sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Huyu dada anahoja lakini anaiwasilisha kwa maneno makali sana!

    Anaongea point Sana Lakini anatumia hip-hop iliopita kipimo Minamshauri apunguze ukali wa maneno maana anashambulia Sana, japo anayoongea Yana ukweli.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Sita walivyotimuliwa TANU kwa kupinga uchaguzi wa chama hicho. Kumbe haya mambo kitambo sana

    Gazeti la Mwafrika mwaka 1958, Oktoba 11 liliandika "WAMEFUKUZWA KATIKA TANU NA MKUTANO MKUU WA MWAKA" Gazeti hilo liliandika Mkutano mkuu wa TANU umemfukuza katika chama Sh. Sulemani Takadiri wa Dar es Salaam, ambaye alijaribu kuingiza chuki ya dini katika siasa siku chache zilizopita...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

    Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli. Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani. Sasa...
  4. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

    Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya hernia kwa Mzee miaka65 korodani zinamuuma sana

    Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu polepole mbona anadharua mbaya sana kwa binaadamu wenzake?!

    Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!! Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa. Huyu jamaa kweli anajielewa?
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni muda mrefu sana Sumaye hajaonekana hadharani wala kusikika, kulikoni?

    Sio kwenye matukio ya kijamii, kisiasa wala kidini, Sumaye hajaonekana wala kusikika. Hatukuwahi kuzoea hivyo kwake. Kulikoni?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

    Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best enewei
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wa Uganda wanawapenda sana Wanawake wa Tanzania na kwanini Wanawake wa Uganda wanawapenda mno Wanaume wa Tanzania?

    Ninajua hapa kuna Wajuvi na Watafiti wa Masuala mbalimbali ya Kimtambuka hivyo leo Kazi yangu ni Kuujua tu Ukweli.
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania MUNGU ana huruma sana ni mwema sana

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimekaa tu hapa nimeutafakari wema wa MUNGU MWENYEZI hasa kwetu sisi vijana Nimeona kabisa kuwa MUNGU amekuwa ni mwema sana juu yetu Amekuwa akitusamehe na kutuokoa katikati ya maovu na ubaya Ogopa wapinga MUNGU marafiki zangu wengi ni...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa gharama nilizoingia kwenye vifurushi vya internet najilaumu sana kwanini sikutilia umakini kununua router za unlimited Internet

    Sijawahi kuwa na uhuru wa kutumia internet kama sasa baada ya kununua unlimited internet, Sina hofu ya kumaliza MB, sina haja ya kupunguza ubora wa video, siogopi video calls, sizikwepi post zeny video kwenye mitandao ya kijamii, n.k. kuna muda nilikuwa najiunga mpaka kifurushi cha elf 5 kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ni nzuri ila imechangia sana kuwe na ongezeko la Gen - Z kujitenga na jamii

    Kijana anaweza kukaa ndani siku nzima bila kutoka kwenda nje kujichanganya, tena sio nje tu hata humo humo ndani ya nyumba hatoki kujichanganya na wenzake. Laptop na simu zimekuwa bei rahisi sana na zenye teknolojia ya juu sana, Internet zimeshuka sana bei ukiwa na elfu 70 unatumia internet...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nawalilia waliopoteza maisha yao kipindi cha Mbowe wakipigania mageuzi kumbe haikuwa hivyo! Inasikitisha sana!

    James kujiunga Chauma ana baraka za Mbowe. ni dalili kuwa na Mbowe yuko njiani kwenda chauma.. Watoto wa watu wamekufa wakiamini kuwa wana Kiongozi wa upinzani kumbe sivyo! ULAANIWE MBOWE NA UZAO WAKO https://youtu.be/IBiQWxmh8qQ
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kumsahau mtu uliyempenda sana unafanyaje?

  15. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
  16. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Mpina kakosea sana kugombea Urais

    GTs, Mpina hana uwezo wa kujenga hoja. Hivyo kushinda urais ni ngumu mno. Alipaswa abaki kwenye ubunge tu. Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti mwanamke anaweza kumkubalia mumewe akimuomba kuzalisha kwa mwanamke mwingine mwenye sifa nzuri sana

    Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Night Club kuna wahuni wenye ubabe wa kizamani

    Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana. Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
  19. B

    JamiiForums Tanzania KERO Chakula kinachotolewa Shule ya msingi Olimpio, Upanga ni kibovu

    Chakula ni kichafu shule ya Olimpio watoto wanalalamika kuumwa matumbo, taarifa ni kwamba chakula kina wadudu.
  20. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waungana naandikia uzi huu nikiwa na uchungu usio na kifani

    Waungana naandikia uzi huu nikiwa na uchungu usio na kifani. Leo mida jioni saa 12 nikasema nitembelee pande za lubumbashi hapa Mbezi luis angalau nipunguze uzito maana nina muda sijagusa. Nikachora ramani nikavuta ka manzi kembamba nikasema ngoja nionje dizaini hii, maana sijawahi mwembamba...
Back
Top Bottom