The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao
Yaani unaweza kati ya...
Toka miezi kadhaa tangu alikiba kuambiwa ni mbana pua na Master Jay, voice note zilizovuja zimeonesha Manara akigongelea msumari kuwa Alikiba ni mbana pua tu.
Inaonekana Alikiba ana maadui wengi sana, ni kama vile kipindi kile Diamond alivyokuwa na maadui wengi. Utofauti wa Alikiba na Diamond...
Ingawa ni wenye mtazamo hafifu ila ni wazuri katika planning.
Ingawa ni watu sensitive sana ila ni wazuri katika katika kumudu majukumu mengi kwa pamoja na wakati mmoja.
Ingawa ni watu wasio na logic ila ni wazuri katika budgeting.
Kati ya wanawake wanaocheat 10 ni wawili ndio wanaogundulika...
Pole sana Dada Lucy, Dada Germana, Dada Dokta Grace, David (Pandi) na Kibibi (Tausi) bila Kumsahau Mpwa Mwandishi wa Habari Edward Qorro (wa Daily News) kwa kumpoteza Mama na Shangazi baada ya pia kumpoteza Baba Mzee Patrick Qorro miaka kadhaa iliyopita.
Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake Profesa...
Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu,
kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma 🔥🔥🔥
https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025.
Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja nizichimbe zaidi nione zina nini ndani yake. Kwa kuanzia, code ya Tanzania ni 255.
Utabiri wangu wa...
Mbona sijajenga?
Mbona sijapata kipato cha uhakika?
Mbona sina gari?
Mbona sitengenezi faida ya uhakika?
Mbona sijaoa/sijaolewa?
Mbona sina mtoto?
Mbona sina akiba?
Mbona nachelewa?
Mbona classmates wana nipita?
Mbona sii-provide familia vya kutosha?
Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani.
na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa kwakuhudumia nyumba ndogo (ambayo walikuwa wanaihisi tu kua itakuepo)
Mziki ni pale Jama amekuja...
Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule.
Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini.
masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na msongo kwa kutaka kuikoga Simba ambayo ipo kimataifa.
Ushauri yanga wekezeni kwenye ubora wa kiufundi...
Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania.
Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa.
Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa...
Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.
Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana...
" Bubu anaitwa Maneno " 😂😂
"Nakunywa Serengeti Ngorongoro"
"Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe"
Huyu jamaa jau hebu na wewe dondosha moja ya mstari wake tuone
Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba .
Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni...
Habari za kuhangaika barabarani Sasa hivi kwisha hela yangu ndio inaniletea pesa mwaka huu watu mtaani watajiuliza nafanya kazi Gani ni mwendo wa kugegeda watoto wakali hahaha
Habari za Jumatatu
Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa nitoe remote na kubadili chaneli. Hivyo wakati nasubiria tamthilia iishe, ilibidi kutazama ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.