wake wa Muda kuna mahala ulikuwa unaonekana kabisa kuwa alikuwa akiitafuta ama Kadi ya Njano au Nyekundu kwa lazima ili labda Timu idhoofike au asicheze Fainali ya CAFCC kama Timu ingefuzu au labda huku Kusifiwa kwingi Kwake kumeshamharibu na anajiona Peter Shilton wa zama...
1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye
2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kuwa mwema kwake hii ni dalili HANA MUDA NA MAZURI YAKO
3.Mara nyingi anakutishia kuwa kuna watu...
Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa .
TWENDEE KWENYE MAADA.
Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
Tumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki.
Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki.
Tumefikaje hapa?
Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo?
Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?
Kutoka kwa Rajiv J. Shah
Rais wa The Rockefeller Foundation
Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika?
Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini Mikataba ya Kitaifa ya Nishati ili kupanua upatikanaji wa umeme na kukuza uchumi wa bara hili.
Ili...
Za leo wakuu.Kila mtu kuna namna anapata riziki zake hapa duniani. Nimefanya uchunguzi kwamba watu waliojiajiri wana maisha ya furaha sana.
Wanasiasa wengi wana hela na vyeo ila ukichunguza hawana amani.
Walioajiriwa maofisini ni lazima uamke asubuhi ukasaini hata kama bado usingizi ni mtamu...
Hellow!
Kwa mwonekano wa nje, hawa watatu kuna wakati huwa wanapingana lakini ni kitu kimoja.
1. KAHABA.
IIli awapate waume kirahisi, atahitaji uchawi, awaroge wote wamuangaliapo Ili wafungwe fikra na kumtamani Kisha awatie kifungoni na kusahau ndoa zao au kuwasahaulisha vijana kuoa. Huu nao...
Sina mengi ni hivyo... Nimekaa nimejitafakari sana
Kuna kaka zangu na dada zangu tumeongea inbox.
Mnisamehe sana. Nimejifunza Kwa njia ndefu ... Mbarikiwe sana.
Mnisamehe ....
Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC.
Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza katika mitego ya kisiasa.
Ni jambo moja kuishukuru serikali kwa mchango wake wa hapa na pale katika timu...
Boring businesses zina pesa nyingi sana.
Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi”
Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini zinapiga hela ile mbaya.
1. Kununua na kuuza chuma chakavu maarufu kama Skrepa
Umeona unavyoiona ya...
Wadau nauza hii simu yangu
Maelezo yake na picha hapo chini
Samsung A34
Storage 128gb
Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data
Napatikana Dar es salaam
Namba 0765137266
Bei Tsh 430,000
…naona wote mpo busy na msiba wa Papa, lakini hamjui kinachoendelea Tunisia 🇹🇳…
Tunisia 🇹🇳 kuna Rais mwendawazimu anayeitwa Kaïs Saïd, Dikteta zaidi ya Kambare…
Huyu jamaa anamiliki serikali, Bunge na Mahakama zote nchini humo…
Juzi, kawahukumu viongozi wa upinzani, mawakili wao...
🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku?
Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇
1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha
Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za:
🔹 Chakula
🔹 Dawa
🔹 Vifaa
🔹 Huduma
Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
Yani kwasasa wanakupa kitu kinachouza zaidi bila kujali itikadi ya Dini, Miaka ya nyuma wakati wanaanza hawakua hivi! Safi Sana
Hongera sana Sheikh, maalimu Mzee bakhresa
Hii Vatican ni nchi?
Mfumo wake wa upigaji kura uko vipi? Yaani raia wake wanapiga kura kumchagua Rais
Kwa mfano Iran kuna Rais ambae ni kiongozi anaechaguliwa na raia wa Iran. Kuna Ayatollah Ali Khamenei, hachaguliwi kwa kura za wananchi moja kwa moja, bali huchaguliwa na chombo kinachoitwa...
Naomba tusikate tamaa, kwa hali ilivyo sasa, inaonekana wamepanga kumsimika madarakani si kwa kuchaguliwa bali kwa nguvu, yaani iwe kwa kuumiza watu au kwa namna yoyote ile. Kwa hali hii, nadhani sasa kuna haja ya kupanga mikakati na njia mpya kabisa za kutafuta HAKI katika Taifa hili.
Kama...
Mlio karibu nao muwape taarifa wanafeli sana .
Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao .
Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.