sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu? Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge. Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira...
  2. S

    Ni vigumu sana kuteuliwa papa mwenye sura binafsi (personal face) kwasababu za siri

    Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia! Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki, Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma) Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia. Pamoja...
  3. Carlos The Jackal

    Kuna Nguvu Kubwa sana inayo/ itakayotumika Kumtetea Paul Makonda. Yeyote anayejaribu kuonyesha mapungufu yake, anashambuliwa Kila Kona!

    Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!. Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika. Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna...
  4. Nehemia Kilave

    Baada ya kufuatilia sana Nimegundua Mungu yupo ,ila hakuna dini wala dhehebu lililo bora kuliko lingine .Mungu ni mmoja tu

    https://youtube.com/shorts/WWmBwoKcRi4?si=MXTAzBwxQMUNtmyg Kwanza kabisa Mungu atusamehe kwa yale yote mabaya tunayoyafanya . Lakini ifahamike mitume na manabii wanajaribu tu kumuelezea tu huyu Mungu mkuu ambae hakuna anaemjua wala kuwahi muona . Kwa kifupi hata dini zetu za asili zilikuwa...
  5. ELI COHEN

    Ukimuona mtu katika taifa hili amekua maarufu na mashuhuri kwa kufanya mambo ya maana basi muheshimu sana.

    Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS" Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno. Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
  6. Knock life

    Mtibeli Robert Heriel yawezekana akawa ndo mwana JF mwenye mwanamke mrembo sana JF nzima

  7. A

    KERO Huduma mbovu CRDB bank tawi la LAPF Dodoma

    Bank ya CRDB tawi la LAPF Dodoma wahudumu wako taratibu sana, majibu yasiyo rafiki Kwenye foleni inakaa masaa bila huduma, yapo madirisha manne ya huduma ila kwa muda mrefu ni dirisha Moja tu ndio linamuhudumu ambaye naye muda mwingi ingia Toka ingia Toka haeleweki anafanya nini Vijana hizi...
  8. K

    Kichwa kinauma sana nimeshindwa kwa maana nimefail

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF heri ya Pasaka kwenu , Natumaini mnamalizia pasaka vema, kwa wenye changamoto poleni sana, Ndugu zangu wakati mkiwa mnasherekea na kumalizia sikukuu kesho pia ni kazini na vibaruani pia kwa Watoto wanaenda shule, Nimeanzisha Uzi muda umekosa wachangiaji...
  9. Mad Max

    Utasikia "Hybrid zinatumia mafuta vizuri mjini, ila ukienda highway zinatumia vibaya sana!"

    Usilahumu gari, mlalamikie dereva. Na ilikua 36 km/L sema kuna sehemu barabara ikawa inatengenezwa tukawa mwendo wa kobe ndio ikashuka hadi 32 km/L.
  10. Lord Denning

    PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

    Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
  11. Ritz

    Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

    Wanaukumbi. Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki. Mama Samia ni...
  12. UHURUWANGU

    Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  13. Mto wa mbu

    Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

    Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo. Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni. Kwa...
  14. uran

    Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

    Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha. Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana. Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale. Ndugu zangu...
  15. haszu

    Kugombaniwa na wanawake kwangu ni kawaida sana

    Achana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji. Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea. Kuna wakati unakuta wanawake wanagombana af mimi sina habari hata na mmoja wao. Mi ni ile type ya wanaume...
  16. M

    Fahdu Davis umenikera sana leo, safari ya kurud Dar naiona ndefu sana

    Uongozi umefanya kila jitihada, mambo yote yanayotakiwa kufanyika yalifanyika lakn wewe ndio umeharibu kila kitu, kazi yako ilikuwa kulalamika tu uwanjani bila solutions Hongera sana kwa kuivusha kisayansi Stellenbosch
  17. mdukuzi

    Nasikia Fadlu Hussein na Aouah ni marafiki sana

    Kila kocha kwenye timu anayofundisha huwa anamchezaji ambaye ni swaiba yake. Nasukia Jin cha awaaa Ni best wa kocha mzulu mixer muhindi Fadluhussein Huo ushikaji utakujakumtokea puani huyu kocha
  18. Melki Wamatukio

    Naumia sana kuona jinsi ambavyo mimi na yeye tunachuniana

    Tumefahamiana tokea mwaka 2022 Desemba. Kufika Feb 2023 nikatupia swaga kutokana na mazoea ambayo nilikuwa nishajiwekea kwake, cha ajabu huyu mwanamke akanitolea baharini, nikaachana naye hata kwa mazoea ili kuruhusu vijana wengine wapambanaji kupambania kombe Tuliishi kama majirani wa salamu...
  19. technically

    Usaliti ni mbaya sana

    Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!! Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ? Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi...
  20. Poppy Hatonn

    Yesu alisema mateso haya ni makubwa sana

    Bwana Yesu alipokuwa Gethsemane alisema,"Baba,kama ikiwezekana,sitaki kukinywa hiki kikombe cha mateso. Lakini Mapenzi yako yatimizwe,siyo utashi wangu.". Sasa hapa kuna ubishi kwamba hiyo haki ya kupiga kura kistaarabu Mamlaka iombwe au watu wanapaswa kuchakarika?
Back
Top Bottom