sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  2. Mad Max

    Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

    Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
  3. I

    Nakerwa sana na wanaomuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika

    Salam kwenu Wajenga nchi na Wabomoa Nchi, wajinga kwa wenye hekima.Nchi hii ni yetu sote, tuvumiliane. Nakerwa sana na tabia iliyoibuka ya kumuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika. Huo ni utumwa wa kifikra,na ni jitihada za makusudi kuidogosha Afrika na Mashujaa wake.Kwanini Che...
  4. bulajunior

    Kama Watanzania ungekuwa tunajua kufuatilia mambo ya maana tungeendelea hata kwa kiwango kidogo

    Kama Watanzania tungekuwa tunajua kufuatilia mambo ya maana tungeendelea hata kwa kiwango kidogo ajabu ni kwamba watu wanaangalia vichekesho tu vya kina side na Leonardo jamani crip za Simba na Yanga ndo zinapotezea muda watu.
  5. Narumu newz

    China ni mshirika wa Tanzania na CCM ni taifa linaloendelea kwa kasi sana

    China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani...
  6. Mr Why

    Nachukizwa sana na baadhi ya nchi zinazoadhibu mitandao ya kijamii kwa kisingizio cha kuvunja Sheria, madhumuni ya nchi hizi ni kudhoofisha teknolojia

    Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria. Mwaka...
  7. I

    Serikali iwe macho sana na Lissu na "Watu wake"

    Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS). Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April...
  8. Komeo Lachuma

    Video: Hapa sisi Mashujaa tulichemka sana. Sina cha Kumlaumu Referee

    Huu ulikuwa utoto. Mbinu za kupoteza muda inabidi mwalimu afundishe bila hivyo tutakuwa tunalalamika na kuonekana tu vilaza mbele ya watu wenye Ilimu katika hii Duniya. Huu ni mfano wa match ambayo Azam walikuwa wameamua kupoteza muda katika Dk 7 zikaongezwa mpaka kufika 100 baada ya zile 90...
  9. R

    Ushauri: Kwa kuwa wasomi wa shahada na stashahada wameongezeka sana mtaani, kwanini wasiajiriwe kuwa Polisi?

    Salaam, Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika. Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
  10. Binadamu Mtakatifu

    Mbunge huyu aliongea point sana (Tujikumbushe)

  11. Scared

    Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

    Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake...
  12. N

    Katika kila jambo tunalofanya, utu na ubinadamu viwe mbele kabla ya kile tunachotaka kufaidika nacho

    Inasikitisha sana Katika miaka ya 1990, kulikuwa na picha iliyosambaa sana ya tai aliyekuwa akisubiri msichana mdogo aliyekuwa na njaa kufa ili aweze kula maiti yake. Picha hiyo ilipigwa wakati wa njaa ya mwaka 1993/94 nchini Sudan, na mpiga picha kutoka Afrika Kusini aitwaye Kevin Carter...
  13. Technophilic Pool

    Ilikuaje wazungu wakaja kudominate dunia wakati hata si wateule wa dini kama wayahudi na waarabu? Kuna somo kubwa sana hapa

    Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
  14. Clayton Paul

    The Greatest Of All Time

    UKIPATA Chance ya kuwatandika Tandika haswaa. Ukiona Mwanaume anazungumza peke yake bila kuomba ushauri jua anaangusha mazoe chini.
  15. Megalodon

    Watekaji na wauaji nawashauri mbadili njia ya kufanya Ukatili, mnajiexpose sana

    Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion . Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy. Madhara ya kujiexpose hata kwenye ulimwengu wa ki intelligence ni kukaribisha wahuni. hamtoweza ku...
  16. G Sam

    Kwa namna ambavyo inaelezwa tukio la kukamatwa Mdude, ni vigumu sana kupatikana tena!

    Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni. Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena na hakuna jambo lolote linalofanyika. Hawaambiwi chochote ndiyo maana nasema kwao hakuna tena jipya...
  17. LIKUD

    Kazi ya upromota wa muziki na sanaa kwa ujumla wake inalipa sana

    Graduates msio na ajira na ambao mna mapenzi na muziki na Sanaa kwa ujumla jaribuni upromota hamtojuta as long unapenda kazi hiyo unapenda muziki na burudani etc coz kazi yoyote ili kufanikiwa lazima uipende kwanza. Nili ingia kwenye kazi hii kama hoby tu coz napenda sana muziki na starehe and...
  18. Trainee

    Mimi ni mdau mkubwa sana wa movies zilizotafsiriwa lakini kuna maDJ wanaharibu sana hizo muvi

    Kwanza, ijulikane lengo siyo kumsagia mtu kunguni ila ni kuonesha madhaifu ili kama itawezekana basi aweze kujirekebisha Pili, ieleweke kwamba kutafsiri movies ni kazi inayowaingizia watu kipato kwahiyo ile kauli ya kuwaita wezi siyo vizuri Tatu, siyo watu wote wanaweza kuangalia movie huku...
  19. Moto wa volcano

    Muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani

    In this life muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani. Usiwe msahulifu kwa watu waliowahi kukusaidia . Kumbuka kile kipindi umekwama hauwezi , hauoni pakushika lakini alitokea fulani akakushika mkono , unapopata nafasi ya kulipa fadhila do it more
Back
Top Bottom