sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Simba kuweni makini Yanga niwajanja sana

    Kuelekea mechi ya watani yanga nikama wanataka kuanza kushinda nje ya uwanja , drama wanazofanya kwa vyovyote vile zinadhoofisha maandalizi ya Simba , wanataka kuwin kwa simba kuchukulia mchezo wa watani kama mechi ya kawaida. Simba tubatakiwa kujipanga sana ili kupata walau alama kwenye huo...
  2. Nilifungua Website ya Kimataifa Mwezi wa Kwanza nikapokea Maoni mengi sana

    Sasa imefikia hatua hii, Naombeni maoni yenu 🙏 https://fntaz.com/
  3. D

    I love ccm Sana ila they are walking blindly. thinking they are too big fail. it's not good

    I will be short kuna theory inasema " NOTHING IS TO BIG TO FAIL" ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently. so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
  4. Darasa la saba ni elimu ndogo sana

    Mm sio muumini wa makaratasi Ila darasa la saba hafai kuwa mbunge Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?.
  5. Huyu Mwalimu alini motiveti na kuni INSPAYA sana

    Enzi zetu kupata kazi kama umesoma haikuwa '' a big deal''...sasa watu wengi walikuwa na maringo ya kuchagua mikoa ya kufanya kazi....kuna baadhi ya maeneo mtu akipangwa na kazi anaacha kabisa kabisa. Sasa huyu ni Mwalimu wa shule ya msingi akapangiwa kwenda kufundisha mkoani halafu kijijini...
  6. Jubilee Insurance hapa mmfeli vibaya sana

    Kwenye pitapita zangu nimekutana na tangazo hili kutoka kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance ikitangazia umma kuhusu Bi Neema Vegula kuwa sio sehemu ya familia ya Jubilee Insurance. Ukilisoma tangazo hili limekaa kimtego sana na kwa upande mwingine sidhani kama linafuata miongozo na sera za...
  7. D

    AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  8. W

    Kozi ya Uhasibu inaenda kuwa na tatizo kubwa sana kwenye ajira, kuna utitiri wa vyuo vingi sana mikoa mingi

    Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni. Hivi ni baadhi tu ya vyuo TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
  9. J

    Wazabuni wa Taasisi za Serikali tunapata tabu sana kulipwa madai yetu

    Hivi najiuliza hawa viongozi wa taasisi za umma wanaotoaga order za mahitaji kwa wazabuni, wanadhani wazabuni wana visima vya pesa. Hawajali kabisa kulipa kwa wakati!! Nakumbuka Magufuli aliwahi kuwaambia hizi taasisi za umma kama huna hela usiagize bidhaa kwa mzabuni, ila sasahivi Jamaa kama...
  10. Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

    Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500 Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa Else mambo ya...
  11. PreGE2025 Luhaga Mpina: Rais hana kinga ya kutokosolewa. Watu wanatekwa ninyi mnapongezana, wanaoikosoa serikali wasizuiliwe

    CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina ============== Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na kukemea vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kuripotiwa nchini Tanzania, akitaka uwajibikaji wa...
  12. Waafrika tungekua na akili tungekua upande wa urusi wazungu wametuua na kutunyonya sana

    Wakuna race iliyoua waafrica wengi toka dunia iumbwe zaidi ya wazungu, wametufanyia Kila hila kila nyanyaso na Kila ubaya lkn ukikaa vijiwe vya kahawa unakuta ngozi nyani/Tako zinakaa zinaionea huruma Ukraine eti urusi anaua watu!!! Lkn hapohapo anashangilia Israel anavoua watu Gaza. Sasa mm...
  13. Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

    GT. Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule Yote haya ni kumkamata Lissu
  14. Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, gazeti la Mwananchi la leo. Hili ni swali, hizi tuhuma za wanaharakati wa jirani kutendewa ndivyo sivyo, ni zinatuchafua kwelikweli kitaifa na kimataifa!. Swali je ni Tanzania tunachafuliwa kwa tuhuma za uongo?, au tuhuma hizo ni kweli, sisi ni Wachafu? na...
  15. K

    Uyole raha sana waku

    Hiyo konyagi hapo mnayoiona bei ni 3,500/=,soda 7,00/= maji 1,000/= Totall 5,200/= Nipo kwa shangazi pub huku uyole tulia road napiga vyombo tu,aliyeko karibu aje tule vitu. Kitimoto huku nusu ni elfu 5 tu.
  16. Kiukweli Gwajima katuvuruga sana. Tunawaza na kuwazua

    Huyu jamaa halafu anajiamini nini? Haogopi hata. Yupo free na wala hana woga. Akiongea wanatumwa watu na kujituma kumjibu yeye ana wacheck tu halafu anapita kibabe mbele yao.
  17. Wakuu ni hatari sana

    Hivi sasa na kuendelea tunaishi humu. Maana watu ni wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi. Wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda...
  18. Kama hili la Wakenya kujipanga kuwaomba msamaha Watanzani ni kweli, basi hilo ni tusi kubwa sana kwetu

    Leo mapema tu nikiwa natoka zangu Nakuru to Nairobi along the A104 highway (Nairobi-Nakuru Highway), nilipofika pale Kayole pande za Naivasha nikaona ninunue some drink and bites za kunipa company kwenye kasafi hako ambako si karefu ni kama Kanakaribia umbali wa Dar mpaka Moro. Nikaingia...
  19. Sura ya Bashiru Ally Kakurwa inazungumza mambo mengi sana !

    Sura huwa inazungumza. Ukimtazama Bashiru Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi. Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ? Wabunge wa ccm...
  20. Kutakua na mradi kubwa sana wa ku-analyze protein data zote ambazo zipo kwenye uniprot database

    Analysis of protein data itabase kwenye maeneo yafuatayo Energy distribution of individual amino acid and complete protein Magnetic force of individual amino acid and complete protein Amino acids sequence rules Protein folding mechanism Predict protein mutation Link ifuatayo inakuonyesha data...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…